Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,538
- 15,739
Hawa wajamaa ninawasoma Mkuu, wabishi kinoma, safari hi ninajua wana team nzuri sana na sisi pia tupo vizuri, ninategemea kuwa hawatatusumbua kihivyo kama kipindi cha Jose. So sina wasi wasi sana.Hii ni competition mkuu. Nafikiri tutasonga mbele kama kawaida yetu, lakini kumbuka lineup ya Borussia Dortmund ya mwaka huu ilivyokaa inatisha.
Ingekuwa poa sana kama Zizou angempumzisha Casemiro, msimu huu tuna game nyingi sana, so kufanya hivyo ingesaidia kuepuka majeruhi na pia wachezaji kuwa fit mwisho wa msimu. Safari hii rotation inahitajika sana.Modric/Kroos/James midfield needed tomorrow, Is Casemiro really needed in this game at Bernabeu? No.
Ingekuwa poa sana kama Zizou angempumzisha Casemiro, msimu huu tuna game nyingi sana, so kufanya hivyo ingesaidia kuepuka majeruhi na pia wachezaji kuwa fit mwisho wa msimu. Safari hii rotation inahitajika sana.