Ridhiwani Kikwete Ndani ya MAGU,

MVUA GAMBA

Senior Member
Apr 13, 2011
102
63
Wana JF Bwana yesu awe. Pamoja nanyi na kwa waislamu Asalama aleko.

Leo hapa kwetu magu kuna sherehe ktk sekondari ya wahitimu wa kidato cha NNE wana habari na wakazi wengi wa mwanza wamekuja kumuunga mkono mtoto wa rais ktk hafla hii.

Lililo nisukuma ni jambo moja baada ya hotuba bwana ridhwani ametoa ahadi ya kusaidia shule hii TANKI la SIMTANK la lita 10,000 ambalo amedai lina thamani ya Tsh 5,000,000. Baada ya kauli hiyi Mjadala ukaanza hapa miongoni mwa watu. Tuliohudhuria kuwa je Tanki hilo linathamani hiyo?

Sisi huku magu hamna matanki yanamna hiyo nikaamua kuleta huu Mjadala Mtusaidie kufahamu thamani halisi ya TANKI hilo la Maji kwani sisi waalimu hatufahamu bei ya Kitu hicho kwakua sijawahi kuwaza kununua Tanki la Namna hiyo.

Tunaomba mtu saidie isije ikawa tunapigwa Changa la Macho.
 
kama thamani ya kitu inatokana na hadhi ya mtu basi tanki hilo litakuwa na thamani hiyo au zaidi. Huyu bwana ni mtoto wa rais, hivyo ni rais mtoto. ILA UNGETUSAIDIA KAMA UNGETUJUZA ZAIDI NI NINI MOTIVE BEHIND KUMUALIKA HUKO?
 
Wana JF Bwana yesu awe. Pamoja nanyi na kwa waislamu Asalama aleko.

Leo hapa kwetu magu kuna sherehe ktk sekondari ya wahitimu wa kidato cha NNE wana habari na wakazi wengi wa mwanza wamekuja kumuunga mkono mtoto wa rais ktk hafla hii.

Lililo nisukuma ni jambo moja baada ya hotuba bwana ridhwani ametoa ahadi ya kusaidia shule hii TANKI la SIMTANK la lita 10,000 ambalo amedai lina thamani ya Tsh 5,000,000. Baada ya kauli hiyi Mjadala ukaanza hapa miongoni mwa watu. Tuliohudhuria kuwa je Tanki hilo linathamani hiyo?

Sisi huku magu hamna matanki yanamna hiyo nikaamua kuleta huu Mjadala Mtusaidie kufahamu thamani halisi ya TANKI hilo la Maji kwani sisi waalimu hatufahamu bei ya Kitu hicho kwakua sijawahi kuwaza kununua Tanki la Namna hiyo.

Tunaomba mtu saidie isije ikawa tunapigwa Changa la Macho.

Thamani halisi ya Tank la saizi hiyo ni sh.2m kwa dar, mikoani halizidi 3m bwana mwalimu
 
Sasa na nyie walimu na uongozi mzima wa hiyo shule, mmemwalika Riz 1 kama nani nji hii. Mmekosa viongozi wa serikali kweli?? Mngemwalika hata mtendaji wa kata basi.

Nyie subirini hilo tank la maji hata kama atapewa bure au atachukua pale nyumbani kwao nyie subirini tank.
 
Lililo nisukuma ni jambo moja baada ya hotuba bwana ridhwani ametoa ahadi ya kusaidia shule hii TANKI la SIMTANK la lita 10,000 ambalo amedai lina thamani ya Tsh 5,000,000. Baada ya kauli hiyi Mjadala ukaanza hapa miongoni mwa watu. Tuliohudhuria kuwa je Tanki hilo linathamani hiyo?

Ndani ya vikao vyao vya chama hiyo ndiyo bei inayotumika.
 
Bei yake ni 3mn pale Mwanza mjini na kulitoka pale kwa canter hadi hapo mlipo ni 2mn sasa kuna shida wapi wakuu .Kwiwiwkiw kweli mwana nyoka leo nimeamini hawezi kuwa fisi lazima awe joka.Usanii wanapokezana ?
 
Wana JF Bwana yesu awe. Pamoja nanyi na kwa waislamu Asalama aleko.

Leo hapa kwetu magu kuna sherehe ktk sekondari ya wahitimu wa kidato cha NNE wana habari na wakazi wengi wa mwanza wamekuja kumuunga mkono mtoto wa rais ktk hafla hii.

Lililo nisukuma ni jambo moja baada ya hotuba bwana ridhwani ametoa ahadi ya kusaidia shule hii TANKI la SIMTANK la lita 10,000 ambalo amedai lina thamani ya Tsh 5,000,000. Baada ya kauli hiyi Mjadala ukaanza hapa miongoni mwa watu. Tuliohudhuria kuwa je Tanki hilo linathamani hiyo?

Sisi huku magu hamna matanki yanamna hiyo nikaamua kuleta huu Mjadala Mtusaidie kufahamu thamani halisi ya TANKI hilo la Maji kwani sisi waalimu hatufahamu bei ya Kitu hicho kwakua sijawahi kuwaza kununua Tanki la Namna hiyo.

Tunaomba mtu saidie isije ikawa tunapigwa Changa la Macho.

huyu Ridhiwani tumemshiba sana UVCCM. Sasa ameanza mashambulizi dhidi ya January Makamba na dada yake mwamvita
 
Samahani mwalimu,
Nyie mnataka tanki au mnataka hela mkanunue wenyewe? Kwanza yy kaahidi kuwa atawapa tanki kwa hela zake, sasa kama amezidisha thamani nyie mnaumia nini?

Mkuu hujajibu swali hapo umetoka kapa
 
5m must be including plumping work such as strong GS pipes for riser, inlet and outlet pipes including non return valve. unles mna riser iliyojengwa tayari
 
Ni muhimu kujua thamani halisi,wanasiasa wamezoea kujipatia sifa za uongo na kijinga kupitia udhaifu na uelewa mdogo wa wananchi hasa vijijini.
Samahani mwalimu,
Nyie mnataka tanki au mnataka hela mkanunue wenyewe? Kwanza yy kaahidi kuwa atawapa tanki kwa hela zake, sasa kama amezidisha thamani nyie mnaumia nini?
 
Wana JF Bwana yesu awe. Pamoja nanyi na kwa waislamu Asalama aleko.

Leo hapa kwetu magu kuna sherehe ktk sekondari ya wahitimu wa kidato cha NNE wana habari na wakazi wengi wa mwanza wamekuja kumuunga mkono mtoto wa rais ktk hafla hii.

Lililo nisukuma ni jambo moja baada ya hotuba bwana ridhwani ametoa ahadi ya kusaidia shule hii TANKI la SIMTANK la lita 10,000 ambalo amedai lina thamani ya Tsh 5,000,000. Baada ya kauli hiyi Mjadala ukaanza hapa miongoni mwa watu. Tuliohudhuria kuwa je Tanki hilo linathamani hiyo?

Sisi huku magu hamna matanki yanamna hiyo nikaamua kuleta huu Mjadala Mtusaidie kufahamu thamani halisi ya TANKI hilo la Maji kwani sisi waalimu hatufahamu bei ya Kitu hicho kwakua sijawahi kuwaza kununua Tanki la Namna hiyo.

Tunaomba mtu saidie isije ikawa tunapigwa Changa la Macho.

Baba yake alishasema..."Mkitaka kula lazima mliwe kwanza" hivyo basi kaeni mkao wa kuliwa kwanza wana Magu
 
mh wacha nigune hivi waalimu mlimtumia nani kumualika huyo Riz1 au ndo kuutakatifusha utatu wa baba mama na mtoto. Acheni hizo wacha mpigwe changa la macho. Kafisadi hoyee...
 
huyu ridhiwani tumemshiba sana uvccm. Sasa ameanza mashambulizi dhidi ya january makamba na dada yake mwamvita
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

umeshamaliza zile alawanzi za dicota mkuu??

Yaani nakudharau kweli nikikuona jf..... Ulikuja kwa mbwembwe, baada ya kupewa kati yako naona hata madeni yamepungua

bwahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom