Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

COPE | Pepe is expected to be available for the La Liga game vs Celta Vigo after returning from injury.
 
COPE | Keylor Navas is also due a Real Madrid contract renewal whereby his wages will be significantly increased.
 
Cr7 ametwaa tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka usiku huu
1472147188248.jpg
 
Dortmund mdomoni mwetu tena, kipnd cha Mou walitusumbua sana, lla this time tutamalizana nao kiutu uzima!!


Hii ni competition mkuu. Nafikiri tutasonga mbele kama kawaida yetu, lakini kumbuka lineup ya Borussia Dortmund ya mwaka huu ilivyokaa inatisha.
 
kitu kimoja napenda kuhusu real Madrid hawanaga kelele!imagine katika miaka 3 iliyopita wamechukua Uefa mara 2 lakini almost hakuna kelele kabisa toka kwa mashabiki wao!!kipindi ile pep ya barca imechukua kama hivi ilikuwa kila sehemu barca barca barca!!!
 
OFFICIAL VOTING RESULTS:

1)Cristiano Ronaldo (40 votes)
2)Griezmann (8 votes)
3)Gareth Bale (7 votes)
 
Back
Top Bottom