Remix - Ney Muziki Gani, "Kisiasa Zaidi"

kizaizai

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
5,352
6,511
Chorus

DIAMOND
Hivi nyie machadema, mnaeneza siasa gani?
Mara nguvu ya uma, mara operation sangra sa ndo siasa gani

NEY
Hii ni CHADEMA
Waasisi wa Mabadiliko
Tushachoshwa kutwa ni Rushwa
safisheni pale Magogoni

DIAMOND
Hata babu vijicent aliniambia
Mwananchi anahitaji kupumbazwa
Takrima, rushwa pia
ukienda bila sufuria la pilau utampoteza
Mwananchi ni mfano wa binti muzuri
na ndo maana namtunza kwa vazi la Uongo

NEY
Ah piga kimya, we ndo hufai kabisa nchi imekushinda
Ma-ccm kila siku mnatufilisi
Babu vijicent alikuambia mwananchi ni kama binti
Mbona unawatesa nakuwauwa kama mende
Mara …?…., Mara…?…. Mara…?…, Mara…?…
Je mnafanya siasa mpate utajiri?

DIAMOND
Uhh, hata watawala wa zamani, walishasemaga kazi na kijilimbikizia mali,
cha muhimu jukwaani, ni kuhakikisha unawagawa
ile michezo ya ukabila na udini, ndo huwa wanadata
badilika usijifanye mzalendo, utawakamata
chorus ×2

NEY
Siasa zenu rushwa, ndo imetawala
Edward analalama, anasema ameonewa
Mwasisi wenu aliyewalea, mmemzika na hamumuenzi
Bila polisi na TISS, basi hutawali

DIAMOND
Ah, mi ni chama lenye misingi, milele sitong'oka madarakani
Ubaya wenu wengi "Mnanjaa", siasa mmeianza juzi

NEY
Bado hujanishawishi, CCM inanipa kichefuchefu
kwanza nyie malimbukeni wa umarufu
mnaleta kauli za kejeli mpaka kwa wananchi
Ma-ccm nyie ni wezi sio wazalendo
mmekumbatia wachina, mnawabana wananchi
Nyie majangili.

NEY, DIAMOND
ah nyie mawaziri ni impotent ...haya matusi bwana
kwenye bunge kupayuka ndiooooooo ... mbona unatutukana?
ah nyie mawziri ni impotent...haya matusi bwana
kwenye bunge kupayuka ndioooooo...
Nimewanyamazisha, mfalme wa nyuki, vipi we bado unabisha?

DIAMOND
Hata mimi nina mengi ninayajua, ila yenu maandamano utaanzisha utata
michezo yenu kufukuzana, bora ninyamaze usijeleta another list of shame.

Oyoooooooo!! piga keleleeeeee.
Mara Wachinaaa, Mara USA, Mara mataifa yoteyoteeee ni kuja kuchota!
 
Hii kitu Diamond na NEY wangeifanyia kazi na kuirekebisha ingekuwa poa kama ya ROMA.
 
Chorus

DIAMOND
Hivi nyie machadema, mnaeneza siasa gani?
Mara nguvu ya uma, mara operation sangra sa ndo siasa gani

NEY
Hii ni CHADEMA
Waasisi wa Mabadiliko
Tushachoshwa kutwa ni Rushwa
safisheni pale Magogoni

DIAMOND
Hata babu vijicent aliniambia
Mwananchi anahitaji kupumbazwa
Takrima, rushwa pia
ukienda bila sufuria la pilau utampoteza
Mwananchi ni mfano wa binti muzuri
na ndo maana namtunza kwa vazi la Uongo

NEY
Ah piga kimya, we ndo hufai kabisa nchi imekushinda
Ma-ccm kila siku mnatufilisi
Babu vijicent alikuambia mwananchi ni kama binti
Mbona unawatesa nakuwauwa kama mende
Mara …?…., Mara…?…. Mara…?…, Mara…?…
Je mnafanya siasa mpate utajiri?

DIAMOND
Uhh, hata watawala wa zamani, walishasemaga kazi na kijilimbikizia mali,
cha muhimu jukwaani, ni kuhakikisha unawagawa
ile michezo ya ukabila na udini, ndo huwa wanadata
badilika usijifanye mzalendo, utawakamata
chorus ×2

NEY
Siasa zenu rushwa, ndo imetawala
Edward analalama, anasema ameonewa
Mwasisi wenu aliyewalea, mmemzika na hamumuenzi
Bila polisi na TISS, basi hutawali

DIAMOND
Ah, mi ni chama lenye misingi, milele sitong’oka madarakani
Ubaya wenu wengi "Mnanjaa", siasa mmeianza juzi

NEY
Bado hujanishawishi, CCM inanipa kichefuchefu
kwanza nyie malimbukeni wa umarufu
mnaleta kauli za kejeli mpaka kwa wananchi
Ma-ccm nyie ni wezi sio wazalendo
mmekumbatia wachina, mnawabana wananchi
Nyie majangili.

NEY, DIAMOND
ah nyie mawaziri ni impotent ...haya matusi bwana
kwenye bunge kupayuka ndiooooooo ... mbona unatutukana?
ah nyie mawziri ni impotent...haya matusi bwana
kwenye bunge kupayuka ndioooooo...
Nimewanyamazisha, mfalme wa nyuki, vipi we bado unabisha?

DIAMOND
Hata mimi nina mengi ninayajua, ila yenu maandamano utaanzisha utata
michezo yenu kufukuzana, bora ninyamaze usijeleta another list of shame.

Creative
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom