Ridhwani Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete v/s Saif Al Islam Muammar Gaddafi

Gaddafi katawala miaka 42, na JK miaka ya 5, wapi na wapi? Huu ndiyo ujinga wa kufikiri (Critical Thinking). Watoto wa Nyerere wapo karibu zaidi na hao Watoto Gaddafi kuliko watoto wa JK.
 
sijakuelewa John, longevity ya utawala wa baba zao mbona sioni kama ina uhusiano wowote na swali na muwasilisha hoja?
 
sijakuelewa John10, longevity ya utawala wa baba zao mbona sioni kama ina uhusiano wowote na swali na muwasilisha hoja?
 
Gaddafi katawala miaka 42, na JK miaka ya 5, wapi na wapi? Huu ndiyo ujinga wa kufikiri (Critical Thinking). Watoto wa Nyerere wapo karibu zaidi na hao Watoto Gaddafi kuliko watoto wa JK.

Wewe mbona mkurupukaji hapo ni kati ya Ridhiwani Kikwete na Saif al islam Gadaffi. Usome vizuri post kabla ya kuweka upupu wako. Mimi nadhani hakuna tofauti like fathers like sons.
 
Nilikuwa napita tu,Utofauti ni ulibya na Utanzania but Tabia the same.
 
sijakuelewa John, longevity ya utawala wa baba zao mbona sioni kama ina uhusiano wowote na swali na muwasilisha hoja?

System aliyokuwa nayo Gaddafi ni sawa na system aliyokuwa nayo Nyerere. No Demokrasia. JK na watoto wake wapo ktk utawala wa kidemokrasia. Watoto wa Nyerere walikuwa na sauti, ufisadi zaidi wakati baba yao alipokuwa rais, kwa sababu hakuna aliyeweza kuquestion them. Sasa hivi watoto wa JK hawana hiyo privilege. Sasa utakompare vipi watoto wa JK na Gaddafi? Nonesense argument.

Nilikuwa napita tu,Utofauti ni ulibya na Utanzania but Tabia the same.

Saif ana akili wewe, hebu soma profile yake, uone mambo aliyofanya na elimu yake, wanafanana kwa kitu kimoja tu, KUTUMIA*MADARAKA*YA*BABA*ZAO*KUPATA*WISH*ZAO
 
.......Nonesense argument.

Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo?

the question is about personalities/behaviors/attributes/profile ya hawa watu wawili, wether mmoja babake katawala miaka 100 mwingine wiki moja haijalishi, wether demokrasia imefanya hivi au imefanya vile sio issue mkuu
 
System aliyokuwa nayo Gaddafi ni sawa na system aliyokuwa nayo Nyerere. No Demokrasia. JK na watoto wake wapo ktk utawala wa kidemokrasia. Watoto wa Nyerere walikuwa na sauti, ufisadi zaidi wakati baba yao alipokuwa rais, kwa sababu hakuna aliyeweza kuquestion them. Sasa hivi watoto wa JK hawana hiyo privilege. Sasa utakompare vipi watoto wa JK na Gaddafi? Nonesense argument.

Ukipenda chongo unaita makengeza. Ridhwani kapata wapi utajiri wake hadi leo anaitwa young billionaire? Ni ufisadi tu kuanzia baba hadi mtoto. Na nipe mfano kiduchu tu cha ufisadi wa watoto wa Nyerere enzi za baba yao.
 
Are you mad? Unafahamu unachoongea? Usikurupuke.
 
Any similarities? Any Differences?

Nadhani tunakosea kumfananisha Saif na Ridhwan K (RK); uelewa tu wa Saif G unatosha kumuondoa RK kwenye hizi mbio!!!
I have seen the two interviews alizaofanya na SKY and CNN reporters!!!

RK hana capacity kabsa babangu...
 
Ukipenda chongo unaita makengeza. Ridhwani kapata wapi utajiri wake hadi leo anaitwa young billionaire? Ni ufisadi tu kuanzia baba hadi mtoto. Na nipe mfano kiduchu tu cha ufisadi wa watoto wa Nyerere enzi za baba yao.

Utajiri wa Ridhiwani ni wa baba yake. Baba yake alikuwa anafanya kazi kwa muda mwingi. Sasa kuna ubaya gani kutumia hela za baba yako?
 
Kama anatumia hela za baba yake kwa ujiko; then nahisi hela si attribute ya Ridhwan au?
 
Baba yake alikuwa anafanya kazi gani kwa muda mwingi? Mishahara ya serikali inajulikana. Na ufisadi wa Kikwete unajulikana kuanzia IPTL na kuuza mikataba feki ya madini yetu. Hapo ndipo utajiri wake ulipotokea. Ni kweli amefanya kazi kwa muda mwingi.
 
Haya ndo yale mambo tuliyoyakataa huko nyumba. This is a silly question na kulinganisha visivyolinganishika kama vile kuuliza farasi na panya nani ana mbio zaidi. Wewe (uliyeanzisha thread hii) kama umekosa la kuandika siyo lazima uingie humu JF. Hivi hamuwezi kuwa na kitu chochote constructive ili watu wachangie kwa haki? Hivi mnadhani huyo Dr. Slaa hana au hatakuwa na watoto. Kama watu mna tatizo na utawala huu ni vizuri mkaweka mipaka na kuacha kuiingilia first family pasipo na sababu.

Hakuna chochote ambacho JK amekifanya kwa mwanae ambacho kinakiuka dhamana yake au maslahi ya umma. Sasa kwa nini tusiipe amani familia yake badala ya kumwaga matusi kila wakati tena pasipo na sababu? Mimi nafikiri wenye sababu za kuukosoa uongozi na hata rais wafanye hivyo kama watu wenye akili timamu na siyo kuleta uendawazimu wa kuanza kuleta mashindano ya nani zaidi na kupambanisha mchana na usiku! Hivi hii JF mbona imeingiliwa hivi?
 
lengo hapa ni kujua nani kipanga, nani kilaza.

na wewe unaonekana kilaza vile vile kwa mawazo yako ya kulialia kama pinda
 
Kama anatumia hela za baba yake kwa ujiko; then nahisi hela si attribute ya Ridhwan au?

Heshima kwako mkuu! Dogo ni mwadilifu lakini wanaompaka matope ni wale wale wezi wetu wa rasilimali za nchi hii lakini baadhi yetu tunatumika kupaza sauti bila kujijua. Huyo mtoto wa Gaddafi alitakiwa afananishwe na huyo anayeutaka urais na ambaye tunaambiwa turnover ya biashara zao haramu na zisizojulikana ni shilingi milioni mia nane kwa wiki. Watu wako busy kutumika kubeba ajenda za watu ambao wamegundua kwamba namna nzuri ya kufika hapo na kuwazuga watanzania ni kusingizia watu maneno ili kuleta mkanganyiko. Hii haitakubalika
 
Back
Top Bottom