Report: Mv Spice ilibeba abiria zaidi ya 3500 wakati uwezo wake ni abiria 600'

Na Waziri wa Uchukuzi Zanzibar agoma kujiuzulu ataka wa Bara ajiuzulu kufanya Muungano uwe imara
 
Hayo yameelezwa na makamu wa pili wa raisi Zanzibar Balozi seif Idd akitoa taarifa kuhusiana na Riport ya uchunguzi wa ajari hiyo.Maiti zilizopatikana ni 200 huku waliokolewa hai ni zaidi ya 600 hvyo idadi ya wale abiria wasiojulikana walipo ni 2700! Hakika ni uzembe usiosemeka!
this is heartbreaking

it is even more heartbreaking kwamba hadi sasa hakuna aliyewajibika, tumeshahau tuko bize kuandaa sherehe za uhuru na sherehe nyinginezo
 
Kwa nini Balozi amesema maneno machache hivi ndiyo reprt nzima hii au ni wewe umeamua kuleta machache mengine umekalia?Tuta jadili nini sasa hapa mkuu .Umesha sema kwa uchache na umesema ni uzembe usio someka si kzi umesha imaliza au ?
nafikiri ametaka tujadili hiyo idadi ila vizuri angeweka report kamili.
 
Naweza kuwa sahihi nikisema waliokufa ni
2700 + 200 = 2900?.

Kuna speculations kwamba serikali iliamuru shughuli za uokoaji zisitishwe kuficha aibu na kihoro cha kukuta melini kuna maiti karibu 300!

Hakuna aliye wajibika hadi sasa!
Wajiuzulu sasa.
Au serikali iseme walitakiwa kufa wangapi ili viongozi wenye dhamana wawajibike kwa kuachia ngazi.

3000?!!!!!
Mungu tusaidie wa TZ.
At least now i know where my cousin's body is -400++ meters under!may Allah rest her in peace! i have every right to speculate that the government intentionally did'nt want the southafrican to recover the dead.some day with our own cashh we will get them and give them proper burial!
 
Back
Top Bottom