Re: Msaada wenu jamani

mchakachuaji192

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
366
68
wanajamii nawasalim wote kwa ujumla nikiwa naimani tumejaliwa kuiona siku hii nyingine tena, jamani mie nakabiliwa na tatizo la kutokwa na vipele mara baada ya kunyoa ndevu na hata studio pia nikinyoa natokwa na vipele.

Yaani mpaka inafikia wakati naamua kuwa kama Osama lakini mpenzi wangu hapendi niwe na mandevu namna ile naombeni ushauri wenu jamani maana naimani humu ndani wako wetu wenye ujuzi ambao wako tayari kushare na wengine katika mambo yanayotukabili kila siku. Nawasilisha
 
wanajamii nawasalim wote kwa ujumla nikiwa naimani tumejaliwa kuiona siku hii nyingine tena, jamani mie nakabiliwa na tatizo la kutokwa na vipele mara baada ya kunyoa ndevu na hata studio pia nikinyoa natokwa na vipele, yaani mpaka inafikia wakati naamua kuwa kama Osama lakini mpenzi wangu hapendi niwe na mandevu namna ile naombeni ushauri wenu jamani maana naimani humu ndani wako wetu wenye ujuzi ambao wako tayari kushare na wengine katika mambo yanayotukabili kila siku. Nawasilisha

Usinyoe kwa kutumia nyembe, tumia mkasi kuzipinguza.

Au ukitumia mashine ya kunyolea basi uweke kitana namba moja. Vinginevyo uwe unatumia shaving cream, zinapatikana katika duka la dawa za bainadam
 
Je uliwahi kutumia machines za Gillete 3 au Turbo na shaving ya Gillete GEL(SIO FOAM),kama tayari uliishatumia nieleze nikuangalizia njia nyingine.
NB:Usifanye mchezo za hiyo kitu huwa inaleta cancer na ni hatari.
 
Usinyoe kwa kutumia nyembe, tumia mkasi kuzipinguza. Au ukitumia mashine ya kunyolea basi uweke kitana namba moja. Vinginevyo uwe unatumia shaving cream, zinapatikana katika duka la dawa za bainadam

asante mkuu nimekusoma
 
Je uliwahi kutumia machines za Gillete 3 au Turbo na shaving ya Gillete GEL(SIO FOAM),kama tayari uliishatumia nieleze nikuangalizia njia nyingine.
NB:Usifanye mchezo za hiyo kitu huwa inaleta cancer na ni hatari.

mkubwa hizi mashine ulizozisema hapa ndio nitumiazo pamoja na GEL ila matokeo ndio hayo ya kutokwa na vipele mkuu wangu
 
au unakosea kunyoa kwani inabidi ufuate direction za nywele zako uwe una nyoa oposite yake kwa ni ni akawaida walio wengi bado hatujajua kunyoa basi hili naona litakusaidia,
PENDELEA KUNYOA KABLA HAZIJA KUWA MSITU SANA PIA USINYOE KUFUATA NYWELE MAOTEO YAKE UNAKUWA UNAKATA SHINA LAKE SO INAPOTOKA NYWELE BASI LAZIMA KIPELE KIANZE POLE SANA MKUU
cONQUEST-UKUBWA KUELEWA SIO KUJUA
 
mkubwa hizi mashine ulizozisema hapa ndio nitumiazo pamoja na GEL ila matokeo ndio hayo ya kutokwa na vipele mkuu wangu

Pole m....192,
In that case you have a serious problem na skin yako,when you have time niandikie history(ilianza lini,your age,kama una any skin problem etc)na uko wapi nitai fwd kwa watu fulani.
Cheers.
 
thanks mkuu wangu haya matatizo niko nayo kwa mda wa miaka mitatu sasa, @ moment ninakimbilia 30, na kuhusu skini problems siruhusiwi kula samaki pekee huwa ninasumbuliwa na matatizo ya ngozi ndugu yangu niko dar mda huu nashukuru kwa msaada wako mkuu wangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom