richmond, epa vimeisha kimyakimya la ulimboka na mwangosi tunaomba mrejesho wake hadi mwisho

peck

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
220
27
Tumesikia mengi sana maovu ya nchi yetu lakini yamekuwa yakiisha bila watanzania kufahamu yameishaje, mfano: zile pesa za richmond, epa, kusafirishwa kwa wanyama nje ya nchi, kuteswa kwa dr ulimboka, na mambo mengine mengi ambayo tungependa tusikie muendelezo wake ila haiko hivyo.

Rai kwa waandishi wa habari tunaomba sasa iwe basi jamani tupatieni mwendelezo wa habari hizi binafsi napenda nipate mwendelezo wa dr ulimboka na hili la marehemu Daudi mwangosi, mpaka yatakapoishia




 
Back
Top Bottom