AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 952
Kwa hiyo tuwachie wanasiasa watuamulie aina ya muungano unaotakiwa kwa kuogopa kuwa na bad precedent?
So far tayari tunaona precedents wanazojaribu ku-set huko kwenye "Bunge la Katiba".
Kama ni kweli wananchi walipendekeza kuwa na serikali tatu, then ni sawa kuepuka ku-set bad precedent kwa kuwaachia wanasiasa kuja na mapendekezo yao kuwa na serikali mbili na mabunge matatu (kama kweli hizo fununu ni za kweli)?
Mweleze kuwa Quebec walitaka kujitenga kutoka Canada na mwisho wa siku suala hilo likapelekwa kwa wananchi waamue