Ridhiwan Kikwete awashitaki Dr. Slaa, Mtikila

Ridhiwani utaumbuka wewe ni billionea na fisadi,utajiri ulioupata umeupatajepataje ndani ya mwaka mmoja ni millionea,ebu tuambie kuna mwanasheria gani ndani ya miaka mi2 tu akawa bilionea na hizo fedha umezipataje? Weka vielezo vyote,maghorofa yako ya magomeni, mikocheni, oysterbay, masaki, arusha, iringa, pia weka wazi semi trailer 100 umezitoa wapi?

Asas, lake oil, machimbo ya mchanga na mawe Iringa hela metoa wapi?? Kwa nini ujawashtaki kama ulivyoahidi ndani ya wiki 2? Kama ushafuta ushaiidi wa mali zako au uliowamilikisha tutaanza na wao hizo mali wamepata wapi na wawe na vielelezo vyote, hadi TRA tutaenda tujue kama kweli walilipa kodi kama hawajalipa tunawafungulia kesi ya kuujumu uchumi

Nimemsikia JK akisema kuwa matajiri nao wachunguzwe utajiri wao wameupataje,Ridhiwani sikui kama utapona katika hili.
yaani utaweza kweli kutoa hesabu ya mali zako(to give account of your money?)....

nakushauri ungepotezea tu hawa akina slaa hauwawezi...
 
Safi kesi itaamua nani mnafiki yetu macho ila dogo c mjinga kwenda mahakamani kitu ushahidi ndo unatakiwa c propaganda za kutafuta sifa ila mtikila atapeta tuuu ye mahakamani ni mkongwe haogopi kufungwa ukizingatia anatekeleza majukumu yake
 
Wakuu nilikuwa kwenye daladala moja(Mwanza) Konda akapita kwenye petrol station ya Lake oil akaanza kumpondea Riziwan ndani ya daladala.Akuishia hapo nakusema siku CCM wakitwibia kura zetu lazima hiki kituo hichi tukichome moto.Abiria rika lake wakasema dogo Riz ni fisadi balaa.Simpendi huyu mtu...............
Watanzania vijana wamejenga chuki na huyu Riz one kiasi kwamba wakikutana nae chocho lazima wampe kitu inauma,maana wanaamini yeye antumiwa na babake, Jk kukwiba rasilimali za nchi huku maisha yakizidi kuwa afadhali ya jana.

Jamani kwanza Lake Oil si ya Riz ni ya Mwarabu mmoja ambaye anafahamika na ana kiwanda pia cha unga wa ngano. JF ni mahala pa watu makini lakini watu wachache wanaweka porojo na zinaweza kutuharibia.

Kwa kweli jambo lolote kama hizi tuhuma nzito kama hizi zinahitaji ushahidi wa kutosha na Slaa na Mtikila wanafikika< kama malori 100 yanafichwa wapi? uvunguni, majumba yanakaa wapi? kila jambo liko hadharani pigeni picha ama muweke data
 
Watanzania tupunguze siasa.

Hii thread issue ilitakiwa kwenye jukwa la sheria then watu wachambue hoja kisheria. Tujue na tulemike ridhwana anasimamaia wapina Kina dr Slaa wakoje

Tukipoliticise kila kitu hata yakija mabadiliko yatakuwa ya kubadilisha jina la chama tawala tu mengine yatakuwa vile vile.
 
Ridhiwan amefanya vizuri kulipeleka shauri hilo mahakamani ili haki itendeke. Haki ama ukweli haupatikani kwenye majukwaa ya siasa bali kwenye vyombo vya sheria. Kwa hiyo hakuna haja ya kupiga mayowe kwani kama Dr. Slaa alisema ukweli basi atautoa ukweli (ushahidi) huo mahakamani na watu wote watauona. Ila kama alikuwa akiongea kisiasa baada ya kuona umati kwenye maandamano akumbuke kwamba huo umati hautakuwa mashahidi.
 
Jamani uko mahakamani si ndiyo sehemu muafaka ya kuweka mambo wazi?

Sisi tunasubiri ukweli uwekwe wazi. Lakini naanza kuhisi R1 hasemi ukweli, manake siku za mwanzo alitwambia hata Gari anatumia za watu na sasa nadai biashara zake hata zisiongelewe!

Kutoka kwenye kutokuwa na kitu na kuwa na biashara ndani ya miezi mitatu. Itakuwa surprise kama hizo biashara anazoongela ni genge!
 
Anachoringia ni miaka 4 ya baba yake kuwepo madarakani...Akitoka tuu na yeye kama mfanyakazi wangu niliyemfukuza kazi kwa ulevi juzi.
 
Jamani kwanza Lake Oil si ya Riz ni ya Mwarabu mmoja ambaye anafahamika na ana kiwanda pia cha unga wa ngano. JF ni mahala pa watu makini lakini watu wachache wanaweka porojo na zinaweza kutuharibia.

Kwa kweli jambo lolote kama hizi tuhuma nzito kama hizi zinahitaji ushahidi wa kutosha na Slaa na Mtikila wanafikika< kama malori 100 yanafichwa wapi? uvunguni, majumba yanakaa wapi? kila jambo liko hadharani pigeni picha ama muweke data

Ni nani huyo mwarabu? Na wewe usitake kuleta hadithi kama za huyo uliye mjibu
 
Ni nani huyo mwarabu? Na wewe usitake kuleta hadithi kama za huyo uliye mjibu

Kwanza issue hapa si Lake Oil, ila Riz na kesi dhidi ya Slaa na Mtikila. Kuanza kumuingiza mmiliki wa Lake Oil (namjua) si mahala pake ila si Riz. Nina wasiwasi wachangiaji wengi humu wametumwa kumpotosha Slaa ili achukue kama ushahidi na kuupeleka mahakamani. Kwa wenye ushahidi, hata huo wa Lake Oil kama wanao (anaweza kutumia majina yao) amkabidhi Slaa kwa njia yoyote akishindwa amwage humu tutampatia lkini kwa kuandika uongo zaidi hatuwezi kukaa kimya mumpotoshe kiongozi ambae umma unamuamini. Kifupi tuweke vitu kwa ushahidi si habari za vijiweni ili kumsaidia. Ndio maana nilihoji baadhi ya madai ushahidi wake ni rahisi sana kama majumba huwezi kuyaficha, magari hayawezi kufichwa, unachoweza kuficha (japo kwa mda) ni fedha tu, ila siku hizi nazo si siri watu watakuumbua.
 
Washitakiwa wengine ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya free media ltd, mhariri mtendaji wa Tanzania daima na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya pPintech ltd. Kesi imefunguliwa jalada namba 109, ilitajwa jumatatu wiki hii mbele ya msajili wa mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam Amir Msumi.

Ridhiwan pamoja na mambo mengine anataka washitakiwa hao kumlipa fidia ya shilingi bilioni 2, pia ameitaka mahakama kuwazuia wadaiwa hao na mawakala wao kutorudia tena kutangaza maneno ya KASHFA katika vyombo vya habari likiwemo gazeti la Tanzania daima. Kwake binafsi na BIASHARA ZAKE, na wamwombe radhi bila masharti yoyote.

Kesi imeahirishwa tena hadi disemba 12 mwaka huu. Kesi itaahirishwa mpaka 2015 halafu Dr. Slaa anatiwa ndani miaka kadhaa wameshausoma upepo wa 2015 kupitia Igunga
Sijakuelewa dr slaa anatiwa ndani kivipi?ridhwan we si unajenga gorofa pe morogoro karibu na gwami hotel hela umepata wapi?
 
baba,mwana woote wezi wakubwa mno,iko cku tutawaonyesha,mkileta sura zenu arusha mtatambua kwa nn cc ni chadema
 
don't be stupid.....mind you!......president Sata of Zambia is now 74 years old and is 100 times better than our mswahili president in TZ. Your problem is that you are lured by the physical looks of a man than his actions......this is one of the biggest problem with Tanzanians...get off the shit and think big.....
 
haikuwahi kufunguliwa alitishia tu,. alipatwa na guilty conscious!!!
 
hivi na riz1 hawezi kushtakiwa kwa kutishia watu kwa jina la mahakama? Haiwezekani ukawapa watu siku kadhaa ili uwashtaki tena kwa kosa la kukudhalilisha afu upige kimya yeye ndio kaidhalilisha mahakama kwa kuifanyia dhihaka
 
Back
Top Bottom