Reincarnation na rebirth ni kitu kile kile

Sahihi kabisa hii si elimu ya wote wenye kupenda kujua na kuelewa japo najua fika kwa muktadha huu wengi watajifunza na kupata kitu tofauti hapa Nitapenda Jimena, NDUKI na wengine ambao sikuwataja hapa washiriki kwa upeo na kwa kina
Ushiriki wetu upo na utaendelea kuwepo kama vile utakiwavyo kuwepo, ushiriki wetu upo hai mithili ya ROHO, ipo pale DAIMA MILELE japo ni ngumu sana kuiona kwa MACHO yaliyo (nachelea kulitaja hili jina hapa, sababu kuu na iliyo ya msingi ni kwamba, pengine nasema pengine naweza kukiuka misingi ya fikra za wachache zinazoweza kupelekea kwa wao binafsi kuamini kuwa nimetoka nje ya maadili yaliyo na uadilifu, hivyo acha nitumie lugha mbadala walau japo haitabadilisha maana halisi ya kile kilichonuiwa kwa makusudi yaliyokusudiwa kunenwa) nasema hivi, ushiriki wetu upo HAI mithili ya ROHO japo ni ngumu kuiona ROHO kwa kutumia NAKED EYES lakini kwa hakika iliyo hakikika na kuhakikiwa ni kuwa haki ya kuwepo na uwepo ulio na haki ama hakika ushiriki wetu, UPO.Laiti ushiriki wetu ungekuwepo mithili ya mwili basi tusingekuwepo hapa mpaka mnamo majira haya yaliyotuwezesha kuchangia mchango huu yakinifu kwa yakini iliyoyakinika kwa kina, kwa kuwa tu mwili hufika kikomo cha muda hivyo ushiriki wetu haupo hapa mithili ya mwili uwavyo vile, lakini pia ushiriki wetu si kama NAFSI kwa vile tu NAFSI yahitaji mengineyo yajulikanayo ili kuweza kuwa pale, haiyumkini kuweza kuwepo pasina MWILI NA ROHO kuweza kuwepo, lakini kwa ROHO haitahitaji uwepo wa chochote kile kiwacho ili yenyewe iweze kuwepo ; ilikuwepo, ipo na yenyewe itakuwepo pale siku zote, pasina kujua huyu mwengine kuwa ipo pale kwa kutumia MACHO YALIYO (...). Isipokuwa tu kwa kutumia JICHO LILILOVAA NGUO (LILILOJIFICHA). Hivyo, kwa maelezo yaliyo machache nalazimika kusema kuwa ushiriki wetu upo na utaendelea kuwepo pia, si tu kwa kutia NENO au MCHANGO wowote ili tu kuweza kujulikana kuwa UPO laa hasha, ila kwa yeyote yule awaye IBADANI nae ameshiriki, japo sio ulazima wake nae aweke maneno ama mchango ili afanane kama kasisi ama mchungaji ili awe ndio ameshiriki HAPANA, lakini pia hata kwa kusikiliza tu yale yaendeleayo na yatokayo kinywani yakitokea moja kwa moja nyoyoni kupitia kunako (madhabahu) mahala hapo husika anakuwa ameshiriki pia, acha tushiriki kwa njia ipasayo kushiriki ; na njia ionekanayo inafaa kwa vile inavyo na vile itakavyo-kuwa ikionekana kuwa inafaa pia. Jimena anafaham kuwa #ulipotupo.
images
 
Last edited by a moderator:
ushiriki wetu upo na utaendelea kuwepo kama vile utakiwavyo kuwepo, ushiriki wetu upo hai mithili ya roho, ipo pale daima milele japo ni ngumu sana kuiona kwa macho yaliyo (nachelea kulitaja hili jina hapa, sababu kuu na iliyo ya msingi ni kwamba, pengine nasema pengine naweza kukiuka misingi ya fikra za wachache zinazoweza kupelekea kwa wao binafsi kuamini kuwa nimetoka nje ya maadili yaliyo na uadilifu, hivyo acha nitumie lugha mbadala walau japo haitabadilisha maana halisi ya kile kilichonuiwa kwa makusudi yaliyokusudiwa kunenwa) nasema hivi, ushiriki wetu upo hai mithili ya roho japo ni ngumu kuiona roho kwa kutumia naked eyes lakini kwa hakika iliyo hakikika na kuhakikiwa ni kuwa haki ya kuwepo na uwepo ulio na haki ama hakika ushiriki wetu, upo.laiti ushiriki wetu ungekuwepo mithili ya mwili basi tusingekuwepo hapa mpaka mnamo majira haya yaliyotuwezesha kuchangia mchango huu yakinifu kwa yakini iliyoyakinika kwa kina, kwa kuwa tu mwili hufika kikomo cha muda hivyo ushiriki wetu haupo hapa mithili ya mwili uwavyo vile, lakini pia ushiriki wetu si kama nafsi kwa vile tu nafsi yahitaji mengineyo yajulikanayo ili kuweza kuwa pale, haiyumkini kuweza kuwepo pasina mwili na roho kuweza kuwepo, lakini kwa roho haitahitaji uwepo wa chochote kile kiwacho ili yenyewe iweze kuwepo ; ilikuwepo, ipo na yenyewe itakuwepo pale siku zote, pasina kujua huyu mwengine kuwa ipo pale kwa kutumia macho yaliyo (...). Isipokuwa tu kwa kutumia jicho lililovaa nguo (lililojificha). Hivyo, kwa maelezo yaliyo machache nalazimika kusema kuwa ushiriki wetu upo na utaendelea kuwepo pia, si tu kwa kutia neno au mchango wowote ili tu kuweza kujulikana kuwa upo laa hasha, ila kwa yeyote yule awaye ibadani nae ameshiriki, japo sio ulazima wake nae aweke maneno ama mchango ili afanane kama kasisi ama mchungaji ili awe ndio ameshiriki hapana, lakini pia hata kwa kusikiliza tu yale yaendeleayo na yatokayo kinywani yakitokea moja kwa moja nyoyoni kupitia kunako (madhabahu) mahala hapo husika anakuwa ameshiriki pia, acha tushiriki kwa njia ipasayo kushiriki ; na njia ionekanayo inafaa kwa vile inavyo na vile itakavyo-kuwa ikionekana kuwa inafaa pia. jimena anafaham kuwa #ulipotupo.
images
nduki 1449282841220.jpg
 
Last edited by a moderator:
Sijapata kusoma hicho kitabu mkuu, kama unacho fanya mpango nikipate please!

Kisome hapa: The Aquarian Age Gospel of Jesus, the Christ of the Piscean Age Author Levi H. Dowling

Sehemu ya ya humo:-

[SIZE=-1][h=2]The Aquarian Age Gospel of Jesus, the Christ of the Piscean Age[/h] [h=3]Transcribed by Levi H. Dowling[/h] Presented as a service of the Reluctant Messenger. The Aquarian Gospel of Christ resonates so strongly with the teachings of The Reluctant Messenger that it is presented here for those ready to receive its message.
Many scholars recognize that the New Testament we have today is a copy of a copy of a copy and that no reliable manuscript is dated before the third century. The doctrine of reincarnation echos throughout the teachings of Christ, but the purity of Christ's teachings, about the soul being part of God, has been diluted by the copiers and the translators.
History recordes that the early Christine church believed in Reincarnation and of the souls journey back to oneness with God.

[h=4]Pope Arrested for Believing in Reincarnation[/h] Pope Vigilius was a vicar during the reign of Emperor Justinian in the sixth century AD. Justinian and Vigilius disagreed on whether or not the doctrine of reincarnation should be condemned as heresy or allowed to be taught in the church. Origin's writings were considered heresy by important cardinals in the sixth century. Origen's teachings had been considered as profound spiritual wisdom for three centuries. Origen lived around 250 AD and wrote about the pre-existence of the soul and in reincarnation. He taught that the soul?s very source was God and that the soul?s was traveling back to oneness with God via Reincarnation.
Emperor Justinian wanted Origen?s writings and teachings to be condemned and destroyed but Pope Vigilius refused to sign a papal decree condemning Origen's teachings on reincarnation. As a result of his disobedience, the Emperor had the Pope arrested and put into jail. In 543, Justinian convoked the Fifth General Council of the Church and told the Pope he would sign whatever into doctrine whatever the council decided. On the way there, under guard, the Pope escaped to avoid being forced to condemn Origen?s writings. The Emperor commanded the council to continue despite the Pope?s refusal to attend.
There was a logical reason why the Emperor was opposed to the concept that all of mankind originally came from God and was returing to God via the cucle of birth and death. Justinian had been convinced by high ranking cardinals that it was not in the interest of the empire to allow Origen;s writings to continue to be copied and distributed. A powerful group of Cardinal?s and Bishop?s explained that if every soul had once pre-existed with God, then Christ wasn?t anything special to have come from God. These Cardinals convinced the Emperor that if people realized they were the children of God theymight begin to believe they no longer needed an Emperor, or to pay taxes, or to obey the Holy Church. But since they reasoned that only Christ had come from God but Giod made brand new souls at the time of conception and only the Holy Church could bring these souls to God. Without the protection of the Empire or the gudance of the church, all people would be doomed to be forever cut off from God in Hell. This doctrine was very acceptabloe to the Emperor. Once Justinian understood the political danger inherent in Origen?s teachings, the rest was simply an Emperor doing what was in his best interest.
The council, as instructed by the Emperor, produced fourteen new anathemas and the very first one condemned reincarnation and the concept that souls pre-existed with God.

If anyone asserts the fabulous preexistence of souls, and shall assert the monstrous restoration which follows from it: let him be anathema.

The Pope never signed the order, so technically it was never legal, but the Pope's signature was not needed. See also, Christian Reincarnation: The Long Forgotten Doctrine. Note: The Aquarian Gospel of Christ is very consistent with The Lost Years of Jesus: The Life of Saint Issa. See also The Essenes.

[/SIZE]
 
Invisible unaonaje huu uzi uje jamii inteligence. natanguliza shukrani. ahsante.

Uzi umekufa tena...

Wacha nitie tie maji ili kuzimua gumzo kwa tafsiri ya nukuu ya tundiko # 103.

Ninataka tukitafsiri kitabu chote humu ili kuongeza nuru na maarifa humu. Na mimi ninaanza, mwingine anaweza kufuatia kwa mtiririko halafu tutasahihishana tafsiri.

Tujaribu utamaduni wa hivi wapendwa wasomaji na washabiki mbalimbali humu kwa faida ya jamii yetu na lugha yetu.

====

Injili ya Zama za Ndoo ya Yesu, Kristu wa zama za Samaki,
Ilivyonakilishika na Levi H. Dowling,
kuletwa mbele kama huduma ya Mjumbe Asiyetaka Kujifunga.​

Injili ya Zama za Ndoo ya Yesu ina utetemianizi imara na mafundisho ya Mjumbe Asiyetaka Kujifunga ambayo inaletwa hapa mbele kwa wale walio tayari kupokea ujumbe wake.

Wanazuoni wengi wanatambua ya kwamba Agano Jipya tulilonalo leo ni nakala ya nakala ya nakala na kwamba hakuna hati andishi ya msingi yenye kuaminika yenye kupewa tarehe kabla ya karne ya tatu. Mafundisho ya Utwaaji Upya Mwili ni mwangwi kote katika mafundisho ya Kristu, ila usafi-weupe wa mafundisho ya Kristu, kuhusu Sonafi kuwa ni sehemu ya Mungu, umepoozwa makali na wananikili na wafasiri.

Historia inakumbukumbu la kwamba Kanisa la Mwanzoni la Ukristu lilisadiki katika Utwaaji Upya mwili na Safari ya Sonafi kurudi kwenye uhali moja na Mungu.

Papa Atiwa Nguvuni kwa kusadiki katika Utwaaji Upya Mwili

Papa Vigilius alikuwa Vika kipindi cha utawala wa Miliki ya Justian katika karne ya Sita BK. Justian na Vigiulius hawakuwa na maelewano katika kukubaliana ikiwa mafundisho ya utwaaji upya mwili ungelitupiliwa nje kama uzushi ama kuruhusiwa kufundishwa kanisani. Asili ya maandishi ulichukuliwa ni uzushi na makadinali muhimu katika karne ya sita. Mafundisho ya Origen yamekuwa yakichukuliwa ni yenye hekima yenye kina sana cha kiroho kwa karne tatu. Yeye alifundisha kwamba chanzo hasa cha sonafi ni Mungu na kwamba sonafi ilikuwa ikisafiri kurudi kwa uhali moja wake na Mungu kupitia utwaaji upya wa mwili.

Mtawala Justian alitaka maandiko na mafundisho ya Origen yatupiliwe mbali na kuharibiwa lakini Papa Vigilius alikataa kutia saini agizo la kutupilia mbali mafundisho ya Origen juu ya Utwaaji Upya wa mwili. Kama matokeo ya kukataa kwake kutii, Mtawala alimtia nguvuni Papa na kumweka kifungoni. Mnamo 543, aliita pamoja baraza kuu la tano la kanisa na kumwambia Papa atalisaini chochote kuwa mafundisho ambacho baraza litaamua. Akiwa njiani kwenda kule, chini ya ulinzi, Papa alitoroka kujiepusha kulazimishwa kwa nguvu kutupilia mbali maandiko ya Origen. Mtawala aliliamuru baraza kuendelea hata kama Papa amekataa kuhudhuria. Kuna sababu za kimaantiki kwa nini Mtawala alikuwa akipingana na dhana ya namna-mtu yote kwa asili ilikuja toka kwa Mungu na itajakuwa kurudi kwa Mungu kupitia mzunguruko wa kuzaliwa na mauti.

Justian alikuwa ameshawishiwa kimawazo na Makadinali wa nyazfa za juu ya kwamba si lenye mapenzi na tawala kwa kuruhusu mafundisho ya Origen kuendelea kudurufiwa na kusambazwa. Kundi lenye nguvu sana la Makadinali na Maaskofu walielezea ya kwamba ikiwa kila sonafi kwa awali ilikuwa na Mungu, basi Kristu hakuwa chochote maalum cha kuwa nacho kutoka kwa Mungu. Makadinali hawa walimshawishi kimawazo Mtawala ya kwamba ikiwa watu watalitambua wao ni wana wa Mungu wao wangeliweza kuanza kuamini kwamba hawamuhitaji tena Mtawala, ama kulipa ushuru, ama kulitii kanisa takatifu. Lakini tangia kwamba ni Kristu pekee amekuja kutoka kwa Mungu lakini Mungu alifanyiza Sonafi mpya katika wakati wa Utungiko na ni Kanisa Takatifu pekee lingaliweza kuzileta sonafi kwa Mungu. Pasipo ulinzi wa Miliki au uongozeaji njia wa Kanisa, watu wote wangalikuwa wamekwama na kukatiwa mbali na Mungu kwenye mabaya wasijue pakutokea milele. Fundisho hili lilikuwa la kukubalika sana kwa Mtawala. Mara tu Justian alipoielewa hatari iliyojifichia katika mafundisho ya Origen, kilichobaki ni Mtawala kutenda kile kilicho bora na mapendeleo yake.

Baraza, kama lilivyoelekezwa na Mtawala, lilitengeneza anathema kumi na nne mpya na ya kwanza kabisa ilitupilia mbali utwaaji upya mwili na dhana ya uwepo awali wa sonafi na Mungu.

Ikiwa yeyote aukiri wazi wazi ule wakusema ni utangulizi wa kabla wa kuwepo kwa sonafi , na kukiri kusemea kule kurudia hali kwake upya kutoka ule: Yeye na awe anathema.

Papa hakutia sahihi agizo kamwe, kwa hiyo kwa kiufundi hilo halikuwa halali kisheria, lakini saini ya papa haikuwa ikihitajika. Tazama pia Christian Reincarnation: The Long Forgotten Doctrine. Angalizo: Injili ya Zama za Ndoo ya Yesu inaendana usahihi wake na The Lost Years of Jesus: The Life of Saint Issa. Tazama pia The Essenes.
 
Hakuna cha reincarnation wala rebirth, hayo ni majinni yanachezea akili za mapunguani kama mleta mada.
 
p { margin-bottom: 0.1in; line-height: 120%; }

Uzi umekufa tena...

Wacha nitie tie maji ili kuzimua gumzo kwa tafsiri ya nukuu ya tundiko # 103.

Ninataka tukitafsiri kitabu chote humu ili kuongeza nuru na maarifa humu. Na mimi ninaanza, mwingine anaweza kufuatia kwa mtiririko halafu tutasahihishana tafsiri.

Tujaribu utamaduni wa hivi wapendwa wasomaji na washabiki mbalimbali humu kwa faida ya jamii yetu na lugha yetu.

====

Injili ya Zama za Ndoo ya Yesu, Kristu wa zama za Samaki,
Ilivyonakilishika na Levi H. Dowling,
kuletwa mbele kama huduma ya Mjumbe Asiyetaka Kujifunga.​

Injili ya Zama za Ndoo ya Yesu ina utetemianizi imara na mafundisho ya Mjumbe Asiyetaka Kujifunga imbayo inaletwa hapa mbele kwa wale walio tayari kupokea ujumbe wake.

Wanazuoni wengi wanatambua ya kwamba Agano Jipya tulilonalo leo ni nakala ya nakala ya nakala na kwamba hakuna hati andishi ya msingi yenye kuaminika yenye kupewa tarehe kabla ya karne ya tatu. Mafundisho ya Utwaaji Upya Mwili ni mwangwi kote katika mafundisho ya Kristu, ila usafi mweupe wa mafundisho ya Kristu, kuhusu Sonafi kuwa ni sehemu ya Mungu, umepozwa makali na wananikili na wafasiri.

Historia inakumbukumbu la kwamba Kanisa la Mwanzoni la Ukristu lilisadiki katika Utwaaji Upya mwili na Safari ya Sonafi kurudi kwenye uhali moja na Mungu.

Papa Atiwa Nguvuni kwa kusadiki katika Utwaaji Upya Mwili

Papa Vigilius alikuwa Vika kipindi cha utawala wa Miliki ya Justian katika karne ya Sita BK. Justian na Vigiulius hawakuwa na maelewano katika kukubaliana ikiwa mafundisho ya utwaaji upya mwili ungelitupiliwa nje kama uzushi ama kuruhusiwa kufundishwa kanisani. Asili ya maandishi ulichukuliwa ni uzushi na makadinali muhimu katika karne ya sita. Mafundisho ya Origen yamekuwa yakichukuliwa ni yenye hekima chenye kina sana cha kiroho kwa karne tatu. Yeye alifundisha kwamba chanzo hasa cha sonafi ni Mungu na kwamba sonafi ilikuwa ikisafiri kurudi kwa uhali moja wake na Mungu kupitia utwaaji upya wa mwili.

Mtawala Justian alitaka maandiko na mafundisho ya Origen yatupiliwe mbali na kuharibiwa lakini Papa Vigilius alikataa kutia saini agizo la kutupilia mbali mafundisho ya Origen juu ya Utwwaji Upya wa mwili. Kama matokeo ya kukataa kwake kutii, Mtawala alimtia nguvuni Papa na kumweka kifungoni. Mnamo 543, aliita pamoja baraza la kuu la tano la kanisa na kumwambia Papa atalisaini chochote kuwa mafundisho ambacho baraza litaamua. Ikiwa njiani kwenda kule, chini ya ulinzi, Papa alitoroka kujiepusha kulazimishwa kwa nguvu kutupilia mbali maadniko ya Origen. Mtawala aliliamuru baraza kuendelea hata kama Papa amekataa kuhudhuria. Kuna sababu za kimaantiki kwa nini Mtawala alikuwa akipingana na dhana ya namna mtu yote kwa asili ilikuja toka kwa Mungu na itajakuwa kurudi kwa Mungu kupitia mzunguruko wa kuzaliwa na mauti.

Justian alikuwa ameshawishiwa kimawazo na Makadinali wa nyazfa za juu ya kwamba si lenye mapenzi na tawala kwa kuruhusu mafundisho ya Origen kuendelea kudurufiwa na kusambazwa. Kundi lenye nguvu sana la Makadinali na Maaskofu walielezea ya kwamba ikiwa kila sonafi kwa awali ilikuwa na Mungu, basi Kristu hakuwa chochote maalum cha kuwa nacho kutoka kwa Mungu. Makadinali hawa walimshawishi kimawazo Mtawala ya kwamba ikiwa watu watalitambua wao ni wana wa Mungu wao wangeliweza kuanza kuamini kwamba hawamuhitaji tena Mtawala, ama kulipa ushuru, ama kulitii kanisa takatifu. Lakini tangia kwamba ni Kristu pekee amekuja kutoka kwa Mungu lakini Mungu alifanyiza Sonafi mpya katika wakati wa Utungiko na ni Kanisa Takatifu pekee lingaliweza kuzileta sonafi kwa Mungu. Pasipo ulinzi wa Miliki au ungozeaji njia wa Kanisa, watu wote wangalikuwa wamekwama na kukatiwa mbali na Mungu kwenye mabaya wasijue pakutokea milele. Fundisho hili lilikuwa la kukubalika sana kwa Mtawala. Mara tu Justian alipoielewa hatari iliyojifichia katika mafundisho ya Origen, kilichobaki ni Mtawala kutenda kile ilicho bora na mapendeleo yake.

Baraza, kama lilivyoelekezwa na Mtawala, lilitengeneza anathema kumi na nne mpya na ya kwanza kabisa ilitupilia mbali utwaji upya mwili na dhana ya uwepo awali wa sonafi na Mungu.

Ikiwa yeyote aukiri wazi wazi ule wakusema ni utangulizi wa kabla wa kuwepo kwa sonafi , na kukiri kusemea kule kurudia hali kwake upya kutoka ule: Yeye na awe anathema.

Papa hakutia sahihi agizo kamwe, kwa hiyo kwa kiufundi hilo halikuwa halali kisheria, lakini saini ya papa haikuwa ikihitajika. Tazama pia Christian Reincarnation: The Long Forgotten Doctrine. Angalizo: Injili ya Zama za Ndoo ya Yesu inaendana usahihi wake na The Lost Years of Jesus: The Life of Saint Issa. Tazama pia The Essenes.
Asante mose kwa uchambuzi huu
 
Tunaitwa majina mengi mabaya kwasababu ya hizi elimu lakini tusichoke kusema kile tunachikijua kwa faida ya wengine wengi

Hii labda useme ni elimu za kufundishana ujinga tu, hakuna zaidi.

Vitu vidogo vya upuuzi mtashinda kutwa kucha mnajazana ujinga na hata mnapofahamishwa bado tu hamuelewi.

Amma kwa hakika wajinga ndiye waliwao.
 
It is like this. Kuna hii physical world,halafu inafuata astral world,halafu brahma world halafu patra world,halafu zinafuata nyingine tatu au nne.
Mtu akifa anakwenda brahma world. Baada ya mapumziko,anarudi duniani katika mwili mwingine. Wakati mwingine he does not have to come back right away. Anakwenda patra world,anakaa for a very long time,halafu anarudi tena duniani. Kwa kifupi zipo nine dimensions. Baada ya hapo mtu hazaliwi tena katika physical plane. Dimension ya tisa,ya mwisho,ni satya(truth) plane. Below that ni tapasya plane. Tapasya is an interesting word which you may want to look up in the dictionary,the sanskrit dictionary. Below the tapasya plane is the sunyata plane. Sunyata ni neno la kiswahili,pia ni neno la kisankrist. Matatizo mengi yanatokea;unasema waziri yule ni jipu,mwingine anasema waziri yule ni mchapakazi. Mnabishana. Sunyata doctrine itakueleza kwa nini mnabishana. Itakueleza mtu lazima atazamwe his part in a group or how he relates to different parts in his group. Historia yake lazima itazamwe,na pia kwamba akili inapotazama kitu inaamua what to call it. Sunyata,keeping a low profile,easterners wanaielewa hivyo hivyo wanavyoifikiria waswahili. Ni philosophy ipo katika madhyamika,prasangika,yogachara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom