RE: Nairobi blasts may slow EAC integration

Kabaridi

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
2,023
534
Daily News | Nairobi blasts may slow EAC integration

Nairobi blasts may slow EAC integration

Terrorism if well contained with installations of proper security mechanisms cannot harm economies and studies have proved it. For example the US had been marred by threats of Terrorism but majority of people say it was worth investing in the US rather than other nations across Europe mainly the UK and Germany. First, in UK it is quite hard just for normal graduates from Africa to get jobs only in few occasions. This indicates that the job market is driven by cut-off standards, most probably to favour their local citizens more which is understandable.

The post by these newspaper Daily News are trying to make it seem the only safe heaven for investment in East Africa is Arusha. But terrorism as we know it is a fast changing global phenomena as indicative of current events in the world now. It is just hard to know who your enemy is. To find out more follow this link to CNN 2 dead after bomb blasts in eastern Chinese city - CNN. But even despite the security hurdles China faces currently, European countries now like Greece and Italy now want to turn to China for Euro bail out. People generally, will find it difficult to invest in countries where there are stringent measures put in place by governments like discrimination of a particular citizenry. In East Africa, this discrimination will slow down the EAC integration as opposed to the fear of terrorism crippling this EACI dream. Despite the current threats warnings echoed by US travel advisories, tourism in Kenya has grown by a big percentage in 2011 as compared to 2010. This has further been proven by the Minister for Tourism of Kenya, Mr. Najib Balala during his interview with the BBC Swahili service.

What seems imminent now in slowing EAC integration is discrimination of foreign citizenry while they attempt to secure jobs in foreign countries across East Africa. Rwanda is the best performer in opening its borders for foreign businessmen to do business and even get gainful employment. The UK reports Rwanda as currently the best place in EA for business investments. To South Sudan, the newest member state of the AU, follows suit in opening its borders without much hassle. Kenya is performing well as it is host to a myriad of cosmopolitan populations across Africa who come in and out in the country to do business. Uganda does best when it comes to embracing new cutting edge technology. However, it is sad to note that just near here in Tanzania, it is hard for foreigners from across EA to do business because of hostile treatments and rigid cross border permits fees inflicted by authorities as one attempts get into the country right from the border.

Most of the complaints come from businessmen and women who swamp in and out of Tanzania to get goods for business. There have also been numerous complaints by people especially from Mombasa about how hard it is to secure gainful employment if you are not Tanzanian. Despite all of this, the Tanzanian Authorities are always reluctant to even give accounts of such allegations as being not healthy for the EAC integration. Let us all remember that while terrorism is not good for economies across EA, but silence as well on such imbalance of regional integration, will even kill the dream of integration much quicker than the effect of terrorism.

I

 
ANGALIZO:
Wakuu, hebu msomeni vizuri huyu troll hapo juu... kichwa cha habari aliyoweka hapo juu ni tofauti lakini anajaribu kujenga hoja fulani. Habari kamili anayojaribu kupingana nayo ni hii hapa chini....


Nairobi blasts may slow EAC integration

From MARC NKWAME in Arusha, 25th October 2011 @ 12:00, Total Comments: 1, Hits: 358


FOLLOWING recent bomb attacks in Nairobi, the East African Community (EAC) Deputy Secretary General, Ms Beatrice Kiraso has expressed concern over the possible spread of terror attacks in other parts the region.


“More than other regions, the East African region is vulnerable to new and emerging security challenges such as piracy, terrorism, human and illicit drugs trafficking.


“It seems like Al-Shabaab and the pirates are networking and shifting their strategy to soft targets such as kidnapping of tourists,” said Ms Kiraso, adding that such acts would affect investments and the region’s economy.


She said that if not dealt with immediately, these threats would greatly undermine the progress of the EAC integration.


Ms Kiraso was opening a workshop to develop a roadmap for making operational the Early Warning Mechanism (EAC-WARN) in Arusha.


The Deputy SG pointed out that the larger East African region in the last few decades has been the theatre of the worst conflicts on the continent.


“Conflicts have been one of the greatest challenges and impediment to the socio-economic development of the region,” she stated.


Ms Kiraso also noted that issues of governance, identity and extreme poverty, access to political power, use and allocation of resources have resulted in the displacement of thousands of people from their homes, loss of life, destruction of property, infrastructure and environmental degradation.


“That also lead into disruption of social relations and weakening of social capital, intensification of social vulnerabilities; state fragmentation, loss of economic growth and years of socio-economic development opportunities,” she said.


On other challenges facing the region, she mentioned water and scarcity of resources, climate change and its negative impact on food security and stability in the region; increasing poverty and unemployment particularly among the youths.


Ms Kiraso is of the view that the treaty that established the first EAC which collapsed in 1977 did not address peace and security but instead focused on economic integration.


“We should bear in mind that peace and security are prerequisite for an ideal environment of doing business and attaining prosperity in the region.


“EAC adopted in November 2006 a Strategy on Regional Peace and Security which is comprehensive and attempts to cover the whole spectrum of peace and security issues with various dimensions,” she noted.


Under the chapter on conflict prevention and resolution in its goal number 14, the strategy provides for the establishment of a Conflict Prevention, Management and Resolution (CPMR) Mechanism and in its goal 15, the establishment of an Early Warning Mechanism (EWM).


She explained that the strategy is being progressively implemented in most of its objectives, while some provisions are being updated or revised to take into account latest developments since it was adopted in 2006.


The objective of the EWM is to facilitate the anticipation, preparedness and early responses to prevent, contain and manage situations that are likely to affect peace and security in the region.

Source:
Daily News | Nairobi blasts may slow EAC integration
 
ANGALIZO:
Wakuu, hebu msomeni vizuri huyu troll hapo juu... kichwa cha habari aliyoweka hapo juu ni tofauti lakini anajaribu kujenga hoja fulani. Habari kamili anayojaribu kupingana nayo ni hii hapa chini....
Huyu Mzalendo452 inawezekana kuwa ni mvuta bangi, yaani amepinda. Sasa hapa anapata faida gani?
 
Huyu Mzalendo452 inawezekana kuwa ni mvuta bangi, yaani amepinda. Sasa hapa anapata faida gani?

Yaani ni kaazi kwelikweli, unamkumbuka yule mwingine alikuwa anatukana watu hapa nadhani bado anatumikia kifungo au ndo huyuhuyu amebadili ID...:lol:
 
Yaani ni kaazi kwelikweli, unamkumbuka yule mwingine alikuwa anatukana watu hapa nadhani bado anatumikia kifungo au ndo huyuhuyu amebadili ID...:lol:

Enyi! Ndugu Zangu, mbona mnaanguka mitihani namna hii? Nilidhani this is a professional forum being driven by professional Thinkers. Using foul language and unprofessionalism haitasaidia to kuchanganua mada hii. Mnajiita home of great thinkers. Ninyi ndio mumevuta bangi. Akili zenu sio timamu. Kama kuna mtu ana akili timamu hapo mlipo, itabidi aleta au apinge hoja hii kwa njia iliyo bora.
 
Enyi! Ndugu Zangu, mbona mnaanguka mitihani namna hii? Nilidhani this is a professional forum being driven by professional Thinkers. Using foul language and unprofessionalism haitasaidia to kuchanganua mada hii. Mnajiita home of great thinkers. Ninyi ndio mumevuta bangi. Akili zenu sio timamu. Kama kuna mtu ana akili timamu hapo mlipo, itabidi aleta au apinge hoja hii kwa njia iliyo bora.
Sasa wewe Mzalendo452 huoni kama hiyo habari uliyoileta umeichakachua?
 
Sasa wewe Mzalendo452 huoni kama hiyo habari uliyoileta umeichakachua?

there is no way nairobi bomblasts will hinder economic growth. Je? guruneti itazuia maendeleo ya kiuchumi africa mashiriki? jibu ni la hasha..................... there is a reason my friends nimeweka hoja hii pande mbili. Shida zote zilizotajwa hapo juu ni mbaya
 
Beatrice Birungi Kiraso sio mTanzania ni raia wa Uganda.

sawa babu hapo umenena

But yeye (Beatrice) hakuiweka namna hiyo jinsi ambavyo "MARC NKWAME in Arusha, 25th October 2011" alivyo ripoti. I think let us agree that the title " Nairobi blasts may slow EAC integration" or the report is quite "alarming" sivyo? kumbuka saa zingine haya magazeti yanaleta balaa. internationally people are reading and getting a complete different picture.

Just because presidents screws around, it doesn't make a president for screwing around.. ....................

wewe bantugbro what does the above phrase mean
actually rephrase
 
I think let us agree that the title " Nairobi blasts may slow EAC integration" or the report is quite "alarming" sivyo?

I agree but what's your point? Most of us don't even want to integrate right now because our country is in a mess.
 
By Mzalendo452 said:
I think let us agree that the title " Nairobi blasts may slow EAC integration" or the report is quite "alarming" sivyo?


I agree but what's your point? Most of us don't even want to integrate right now because our country is in a mess.
Kwakweli we have lot of work to do @ home kwa sasa nyie (KEN, UGD, RWD, BUR) muendelee na hiyo single currency tutakutana baadaye...
 
I agree but what's your point? Most of us don't even want to integrate right now because our country is in a mess.

You do not want to intergrate. You think you are self sufficient. OK juzi mataifa ya magharibi kama UChina na nchi zingine waliblacklist fish from TZ on grounds of dynamite fishing. Wacha you think eti your intergration with the western industrialized countries is flourishing because muna lala na wao kitanda kimoja, na wanawadanganya by whispering lies in your ears na financial aid packages. The whispers may be good music to your intellectual faculties, but remember siku ile mutatemwa ndio mutarudi kuintergrate, in EAC, mutakuta milango imeshafungwa.

EAST WEST NORTH SOUTH HOME IS BEST:eyebrows:
 
Huyu Mzalendo452 inawezekana kuwa ni mvuta bangi, yaani amepinda. Sasa hapa anapata faida gani?

Wewe Aksari Kanzu mnajiona wataalamu wa matusi. Msifanye ni loose my mind kama rais wa Syria. Kumbuka kinyesi sio mwiba, lakini ukiikanyaga lazima utachechemea :lol:
 
EAC integration ni jinamizi, likifa upesi litawasaidia sana Watanzania.
 
Acha kubishana nao hao jamaa..... Maana wanaelekea njia moja na Ugiriki.......
 
You do not want to intergrate. You think you are self sufficient. OK juzi mataifa ya magharibi kama UChina na nchi zingine waliblacklist fish from TZ on grounds of dynamite fishing. Wacha you think eti your intergration with the western industrialized countries is flourishing because muna lala na wao kitanda kimoja, na wanawadanganya by whispering lies in your ears na financial aid packages. The whispers may be good music to your intellectual faculties, but remember siku ile mutatemwa ndio mutarudi kuintergrate, in EAC, mutakuta milango imeshafungwa.

EAST WEST NORTH SOUTH HOME IS BEST:eyebrows:
Hapana mzalendo jaribu kutuelewa kuwa hatutaki kuintergrate kwasababu hatujajiandaa vya kutosha na sio kwasababu tuko self sufficient. Kabla hatujaingia tunataka tujue kama nia yenu wakenya ni mbaya au nzuri, maana tunajua kuwa pamoja na kuwa kulikuwa na sababu nyingi zilizopelekea kuvunjika EAC mwaka 1977 lakini ni kenya iliyokuwa ya kwanza kuvunja jumuiya sasa kwanini sasa hivi mko mstari wa mbele kutaka intergration? Kenya wanafahamika kwa kuwaabudu wazungu kwa miaka mingi kuliko Tanzania sasa kwanini sasa mmegeuka ghafla na kujifanya mnajali zaidi maendeleo ya Africa Mashariki? Sasa wakati tunaendelea kutafuta ukweli nyie wenye haraka endeleeni tutakutana baadae na kama tukikuta milango imefungwa tutaendelea na SADC yetu ambako hatuna wasiwasi na mwanachama yeyote. Kama intergration inalipa kwanini kila mwanachama atulalamikie sie wakati kuna nchi zingine zimefungua mipaka? Wanaoona TZ kuna vikwazo vingi kwanini wasifanye biashara ktk nchi zilizofungua mipaka mpaka pale TZ itakapofungua i.e kama Rwanda na Kenya zimefungua mipaka kwanini watu wasifanye biashara kati ya nchi hizo huku wakisubiri nchi zingine nazo zifungue.
Kila nchi inajua itafaidika vipi na intergration, sie watanzania tunafaidika na jumuiya yenye ushindani lakini sio kuungana kijumla jumla tu. Tunajua tumekosea wapi mpaka tukawapa upenyo wakenya sasa tunataka turekebishe kwanza halafu ndo tuendelee na siasa za kufurahisha umati.
 
Back
Top Bottom