Referendum for Zanzibar Independence

Lakini sisi wapemba pia tunataka kisiwa chetu hatutaki kutawaliwa na waunguja daima.....

Tunaomba katika referendum hiyo watuulize wapemba kama tunataka kubaki na waunguja

Sisi wapemba hatutaki unafiki, zanzibar Kwanza, upemba ndio silaha yenu watanganyika kuwagawa wazanzibari ili mututawale vizuri.
Ikiwa wewe mpemba kwenu wapi hasa?
 
Wapemba wako strong tatizo mapenzi yao kwa maalim yana cloud vision yao
 
give it 24 hrs max[/QUOTE]

and this is what it has produced.
CSZiIawWIAAygAb.jpg:large
 
Nyerere ndiye alimdanganya Mangi Kilimanjaro ikaungana Na tanganyika.

Kilimanjaro lilikuwa taifa lenye uongozi wake Na bunge lake.
 
Wakati muafaka huu,zanzibar imekuwa ikitumiwa kama ngazi ya CCM kuendelea kutawala pande zote za muungano wa kimagumashi bila idhini ya wananchi
 
maalim kakimbia nchi

wanadai kaalikwa na Hillary Clinton kwenye DNC

These guys are a bunch of jokers
 
Back
Top Bottom