Re; hodi wadau

mkumbamasaka

Member
Nov 1, 2010
15
7
Hodi wadau wapendwa,
kilingeni naingia,
mgeni katika jamvi,
pasi na hofu yoyote,
kuwa mmoja kati yenu,
mawazo kuchangia,
ustawi wa jamii kuneemeka.
Mkumbamasaka jina langu,
kukokotoa yalojificha,
hadharani kuyaanika,
uozo kuufichua,
nyuma kamwe kutorudi,
ni mimi wenu katika jamii
 
karibu sana... Lakini je kweli wewe umefata sheria za ushairi kweli?????, nakumbuka huwa kuna kitu kinaitwa vina..... anyway Karibu
 
Good Guy is ma name,
kuchakachua wachakachuaji is ma game,
come on in feel at home,
It's abt 2 get bumpy so u beta hold on 2 ya phone,
Ma hands got no foam,
lets shake hands and loam.
Just trying.karibu ndani mkuu
 
Ahsante kiungwana,
kwa ukaribisho mwanana,
good guy inamaana,
shukrani kwa wingi natoa,
pamoja daima tutakuwa,
thanks all ov u,
i'm happy to be one ov u,
:target:
 
Mkumbamasaka,

Hodi rafiki mpya,
Nimefurahi kuo-
nana wewe.
Utatafuta forum,
Kugawanya maoni,
yako wote.
Kwa jumla nasoma tu,
Sababu najifunza
bado lugha.
Basi karibu sana,
Tutaonana tena,
Siku njema.

Bibi Amy
 
Mkumbamasaka,

Hodi rafiki mpya,
Nimefurahi kuo-
nana wewe.
Utatafuta forum,
Kugawanya maoni,
yako wote.
Kwa jumla nasoma tu,
Sababu najifunza
bado lugha.
Basi karibu sana,
Tutaonana tena,
Siku njema.

Bibi Amy

haya bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom