Ridhiwani Kikwete atawazwa kuwa chifu wa wanyakyusa!

Mkuu, tumeshaona pinda, lowassa, kikwete, lipumba, slaa na wengine wakivaa uchifu wanapotembelea, tena nadhani kwa jeykey huwa hata wanarecycle... these are ceremonial ni kama ambavyo unakwenda japan unapewa kimono na unapiga picha...

Unakumbuka JK alipigwa ngwala pale Mwanza akivishwa vazi la kichifu?? do you remember Nyerere alikua chieef wa makabila mangapi??

Cha maana ku-note ni kwamba Ridhwani amekua overpromoted sana na ccm yenyewe na hatujui agenda ni ipi kwani yeye wala si mwenyekiti wa vijana wa wa kamati ya ushindi

kinachonisikitisha zaidi ni promo anayopewa na baadhi ya waandhishi kuliko hata akina bilal au makamba, this will work against ridhwani (thats my concern
)


...Mkuu Acid, nilishaanza kushituka kuwa ulikuwa huoni issue yoyotew kuhusu bwana mdogo kuvikwa uchifu. Bahati nzuri umeyatamka mwenyewe yanayochangia issue hii kuwa issue. nimeyapigia mstari.

Na kwa kuongezea tu, hao wote ambao umeishawataja kuwa wamevikwa uchifu ceremonial, unadhani Riz ametenda lipi ambao linaweza kumfanya awekwe kundi moja nalo kama sio tu kujigongagonga kwa hao wazee wa Kinyakusya ambao unaweza usiwalaumu sana kwa sababu wanakuwa wanatumiwa tu na watu wanaotaka kujiweka karibu na watawala??
Inanikumbusha picha ya gazeti la Mwananchi la wiki iliyopita ambapo inaonyesha wazee wa sehemu moja ya huko kusini wakiwa wameacha kazi zao za kujitafutia kula yao na badala yake kujipanga barabarani kumpokea 'mwana wa mfalme'!!
Hapa ndipo tulipofikishwa.
Kibaya zaidi tumeanza kuwa sugu na kuona kuwa sio issue. Poor We.
 
Nahisi sijakosea kusema baadhi ya wazee wa mbeya nahisi waa matatizo ya akili
wao wamkuwa hodari kuvisha watu uchifu na kufa maini na vizazi vyao kila mwaka
ama pale vigogo wanapoonekana mbeya na sasa wameamua kuwapa watoto wa vigogo uchifu kama wanavyoonekana kwenye www.issamichuzi.blogspot.com
nadhani wanyakyusa sasa ni saa ya kudai ukombozi wenu acheni ukiritimba wa siasa za kizamani...angalieni nani atawasaidia hapo baadae....hongeren kwa kumpa RIZIWANI KIKWETE UCHIFU WA MBEYA NAHISI KAMA MUNGU AKINIWEKA HAI MKIMWONA TENA HUKO MSHUKURUNI MUNGU BAADA YA UCHAGUZI
 
Basiasi, nimeiona hiyo hiyo kule kwa Michuzi, lakini haikuniingia akilini hata kidogo. Kwa sifa zipi alizonazo mpaka apewe uchifu kwa wanyakyusa? Au ni changa la macho. Wanyakyusa ninavyowafahamu sidhani kama wanaweza kufanya jambo la aina hiyo.
 
tumeshaona wengi tu wakitawazwa kwa makabila mbalimbali, sioni kama ni issue... its ceremonial
Acid;

Mwaka jana JK alipokwenda Kyela alipewa U-chief,mwaka huu mtoto wake pia kapewa U-chief;sijapata kuona nyumba moja inakuwa na machifu wawili labda kwenye makabila mengine lkn sio kabila la wanyakyusa!

Kivutio kkubwa ni kuwa Glasswell Mwakalukwa ndiye alimsimika Ridhiwani kuwa Chief;Mwakalukwa aliwahi kukimbizwa na TAKUKURU kwa sababu ya rushwa alipokuwa kwenye kambi hasimu na Dr Mwakyembe kwenye kura za maoni!
 
Ajabu na kweli haijawahi kutokea kwa wanyawakyusa hawajawahi kumtawaza mtu asiyetoka kwenye koo zao za kinyafyale hizi pesa zinawafanya watu wawe vipofu kweli mmh makubwa ni mwandosya au mwakyusa wanajipendekeza ili wababki mawaziri upuuzi mtupu

Not a big deal, dude!
 
Huyu kijana na baba yake kamwe hawawezi kuwa machifu wa kinyakyusa. Machifu wakinyakyusa wakiwa na kikao kamwe hawawezi kuwaita kushiriki katika vikao hivyo.

Na hao wazee kwenye picha wamejitia aibu kubwa sana na pia wamedhalilisha kabila la wanyakyusa.

Ikisu kimalike. Rizwani ni mjanga hawezi kuwa chifu.
 
Chifu Mwangupili Dr Jakaya Mrisho Halfan Kikwete akiwa na Chifu Mwailemale Riziwani Kikwete

IMG_0383.jpg


I was so agitated, but reading this comment put a smile on my face !!! lol
 
i still dont see this as an issue

Huenda isiwe issue tegemeana na unachotzama. Ikiwa unachokiona ni Riz kuvalishwa mgolole basi kweli ni jambo la kawaida kama unavyosema. Ukijiuliza nini maana ya yote haya kwa hatima ya nchi yako, sidhani kama utawaza unavyowaza. Ukikumbuka kuwa Dr. Dr. Dr. Dr. S. Kawambwa alipiga magoti kuomba kura utajua kuwa hili si jambo la kawaida. Si issue kama uavyosema ikiwa mtazamo wako unaishia kwnye picha hiyo.
 
Hongera dogo Riz-one, Umeamua kuwa mwanasiasa na mambo yanakuendelea vema waache wanaotaka kusema wasema wewe usikate tamaa kaza uzi. Baba yako mwanasiasa na wewe ndiyo ulichangua hauna tofauti na Kina Bush Senior na junior huko Marekani au Aquino, alianza baba, akaja mama na sasa mtoto ndiye rais au India kina Ghandi au Pakistani kina bhutto, hivyo una haki zote. Keep it up
 
Chifu Mwailemale (Ridhiwani Kikwete) akiwa amekalia kigoda baada ya kutawazwa kuwa chifu wa kinyakyusa.
Machifu wa kinyakyusa Ernest Mwailemale (kushoto) na Glasswell Mwakalukwa wakimvisha golole,Mjumbe wa Kamati ya utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)Taifa,Ridhiwani Kikwete, alipotawazwa kuwa chifu wa kinyakyusa na kuitwa Chifu Mwailemale juzi katika mkutano wa kampeni za ndani za kuweka mikakati ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo,juzi katika Kata ya Ipinda, Kyela.
Chifu Mwailemale (Ridhiwani Kikwete) akihutubia baada ya kutawazwa kuwa Chifu wa Kinyakyusa.

NB: Inawezekanaje mtu ambaye sio mnyakyusya atawazwe kuwa chifu wa wanyakyusa????? Chifu Mwailemale pamo akamanya inyiho.

Huyo Chifu wa sasa kaachia ngazi ( abdicate) ili kumpisha Ridhwani na ni sababu ipi iliyomfanya aachie ngazi na mila zinasemaje????

Unyakyusa ni sehemu kubwa sana Je yeye ni chifu wa sehemu gani ya unyakyusa???

Mafumu wanasemaje kuhusu hili?????

Kigezo gani kilitumika ili kumfanya Rizwani kuwa chifu na wanyakyusa wangapi walishirikishwa katika hili???????

Mwenye majibu atupatie jamani, tuna kiu ya majibu haya...

PR stint hii?


Ng....ja nyoko hata awe Ridhi-thrii acha wani watampa huo uchifu hao hao manjanga wenzake. ase....

Mketage kumaso....ukuti Kiny.....mwe Malafyale uli kughu ugwe?

Ridhi-thrii umejilaani mwenyewe.
 
Cha maana ku-note ni kwamba Ridhwani amekua overpromoted sana na ccm yenyewe na hatujui agenda ni ipi kwani yeye wala si mwenyekiti wa vijana wa wa kamati ya ushindi

kinachonisikitisha zaidi ni promo anayopewa na baadhi ya waandhishi kuliko hata akina bilal au makamba, this will work against ridhwani (thats my concern)

We acha tu. Kanali Kikwete na mwanae wana malengo yao. Ni yale yale ya "Dear Leader" wa Korea kumpa mtoto wake u-4 star generali wakati hana hata training kijeshi.
 
Ajabu na kweli haijawahi kutokea kwa wanyawakyusa hawajawahi kumtawaza mtu asiyetoka kwenye koo zao za kinyafyale hizi pesa zinawafanya watu wawe vipofu kweli mmh makubwa ni mwandosya au mwakyusa wanajipendekeza ili wababki mawaziri upuuzi mtupu

Mwandosya au Mwakyusa hawawezi kuhusika na huu upuuzi hata siku moja!Hii ni janja ya mwanamtandao John Livingstone Mwakipesile(mkuu wa mkoa wa Mbeya),ambaye hapo Ipinda ni ngome yake na huwa anaparimoti kutokea ktk ofisi yake mkoani.
Angalizo:Mwandosya na Mwakyusa ni wabunge wa wilaya ya Rungwe wakati Ipinda ipo wilaya ya Kyela,may be wkumuuliza kulikoni ni Mwakyembe ukizingatia naye anatokea ktk koo ya kichifu-KULIKONI KYELA??
Mimi kama mimi,am very disappointed na huu uchafu!!
 
kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi......................bwa hahahahahaha......shame
 
Haea wanaompa hadhi ya uchief wanatumia vigezo gani ?wanyakyusa na watu wa mkoa wa mbeya ebu tuelezeni jamani maana kuna watu wengi mkoani mbeya walioiendeleza mbeya kwa njia moja au nyingine lakini hamjawapa hadhi hiyo hapa imekaaje kaaje?si aende kbwagamoyo huko wakampe uchief.me naona kujihaibisha tu watu wa mbeya inabidi muandamane loh
 
nasikia wanyakyusa jana wamechinja ng'ombe na chimpumu kwa kwenda mbele kwa kupata chifu mpya. duh! wanyakyusa kumbe wapo juu!
hapa hamna cha mwandosya, mwakyusa, mwakyembe nk
 
Any NYAKYUSA out there please answer this: WHO AUTHORISED THIS STUFF???
 
Back
Top Bottom