NB: Inawezekanaje mtu ambaye sio mnyakyusya atawazwe kuwa chifu wa wanyakyusa????? Chifu Mwailemale pamo akamanya inyiho.
Huyo Chifu wa sasa kaachia ngazi ( abdicate) ili kumpisha Ridhwani na ni sababu ipi iliyomfanya aachie ngazi na mila zinasemaje????
Unyakyusa ni sehemu kubwa sana Je yeye ni chifu wa sehemu gani ya unyakyusa???
Mafumu wanasemaje kuhusu hili?????
Kigezo gani kilitumika ili kumfanya Rizwani kuwa chifu na wanyakyusa wangapi walishirikishwa katika hili???????
Mwenye majibu atupatie jamani, tuna kiu ya majibu haya...
PR stint hii?
[/SIZE]
Chifu Mwangupili Dr Jakaya Mrisho Halfan Kikwete akiwa na Chifu Mwailemale Riziwani Kikwete
huyo ni kuku wa kafara tu hakuna jingine
du mwaka huu wanyakyusa wamepatikana ...PAMOJA NA KUHESHIMIKA KAMA WATU WENYE MISIMAMO......yaani wamempa uchifu mtu kwa ajili ya kujipendekeza ......du?? sasa kama walishampaga babake uchifu ...inakuwaje wanakuja kumpa tena mwanaye na huku Rais [babake]hajafariki.....kuna tatizo hapo ....hii ni ishu ya TAKUKURU....
Ujobile inogwa sya naloli, inogwa sya mahala fijo ndaga gwa myitu
Hivi Mkapa ana watoto, maana sijasikia hilo!
Chifu Mwangupili Dr Jakaya Mrisho Halfan Kikwete akiwa na Chifu Mwailemale Riziwani Kikwete
Uliwasikia watatototo wa Nyerere kabla hajafariki?Huyu Kikwete wewe humjui?Mke wake kila kitu anataka,Watoto wake kwenye siasa....ULIMBUKENI HUO NDUGU..........IKULU IMEGEUZWA YA FAMILIA YA KIKWETE NA WAPUUZI WAKE, Hata mwinyi hakuwa hivyo jamani.....KIKWETE NA MAKAMBA WOTE MALIMBUKENIHivi Mkapa ana watoto, maana sijasikia hilo!