Reversal of Fortune - An Explanation of Africa's Misfortune?

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
Salaam. Je, humu kuna wanahistoria wa maendeleo linganifu ya kiuchumi wanaochambua kazi za Kiekonemetrika za Daron Acemoglu, Simon Johnson na James Robinson (AJR) na watafiti walio shule yao ya fikra (Kina Nathan Nunn, Abhijit Banerjee, Philip Osafo-Kwaako na wengineo)? Kama mpo naomba tujadili kwa kina kuhusu 'Kugeuzwa kwa Mafanikio' ('Reversal of Fortune'). Kuna tofauti kati ya wanachogundua ni kile alichosema Walter Rodney na kusisitizwa baadae na Joseph Inikori? Kwa ujumla nini hasa kilichosababisha Afrika iachwe kimaendeleo na Ulaya pamoja na Asia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom