Red Brigade: Kikundi cha mauaji, watekaji, wamwagia sumu na "nchi kutotawalika"

Status
Not open for further replies.
Mwigilu baba...vipi?mbona unajitia aibu?...wewe na Mukama si ndiyo mlisema kule Igunga kwamba Chadema wametoa magaidi Libya na Afaghanistan?Si mnakumbuka mlipuuzwa?Sasa hii propaganda ya kitoto namna hii unadhani nani ataimeza?Mgekuwa na busara mngeua green guard!Ila kwa sababu mnaendesha siasa za kitoto-hamtafanya hivyo.You failed then,you will fail once gain na cheap propaganda.
 
Madai unayoyaweka hapa ni ya kisheria na si ya kisiasa.

Kama chadema ni chama chenye malengo ya kihalifu, unatuambia kuwa serikali yetu ni dhaifu, maana inasajili vyama vya kihalifu kinyume cha sheria na inashindwa kuvichukulia hatua.

Ukweli ni kwamba hayo uyasemayo ni propaganda.

Ni wapi katika ulimwengu huu umeona mambo ya kisheria yakishughulikiwa kwenye majukwaa ya siasa.

Chama kisicho na HOJA zenye mvuto, huishia kwenye PROPAGANDA.

mkuu chadema ni chama cha ajabu sana hawajui kitu kinachoitwa sheria wala utaratibu.

sijawahi kuona chama ambacho kinaongozwa kihuni kama hiki cha chadem wewe ulishaona wapi ukiona mtu anampinga mwenyekiti anauawa huu siyo utaratibu hata kidogo.
 
Chadema mmekuwa mkifanya maovu yakutisha katika nchi hii mala mmemwagia watu tindikali,mala mmemuua kijana wa chadema kule igunga mkidhani ni wa ccm(Mbwana)mala mmeponda kijana kichwa hadi kufa kule ndago,mala mmeua watu kwenye mkutano wenu Arusha,mala mmemuua mwangosi,mala muuza magazeti mala mmetaka kumteka mama yake zitto,mala mmepanga njama zakumteka mwandishi wa mwananchi mr msack,mala mmemtuma kijana wenu kumuwekea sumu zitto.Haya yote na mengineyo yanawatosha kuadhibiwa .
Mungu ameamua kuwaadhibu na kuwaweka peupa na huu ni mwanzo tu.Hamtabaki salama.

Duh wewe ------ kweli kweli. Yaani picha zinaonesha mwangosi kaelekezwa bunduki na kulipiliwa unasema chadema? Bora ufe kifo cha hivyo na wewe au uvunjwe hata miguu na hao polisiccm ili ujue wenye akili wanapinga nini.
 
attachment.php
 
Huyu mwingulu mpigachemba bhana mi naona muongo chadema wangekuwa hatari kiasi hicho si wangeshamnyofoa roho kwa nyodo zake na tope analowatapikia?
 
Hakuna mahara popote pale ambapo Hitler, alikuwa anajifanya socialist, labda history ya Ulaya imekupita kushoto, rudi darasani Mh. What we know is Nazi was against the spread of Socialist and Communist ideas. Kasome vizuri Nazi ideologies utapata jibu. Napata shida kuamini kama huu ndio uwezo wa first class economist, au keyboard imeteleza kidogo
 
Mwigulu endelea kugongelea limusumari la moto, wewe ndo kiboko yao hao. Mimi mwenyewe nimeipitia hiyo link. Aisee chadomo ni masht....an kabisa lo! Yaani hakuna utofauti kabisa kati ya rb ya cdm na ile ya italia.

Chukueni hatua kama umepitia na kuona anachomaanisha domokaya mwenzako.
 
Wewe Mwigulu hiyo ni propaganda mpya ya CCM ambayo umeiingiza kwenye google. Pretenda mkubwa!! . umeiandaa hii hadithi na kuiweka kwenye google. Hana lolote. CCM Mtahangaika sana. Ila kumbukeni tu ile methali isemayo "Hakuna marefu............." CCM mmekaribia ncha
 
Chadema wanaona laha kuuwa halafu wao wanaogopa kufa lakini kwa sababu wote tuko under god watakufa tu tena motoni moja kwa moja.
 
Hautaichagia wewe mimi nitaichagua duniani na mbinguni. Pipoooooooooooo..... .....
 
Dah imani kuwa wajinga wamejazana ccm inaleta mashiko sasa. Si amini na wala sitakuja kuamini kwa kiongozi wa ngazi ya naibu katibu mkuu wa ccm eti anashinda mitandaoni kupandikiza chuki kwa watanzania ili amani itoweke,huyu ni shetani. Ama kweli ccm kuna ombwe kubwa la uongozi na kamwe kwa aina hii ya viongozi watanzania tusitegemee umaskini kupungua. Haya ndio matatizo ya kuwapa watoto uongozi ccm haitakii mema nchi yetu.
 
We nchemba cdm ilivyolalamika kuhusu kambi za vjana wa ccm mbeya ulisema ni upuuzi,sasa cdm imechukuwa jukum la kujilinda wenyewe kwa gharama zao inakuwasha nn?tulia jasusi ukunwe,usipige mayowe!!
 
Kumbe ndiyo nia ya CHADEMA????? Washindwe! Watanzania hatudanganyiki, kamwe hatutaweka rehani usalama wa nchi yetu..... yani kamwe hatutawachagua kuiongoza nchi yetu tukufu.

Kwenda huko shwain wee!Watanzania tumechoshwa na siasa zenu chafu.2015 ndio mtakapojua Watanzania wamewachoka kwa kiwango gani,shen.z.i wakubwa nyie!!
 
Mimi nilitarajia CHADEMA wataleta hoja za kupinga hoja ya Mwigulu, lakini sioni walichofanya zaidi ya kejeli, matusi na dhihaka.

Kama haya ndio majibu yenu na namna ambavyo CHADEMA mnatetea uanzishwaji wa Red Brigade (RB), basi bila shaka hamna mnachokijua kuhusu Red Brigade na maelezo ya mhe Mwigulu ni ya kweli kabisa na nimalizie kwa kuungana na kauli ya mwenyekiti wangu wa chama taifa na rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ya kulaani uanzishwaji au uimarishaji wa kikundi cha Red Brigade cha CHADEMA ambacho kimantiki ni cha kigaidi.
Tulia we mpemba unafikir unauza pweza jf,ukizaliwa kwenye majungu haya ndio madhara yake..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom