Re: Blackberry Bold 9700 - elfu 80 tu!

magesa77

Senior Member
May 22, 2011
123
15
Ninauza simu aina ya Blackberry Bold 9700, ikiwa kwenye hali nzuri kabisa kama inavyoonekana ktk picha. Inakuja na charger yake. Bei Shillingi elfu 80 tu. inapatikana Dar. Piga no 0717 441184
 
Attachments

  • IMG-20140810-00134.jpg
    IMG-20140810-00134.jpg
    353.4 KB · Views: 101
  • IMG-20140810-00135.jpg
    IMG-20140810-00135.jpg
    284.6 KB · Views: 95
Ninauza simu aina ya Blackberry Bold 9700, ikiwa kwenye hali nzuri kabisa kama inavyoonekana ktk picha. Inakuja na charger yake. Bei Shillingi elfu 80 tu. inapatikana Dar. Piga no 0717 441184
Mimi nina 50 inakuwaje? betri masaa mangapi?
 
Betri iko poa, ina last charge siku nzima. Elfu 50 iko chini sana, ukilinganisha na hali ya cm, leta 70 mwisho nikuachie!
 
Simu bado ipo, iko katika hali nzuri kabisa, pia ina original blackberry cover yake! Karibuni!
 
Simu bado ipo, iko katika hali nzuri kabisa, pia ina original blackberry cover yake! Karibuni!

Upo wapi nikuletee 60 fasta ukikubali ni PM ili niweza kuona uki reply hapa sitoona coz uzi utapotea.
 
Back
Top Bottom