Regia Mtema, John Mnyika, Zitto Kabwe na 90mil

Jamani Watanzania tujitahidi kuwa na upeo kidogo na mambo tunayotaka kutafuta support ya walalmiakaji.....
Milioni 90,ni hela ianyoweza kununua gari mpya,ambayo inaweza angalau kudumu kwa miaka kadhaa,inaweza kustahimili mwendo wa mbali na kutumika km nyingi.
Mbunge anategemewa kuzunguka kwa wananchi na kwenda Bungeni miaka mitano.
Prado second hand(ama 3rd hand)ni kama Milioni 50
Prado mpya ni kama Milioni 75
Toyota Mark mpya ni kama Milion 35
Sasa tunataka wabunge wanunuliwe Toyota Mark watafika nazo wapi?
Ama wanunue magari 2nd hand,yaharibike in 2 years(kutokana na shughuli zao kuwa za kuzunguka sana),alafu tuanze kusema wabunge wanachezea hela zetu?
......Watanzania jamani,mambo mengine tusiwe na wivu wa kupindukia.....ni afadhali na wabunge tumewachagua wenyewe....mbona hatulalamiki magari ya viongozi wengine kama makatibu wakuu,makamishana,viongozi wa mashirika ya Umma?Just because wabunge tunawafahamu?Jamani watanzania tuna kazi kwelikweli......

Hewalla bwana iwapo Wabunge wetu wawe wateule! Kumlipa mshahara mfanyakazi serikali haina uwezo lakini kumlipa mbunge millioni 90 ni haki. Hivyo nim kweli kuwa fedha hizo zinatumika kununulkia magari? Kama issue ni magari basi serikali ingewanunulia na kuwapa hayo magari kwani si tunafikiri kuwa mbunge hawezi kufanya kazi zake mpaka awe na gari ya kupewa na kodi ya wananchi?
Wabunge hawa wengi wao ni matajiri wanao uwezo wa kunununua magari basi kwa nini sababu iwe magari? Najiuliza wabunge wa zamani hawakuwa wakitekeleza shuguli zao kwa kukosa milioni 90?
 
Always the dead are praised.....just like nobel prizes being awarded when one is dead or when is nearly to die........gari za wilaya zikae wilayani zitadumu zaidi ya miaka mingapi?mbona hatuelewani?mbunge hazunguki wilayani tu jamani....hahahahaa
 
HAPO NAKUPATA KIDOGO KAKA.......LAKINI NINACHOSEMA MIMI NI KWAMBA KAMA TUTAFIKIA MAHALI PA WABUNGE KUBANIWA SANA,BASI HAITAKUWA KWAO TU.....NA KWA VIONGOZI WENGINE,NA PIA KWA WAFANYAKAZI KUPUNGUZIWA PER DIEMS(TOKA 65000 LET SAY MPAKA 30000-LUNCH 4000,DINNER 4000,BREAKFAST 2000,USAFIRI 2000,Malazi 15000)......tatizo sisi watanzania tunaongea saana kuhusu kwamba wenzetu fulani(ambao tunadhani wanafaidi)wawajibike,wakati sisi wenyewe hatuwajibiki kabisa,na hatujui panga likipita nasi litatukumba
 
Nafikiri kuongea tu kuwa wameingiziwa TZS 90M inatosha kwa CDM kuonesha kuwa ni chama transparent na kinachojali masilahi ya umma. Wanajisikiaje au vipi hiyo siyo kazi yako kujua, pia na je watazitumiaje hiyo pia si kazi yako. Umeshamsikia mbunge yeyote wa chama kisicho CDM anaongelea bulungutu hili?, hao ndiyo wa kuwahoji kwani ni wabinafsi na wanahofia kuzipoteza kama watajulikana wanazo.

We a transparent Govt, kama wananchi wataelezwa kila kitu kuhusu jinsi resources zinavyotumika that is tha best way forward. Maisha magumu hayatakiwi kuwa kwa walalahoi pekee bali kila mtu.

Kuna mmoja kati ya hao aliungama humu kuwa wamezibwa midomo wasiseme kuhusu mishahara yao! Ama kweli Watanzania tunafanywa wajinga kufungwa mdomo kuhusu mafao kwa wabunge CDM wanakubali lakini kuambiwa wasifanye uchochezi hawakubaliani nalo! Penye uzia penyeza rupia na CDM na wabunge wao are no exceptional
 
HAPO NAKUPATA KIDOGO KAKA.......LAKINI NINACHOSEMA MIMI NI KWAMBA KAMA TUTAFIKIA MAHALI PA WABUNGE KUBANIWA SANA,BASI HAITAKUWA KWAO TU.....NA KWA VIONGOZI WENGINE,NA PIA KWA WAFANYAKAZI KUPUNGUZIWA PER DIEMS(TOKA 65000 LET SAY MPAKA 30000-LUNCH 4000,DINNER 4000,BREAKFAST 2000,USAFIRI 2000,Malazi 15000)......tatizo sisi watanzania tunaongea saana kuhusu kwamba wenzetu fulani(ambao tunadhani wanafaidi)wawajibike,wakati sisi wenyewe hatuwajibiki kabisa,na hatujui panga likipita nasi litatukumba
Wabunge wa CDM ndio walio na wajibu wa kupigilia kelele huu mfumo wa tofauti kubwa ya kipato kwa matabaka ya watu. Hebu angalia mwengine analipiwa kila kitu eti ni vitu muhimu na walio wengi hawalipwi kama kwao hawatumii vitu hivy bali ajikamuwe kutokana na kamshahar kadogo alionao. Hili mbona wenzetu hawalisemi eti kwa vile linawagusa wao?
 
Always the dead are praised.....just like nobel prizes being awarded when one is dead or when is nearly to die........gari za wilaya zikae wilayani zitadumu zaidi ya miaka mingapi?mbona hatuelewani?mbunge hazunguki wilayani tu jamani....hahahahaa

Wewe kama mfanyakazi huna haki ya kusaidiwa upate gari yako? Si kuna vigari vya milioni chache basi ingekuwa haki kwa anaetaka kufanyiwa mpango isiwe kwa wabunge tu. Hii ni nchi yetu sote!
 
Big Up Wabunge wa CDM Wamesababisha tumejua kuwa wabunge wamepewa Loan!
Wabunge wanahitaji Usafiri wa Uhakika so sioni kwa nini wasinunue Magari kwa FEdha walizokopeshwa! I think if you are great thinker then U well well that this money is not a grant mpaka uiite Rushwa it is a loan so sio Rushwa.
Nashauri hizo fedha wanunulie Magari yenye nguvu na Imara kwa ajili ya kazi iliyopo mbele yao
 
Huu ni wizi tu!!...kila jimbo liwe na gari la ofisi ya mbunge!.we did that during nyerere times...acheni kutafuta ujiko!
Kama kutoa mawazo mbadala ya kutaka tuyachanganue mambo kwa busara badala ya kuchangaua mambo kwa hasira ni kutafuta ujiko,basi i will die an "ujiko"hunger rather than an"angry" hanger
 
Wabunge wa CDM ndio walio na wajibu wa kupigilia kelele huu mfumo wa tofauti kubwa ya kipato kwa matabaka ya watu. Hebu angalia mwengine analipiwa kila kitu eti ni vitu muhimu na walio wengi hawalipwi kama kwao hawatumii vitu hivy bali ajikamuwe kutokana na kamshahar kadogo alionao. Hili mbona wenzetu hawalisemi eti kwa vile linawagusa wao?
N wabunge wa NCCR mageuzi pia kaka usiwasahau.....wanao wajibu pia
 
Kama kutoa mawazo mbadala ya kutaka tuyachanganue mambo kwa busara badala ya kuchangaua mambo kwa hasira ni kutafuta ujiko,basi i will die an "ujiko"hunger rather than an"angry" hanger
Mbona ushauri wake naukubali tu. Wabunge na wanunue magari ya fahari kwa pesa zao si za mkopo. Tusichoambiwa bayana hapa kuwa mkopo huu haulipwi wote kuna msamaha ndani yake.
 
Kuna mmoja kati ya hao aliungama humu kuwa wamezibwa midomo wasiseme kuhusu mishahara yao! Ama kweli Watanzania tunafanywa wajinga kufungwa mdomo kuhusu mafao kwa wabunge CDM wanakubali lakini kuambiwa wasifanye uchochezi hawakubaliani nalo! Penye uzia penyeza rupia na CDM na wabunge wao are no exceptional
....Tatizo ni kwamba si kila swali linajibika jamani.....
Unapotaka kujibu kila swali,basi ndo inafikia mahali badala ya kujitetea wewe kama wewe,inabidi umtangulize mwingine kwamba ndiye aliyekufanya wewe uwe hivyo unavyoeleweka........kama unaona unazibwa mdomo na hukubaliani kweli na hayo malipo,basi yakatae,hakuna atakayekulazimisha uchukue,kwani huo mshiko wanashikishwa kwa lazima?.....
 
Kama kutoa mawazo mbadala ya kutaka tuyachanganue mambo kwa busara badala ya kuchangaua mambo kwa hasira ni kutafuta ujiko,basi i will die an "ujiko"hunger rather than an"angry" hanger
Hamna mbadala wowote,it's easy to see that is too expensive,how many times they go to dodoma?Because in my district it takes 45 minutes from one end to another!kwani wakuu wa wilaya wanapewa 90m every 5 yrs?
yaani mwakilishi wa kawe anataka gari la 90m? to go where?For what?C'mon man!
 
Let this kids enjoy there lives jmn,haya me nayaita ni maneno ya mkosaji tu,mana hapa sijaona mtu anayeweza kupewa mkopo wa 90M usio na riba wala usumbufu akakataa!kma mnaweza na nyie gombeeni ubunge mpate hizo privilege! Mnachosha jmn,regia mnyika sijui rudisheni hela, mmesikia wao hawana mattz binafsi?
 
Mie nikpewa 90m sitakataa kamwe!Tatizo ni kwamba ahadi zao ni kupunguza posho ili kutoa elimu na afya bureee!!!....now,what the f happened?
 
Mie nikpewa 90m sitakataa kamwe!Tatizo ni kwamba ahadi zao ni kupunguza posho ili kutoa elimu na afya bureee!!!....now,what the f happened?

You made a lot of sense right there. Hao Wabunge wa CHADEMA wafanye kweli yale yote waliyokuwa wakibwabwaja wakati wa uchaguzi. Hizo 90M aidha watoe zote msaada kwa jamii na waendelee kutumia mikweche waliyokuwa nayo kabla ya kuwa Wabunge, au waagize second-hand Toyota Corollas kutoka Japan kwa 7M, na 83M zinazobakia wachangie miradi ya maendeleo kwenye majimbo yao.
 
Hizi za kina mtema ,mnyika zitto za cdm ni chache sana ukilinganisha na zile za mafisadi wa ccm.hivi unakaa kuumiza kichwa na hizo 90m za wabunge wa cdm hata kama hawatazichukua, je ccm wataziaacha?na wao(ccm) walikuja kwa ajili ya hizo na si kuwatumikia wa tz.tafadhali anza na hao ccm kwanza wameshakula ngapi,wameiba ngapi wamechakachua ngapi.za rostam tu ni sawa na 0.000002% ya hizo fedha za cdm.kumbuka hali nzuri ya maisha ya watanzania suluhu yake si wabunge wa chadema kususia posho.na siku zote waliohongwa kama askari wa kihindi ni wabunge wa ccm ambao kila siku ndiyo mzee hata kama inawaumiza wa tz wanaowawakilisha(uwakilishi feki).
 
Ndugu wana JF ni wiki ya Tatu sasa tangu wabunge wetu waingiziwe kwenye akaunti zao kiasi cha Milioni 90,nimetaja wabunge hawa vijana watuambie hivi wanajisikiaje kupata kiasi hicho wakati wakijua hali ya maisha ya Watanzania kwa sasa? Ndugu zangu hivi tuige nini hasa tunapo ona wapiganaji wetu nao wanafanya makosa yaleyale ambayo ni sawa na Wabunge wa CCM! Dr slaa hivi umehoji kwa nini wabunge wako wamekubali kuingiziwa kiasi hicho bila kuangalia maisha yetu watanzania ambao wengi kwa sasa tuna weza kupata mlo mmoja kwa siku? Milioni 90 najua imetokana na jasho la walipa kodi! Nashauri kamati kuu ya Chadema ikae iliangalie suala hili lasivyo linatutia matope na kupoteza hata ile maana ya Chadema kuwa chama cha ukombozi kwa Watanzani! Mh Mnyika,Mh Zitto na Mh Mtema najua safari yenu bado ndefu kisiasa hivi kweli mumekubali kula hii hela haramu ya maskini wa kitanzania? Mh Regia Mtema hivi kweli Aluta Kontinua kwa namna hii! Mandela aliwahi kusema makaburu hawana uwezo wa kutuhonga kwa garama yeyote ile bali kilicho na thamani ni Maisha ya Watu wetu! Mmekubali kuhongwa kwa mkate kama askari wa kihindi! My take: ni mhimu tujipime kama chama cha ukombozi wa maskini wa watanzania walio wengi!

Mbona umeenda mbali sana we tueleze mshahara wako unautumia vipi kuwanufaisha watanzania wenzio alafu umhoji Kikwete hizo fedha za EPA zilizorudishwa ni kina nani wamerudisha na ziko kiasi gani ili awaweke ndani kwa wizi kisha uje kwa Mnyika na Milioni 90 ambazo wabunge wote takribani 350 wamevuta.
Acha unafiki uliza wabunge wote ni jinsi gani hizo milioni 90 wanazitumia na sio Mnyika na Mdee tu otherwise as I say to be fair you tell us about about how you spend your salary first.
 
Back
Top Bottom