Report card ya wabunge wa Dar: Halima Mdee

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
mdee1.jpg

Mwaka ushapita sasa tunaomba wana KAWE na wana Dar na JF kwa ujumle mtuleteee report card ya huyu HALIMA MDEE

Je Mbunge huyu alitoa ahadi zipi kwa wana KAWE

Je ana elimu gani?

Komsomea nini

Kasoma wapi?

Je kashatekeleza ngapi?

Je yumo kwenye kamati zipi?

Je anato access kwa wapiga kura wake?

Je ana ofisi jimboni kwake?

Je anayo website?

Je anayo namba maalum ya kuwasiliana na wapiga kura wake?

Je anayo Facebook page?

Je anapatikana kwenye Twitter?

Je ana fanya surgery (kukutana na kuwasikiliza ) wapiga kura wake?

Je ame declare interests zipi kama mtumishi wa umma?

Je analipwa mshahara kiasi gani?

Je anachukua posho?

Kiasi gani anachukua kwa mwezi?

Je wana KAWE wanamaoni gani kuhusu performance yake?

Je potential competitors wake in 2015 ni akina nani?

Je ana maoni gani kuhusiana na blue print ya kuliendeleza jumbo la KAWE?

Je amopokea zawadi sosote toka kwa wafanyabiashara au watu binafsi?

Zawadi hizo ni zipi?

Je ame declare kama amepokea hizo zawadi?

Je private life yake ni reflection ya hao anawa wakilisha?

Je KAWE kuna issues 5 kubwa ambazo alitakiwa kuzishughulia je ni zipi?

Je ana shiriki kwenye shughuli za kijamii (yuko close na wapiga kura wake) au haonekani mpaka kutokee issue yenye kumpa publicity?

Je kwa Mtazamo wa haraka haraka HALIMA MDEE atarudishwa tena na wan KAWE in 2015?

Je ni Cabinet material? If so wizara gani itamfaa?

Rough estimates za Budget ya HALIMA kulichukua tena jimbo la KAWE ni kiasi gani?
 
huyu ni mbunge wangu,
natamani ningejibu, ila swali lako umeuliza kitaalam sana. Naogopa jibu langu litakuwa too low to the standards of your question.
 
Thread nyingine bwana!

Unajikurupukia tu na kuleta pumba zako humu kama mtu aliyetoka chooni bila kuji swafi.

Yatafute wewe hayo unayotaka kama unaona yana umuhimu kwako na kwa wengine kisha ndio ulete hizo data hapa watu wachangie. Weee umebweteka makalio hapo kwa pc alafu unakurupuka na maswali kibao, nani akufanyie hiyo kazi?? Unapenda vya mterezo kweli wewe.
 
mdee1.jpg

Mwaka ushapita sasa tunaomba wana KAWE na wana Dar na JF kwa ujumle mtuleteee report card ya huyu HALIMA MDEE

Je Mbunge huyu alitoa ahadi zipi kwa wana KAWE

Je ana elimu gani?

Komsomea nini

Kasoma wapi?

Je kashatekeleza ngapi?

Je yumo kwenye kamati zipi?

Je anato access kwa wapiga kura wake?

Je ana ofisi jimboni kwake?

Je anayo website?

Je anayo namba maalum ya kuwasiliana na wapiga kura wake?

Je anayo Facebook page?

Je anapatikana kwenye Twitter?

Je ana fanya surgery (kukutana na kuwasikiliza ) wapiga kura wake?

Je ame declare interests zipi kama mtumishi wa umma?

Je analipwa mshahara kiasi gani?

Je anachukua posho?

Kiasi gani anachukua kwa mwezi?

Je wana KAWE wanamaoni gani kuhusu performance yake?

Je potential competitors wake in 2015 ni akina nani?

Je ana maoni gani kuhusiana na blue print ya kuliendeleza jumbo la KAWE?

Je amopokea zawadi sosote toka kwa wafanyabiashara au watu binafsi?

Zawadi hizo ni zipi?

Je ame declare kama amepokea hizo zawadi?

Je private life yake ni reflection ya hao anawa wakilisha?

Je KAWE kuna issues 5 kubwa ambazo alitakiwa kuzishughulia je ni zipi?

Je ana shiriki kwenye shughuli za kijamii (yuko close na wapiga kura wake) au haonekani mpaka kutokee issue yenye kumpa publicity?

Je kwa Mtazamo wa haraka haraka HALIMA MDEE atarudishwa tena na wan KAWE in 2015?

Je ni Cabinet material? If so wizara gani itamfaa?

Rough estimates za Budget ya HALIMA kulichukua tena jimbo la KAWE ni kiasi gani?

anza na mwenyekiti wako wa magamba kwanza!(jakaya)
 
Thread nyingine bwana!

Unajikurupukia tu na kuleta pumba zako humu kama mtu aliyetoka chooni bila kuji swafi.

Yatafute wewe hayo unayotaka kama unaona yana umuhimu kwako na kwa wengine kisha ndio ulete hizo data hapa watu wachangie. Weee umebweteka makalio hapo kwa pc alafu unakurupuka na maswali kibao, nani akufanyie hiyo kazi?? Unapenda vya mterezo kweli wewe.

mwambie agoogle,asi tuchoshe,uvivugani huo? Alisomaje enzi zake huyu?
 
Kuna issues kubwa tano ambazo bado zinamtatiza:
-Migogoro ya ardhi jimboni kwake ni mingi mno. Hajasema mkakati wake ni upi kuipunguza kama sio kuimaliza.
-Miundombinu na hasa barabara kwenda makazi ya wanyonge ni tatizo:
-Barabara za Makongo, Wazo kwenda Madale, Mbopo, MabwePande,...
-Ajira kwa vijana wa Jimbo lake. Sioni ubunifu wake katika hili.
-Soko la Tegeta kuendelea kuwa kero pale barabarani.
-Maji ya DAWASCO yanavyomwagika JImboni kwake wakati Mnyika Ubungo anahangaika.
Halima, natarajia kukupa ushindani mkali 2015. Tuombe uzima.
 
Wewe ***** kweli kweli unafikiri kuwa na face book page ndio kuwa na vision? Kule mabishoo wanatafuta marafiki tu na kuchat, ungeuliza kama ni memba wa JF kwani huku watu wanajadili mambo ya maendeleo na sio uzinzi kwa vijana kwa kwenda mbele!!
 
haya maswali yamekuwa safi sana kama angeulizwa mbunge wa mbiga -- komba John hasa hili la elimu yake na afya yake kwa ujumla (kusinzia sinzia bila mpangilio); na kama na yeye yumo katika mchakato wa kuwania urais 2015 kwa tiketi ya chama chake.

Je albam mpya atatoa lini? au wakati wa kampeni 2015 ataiachia?
 
Halima ni mchapa kazi. mapungufu yaliobakia anaweza kuyamaliza kwa muda uliobaki
 
Wana JF naomba tuwe na utamaduni wa kujibu maswali kwa kujenga hoja. Mleta mada naamini ana lengo zuri sana la kuwatathmini wabunge wetu, ili mbeleni tusijefanya makosa kwa maslahi ya taifa letu. Tathmini hii pia kwa kiwango kikubwa itawasaidia Wabunge wetu kujipima wamefanikiwa vp katika mikakati yao, na wasonge mbele kivipi.
 
Back
Top Bottom