Real Problem Between Kagame and Kikwete is Snitching

Status
Not open for further replies.
Plse correct your English; "mere 'advise'"! And stop fabricating chit-chats on Kikwete and Tanzanians!
 
IT HAS BEEN 16 YEARS SINCE THE RWANDAN, UGANDAN, AND KABILA'S FORCES ENTERED RWANDAN HUTU REFUGEE CAMPS IN EASTERN DRC AND STARTED KILLING RANDOMLY REFUGEES FROM RWANDA, BURUNDI, AND DRC, ESPECAILLY THOSE WHO SPEAK KINYARWANDA OR KIRUNDI LANGUAGES. THEY EVEN FOLLOWED THOSE WHO FLED AWAY TO TINGI TINGI AND KILLED THEM. AROUND 6 MILLION BOTH RWANDANS AND CONGOLESE PEOPLE WERE BUTCHERED BY THE KAGAME SOLDIERS. SOME OF US WERE ONLY 5 YEARS OLD NOW WE ARE IN OUR 20S. OUR RELATIVES WERE KILLED AND WE HAVE BEEN CRYING FOR THEIR JUSTICE OVER A DECADE NOW. WE APPEAL TO THE INTERNATIONAL COMMUNITIES, USA, UK, EU, AU, AND OTHER DEVELOPMENT PARTNERS TO FORCE INTERNATIONAL CRIMINAL COURT TO BRING THE PERPETRATORS TO JUSTICE SO THAT TRUE RECONCILIATION COME TO RWANDA AND WE STOP IMPUNITY THAT HAS CHARACTERIZED KAGAME'S RULE IN RWANDA.

Source: http://www.change.org/petitions/bri...-and-rpf-members-to-justice-for-crimes-in-drc
 
Mleta mada ni mkweli sana....Hizo ndizo fikra za wenzetu.Hata mimi niliwahi jiuliza kwanini majirani zetu wameona ubaya mdogo ktk ufikisha ujumbe na kuwa na chuki kiasi hiki..This is really the answer.Well siwezi sema kuwa Kagame hasatahili kwenda jitetea ICC, wala uhuru, wala Raila, wala Museveni, na baadaye JK kwa mabomu , mwangosi na wengine, ila km walishawahi kupeana hadi za kulindana halafu akawageuka ni haki yao ktk sheria za wakosefu na wanaoadhibiana ktk ukosefu wao.Ila sheria halali zitawakamata wote na kuwapa adhabu, na yule aliyemwandhibu mwenzie kwa sheria za kiovu basi naye atawajibika kwa makosa mengine ya uovu huo.
 
another deviating story from the reality. Inavyoonekana kagame anakamtandao east africa kanakoweza kumtoa yeyote, lakini wabongo nadhani tulishajua mchezo mchafu wa hawa majirani zetu, so we will see who win the game!

jamani "eac ni bahima empire".waanzilishi ni watusi.wakamtumia dikteta museveni.wana agenda ya siri.kwanza walitaka kuifast track.kuiharakisha kabla hatujashtuka.hawa jamaa sio watu wa kawaida.ni' war lords'.ni katili.ni wasiri.wamekaa kishushu sana.wanawaita watanzania ni wahutu.wana dharau ya kufa mtu.mtu mwingine wanamwona kama mzoga wa panya.ni watoa rushwa wakubwa wanapotaka kujipenyeza ofisi nyeti.wamefanikiwa kuweka mtandao wa kuwathibiti viongozi wakuu wa nchi yetu.wana tabia ya kuficha identity yao.wanapenda sana kujiita waha au wahaya.walifanikiwa kumweka mtusi josee kabila drc kwa kutumia mtandao wao hapa nchini.vyombo vya habari vya italia vilitangaza kuwa waliompeleka laurent kabila drc ni rpf, banyamlenge na 'jewi'.tanzania ilikanusha.inasemekana ni wao baadaye 'walimkongori'kukamlisha agenda .mambo yao ni makubwa na wanayafanya kwa usiri, ustadi na weledi wa hali ya juu.watanzania 'wanakenua tu'.inahisiwa ndio wako ya nyuma ya ukatili unaoonyeshwa na ccm dhidi ya chadema.mhe sita anasaini 'mikataba' tu ya eac.kagame anamwambia rais wetu"i will hit him".kaulihii ya dharau kwa kiongozi wetu ifanyiwe utafiti wa kina.sio sahihi kusema rwanda ni nchi ndogo.kama wanajiita wahaya,kama wanatuita wahutu,kama wanatangaza dunia nzima kwamba wanatawala tanzania,wamefanikiwa kujipenyeza sehemu zote nyeti za nchi yetu kama uwt,jewi,polisi,utumishi n.k kwa nini wasiwe na ujasiri wa kusema "ill hit him".wamefika mbali jamani. wakati wa kuwapiga "full stop" ni sasa.
 
hata kikwete icc inamuhusu sana kwa mauaji ya mwangosi, ally zona, waandamanaji wa chadema arusha, bomu katika mkutano wa chadema soweto na mauaji mengi yenye sura ya kisiasa bila kusahau utekaji nyara na utesaji watu. Funny enough kikwete hajawahi hata kutoa pole kwa mjane wa mwangosi.

Kikwete kwa sasa ni kipenzi cha wazungu kwa kuwa ana rasilimali na hivyo kuwa snitch wenzie, lakini hajui undumilakuwili wa wazungu watakaomgeuka madini na gesi vikiisha

nahisi kagame yuko nyuma ya ukatili huu wa ccm dhidi ya chadema.watusi wamekuwa wanafanya kazi na na magamba kwa kipindi kirefu sana.si mnajua historia ya josee kabila???huyu ni mtusi na sio mzaire.kama hamjui chunguzeni.watanzania wanashangaa ccm kuwapa uraia watu hawa.
 
wabongo tunaweza kupigana nao kwa nadharia hasa kama ambavyo huwa tunafanya kwenye michezo ya simba na yanga! Lkn ukweli hao jamaa hili kwao si la sasa hivi bali ni planned. Wanamipango ya muda mrefu ya kuhakikisha wanaongeza maeneo yao! Wamepandikiza watu wao kila sehemu ndani ya nchi yetu! Hivyo tunapo ongea try to think twice.

mkuu umenena.watanzania wengi hasa viongozi wamekabidhiwa wanawake wa kinyarwada, wanakenua, wenzao wako kazini.kama wamejipenyeza sehemu zote nyeti za nchi yetu tutegemee nini.wanasema wanatawala tanzania!!.magamba mpo????????????
 
nahisi kagame yuko nyuma ya ukatili huu wa ccm dhidi ya chadema.watusi wamekuwa wanafanya kazi na na magamba kwa kipindi kirefu sana.si mnajua historia ya josee kabila???huyu ni mtusi na sio mzaire.kama hamjui chunguzeni.watanzania wanashangaa ccm kuwapa uraia watu hawa.

Nimeona fisi kapewa nyama alinde. museveni kapewa usuluhishi kati ya Kagame na Kikwete
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom