Report card ya wabunge wa Dar: Halima Mdee

Mwanasiasa lazima ashughulikie tumbo na familia yake den mengine yatafata,so we vungira mpaka mwakani mwezi wa nane ndio atakuwa angalau amemaliza madeni na kutulia
 
Kuna issues kubwa tano ambazo bado zinamtatiza:
-Migogoro ya ardhi jimboni kwake ni mingi mno. Hajasema mkakati wake ni upi kuipunguza kama sio kuimaliza.
-Miundombinu na hasa barabara kwenda makazi ya wanyonge ni tatizo:
-Barabara za Makongo, Wazo kwenda Madale, Mbopo, MabwePande,...
-Ajira kwa vijana wa Jimbo lake. Sioni ubunifu wake katika hili.
-Soko la Tegeta kuendelea kuwa kero pale barabarani.
-Maji ya DAWASCO yanavyomwagika JImboni kwake wakati Mnyika Ubungo anahangaika.
Halima, natarajia kukupa ushindani mkali 2015. Tuombe uzima.
Do u think is easy??? Itakula kwako, pole sana, nakushauri hata usidhubutu
 

Yupo single..haya sema ulikuwa unahitaji nini baada ya kupata maritual status yake...? maana kuna maswali mengine ni ukosefu wa kazi za kufanya...na upunguani,nyinyi ndio mnatujazia server hapa na ndio mnaoharibu sifa za JF...pumbavu sana!!?

umekurupuka, matusi yanini hapa jf, afu waonyesha unastress mno za maisha so kajipange upya mkuu!
 
Maswali ni mengi mno kujibiwa kwa usahihi kwa wakati mmoja. Nafikiri ingekuwa vizuri kuweka mambo machache ya msingi.
 
Kweli unakaa jimbo la kawe? nimelkaa jimbo la kawe miaka 15 Halima ndio mbunge pekee nimemuona na akitembelea jimbo tuache siasa mama mlaki na adamjee hawajui njia ya goba
 
Kweli unakaa jimbo la kawe? nimelkaa jimbo la kawe miaka 15 Halima ndio mbunge pekee nimemuona na akitembelea jimbo tuache siasa mama mlaki na adamjee hawajui njia ya goba

hebu tupe majibu ya hayo maswali mengine tafadhali
 
mwambie agoogle,asi tuchoshe,uvivugani huo? Alisomaje enzi zake huyu?
Hao ndo wale walosoma enzi za middle school, ni class mate wa watawala wetu wa sasa. Sifa yao kubwa ni kudeal na mambo yakipuuzi na kuacha yale ya msingi.
 
Looks like hii imewagusa sana wahusika lakini ukweli uko pale pale

Vipi ukitoa na ratings ili watu wa award then mwisho wa siku i.e. utapofunga mjadala......inakuwa rahisi hata kwa Bi Halima kujijua wapi yuko fyongo............
 
sipo kawe ila bungeni ni mtambo.
Haya maswali yangekuwa yana ulizwa viongozi wetu kila mwezi tungekuwa peponi lakini serikali iliopo hakuna kitu kama hicho mradi siku zinaenda
 
sipo kawe ila bungeni ni mtambo.
Haya maswali yangekuwa yana ulizwa viongozi wetu kila mwezi tungekuwa peponi lakini serikali iliopo hakuna kitu kama hicho mradi siku zinaenda

na wewe hapa ni mchonganishi laiti magamba wakikusikia unasema haya maneno sijui utaficha wapi sura yako, hebu jifikitie mkuu kila mwezi yule mbunge wa mtera sijui wanamwita Lusinde aje mbele ya umma atutangazie amefanya mangapi, halafu afuatie ngereja na wizara yake, halafu na wale vilaza wengine wanaosinzia bungeni sipati picha siku wakikurupushwa wataje wamefanya nini majimbo mwao wanaweza kutoa kijambo kikali
 
Back
Top Bottom