Red card kwa kocha ban yake anakosa mechi ngapi?

Nafikiri si kila kadi nyekundu ya moja kwa moja ina adhabu ndani yake.

Mfano rejea kadi nyekundu aliopewa marcus rashford dhidi ya copenhagen, UEFA hawakumfungia zaidi ya kutumikia mechi moja nje.

Tusubirie wajuzi wa sheria za soka.
 
Back
Top Bottom