RC MARA kuchangia CCM 20m siyo sahihi

hivi mnaonaje RC's wakawa wanachaguliwa na wananchi wa mkoa husika na wawe wazawa au wana asili ya mkoa husika? nadhani watajitahidi kuhakikisha maendeleo mikoani mwao.kwa maana, wengi wetu hapa hata ukiuliza kazi za mkuu wa mkoa hatuzijui tunazijua za wabunge na watawala wengine wa mikoa.hii inatokana na michango yao midogo kwenye mikoa husika.na uchaguzi uwe labda after 5 years.

wengi wao huwa wanaishi Dar es salaam na kuacha mikoa yao.naomba mnisaidie, hivi dito alikua anashughuli gani dar alipopata ajali? mi nadhani wengi huchaguliwa kiswahiba, mnalionaje hili?
 
Umepiga hadi Ikulu .Wakuu wa Mikoa na Wilaya ni makada wa CCM ambao kazi yao ni kuhakikisha maslahi ya CCM mikoani na Wilayani kuanzia uchaguzi hadi mambo mengine ma kusimamia rushwa kuota mizizi .Ref ni mkuu wa mkoa wa Mara sasa namachimbo ya madini mkoani hapa .
 
Unajua baada ya kuvunjwa kwa Azimio La Arusha, kama RC wa mkoa hawezi kuwa hela zake binafsi zinazozidi shillingi millioni 20, basi kama taifa tutakuwa na matatizo makubwa sana, maana huyo kiongozi itakuwa na maana kwamba hana biashara yoyote, hana shares za kibiashara mahali popote, hana hata kamradi kadogo dogo kakumuingizia extra money, meaning kwamba huyu mkuu hana any idea na uchumi hasa wa binafsi, sasa atauwezaje wa mkoa au taifa?

No wonder viongozi wetu siku zote ni magoi goi tu wakufuata bendera na kuogopa kuwa na misimamo imara kwa wananchi against wakubwa kwa kuogopa kufukuzwa kazi!

It is just sad and pathetic!
 
ES kama ni hela zake na anachangia kivyake basi waseme hivyo na wasitumie cheo cha RC.

Halafu hapo ndipo watu watajua RC ana biashara gani na kama anaweza kuchangia hivyo au la.

Bottom line bongo tunahitaji campaign finance // political contribution laws .
 
Bottom line bongo tunahitaji campaign finance // political contribution laws

Very strong point! ila sina uhakika ni kina nani wanaotakiwa kusmea hivyo, RC ni RC hata akistaafu anakuwa RC mstaafu, akishakuwa na hicho cheo sio rahisi kuondokana nacho mkuu!
 
Unaposema RC kachangia unamaanisha huyu bwana kachangia katika capacity yake kama RC, na chances are katumia funds za serikali kutoka ofisi ya RC, kitu ambacho kinaleta beef hapa.

Kama RC ana cheo kingine kichama, au kama ni mwachama tu basi wakitaje hicho cheo cha kichama.

Hata rais anapopchangia mambo ya chama anachangia si kama rais bali katika capacity yake ya mwenyekiti wa chama, maana rais ni wetu sote na kapigiwa kura na wanachama wa vyama vingi tu,, kwa hiyo watu wa CHADEMA wanweza kulalamika kuwa na wao wachangiwe narais
lakini mwenyekiti wa CCM ni mtu wa chama na hakuna mtu asiye CCM anayeshiriki process ya kumchagua.
 
ES kama ni hela zake na anachangia kivyake basi waseme hivyo na wasitumie cheo cha RC.

Halafu hapo ndipo watu watajua RC ana biashara gani na kama anaweza kuchangia hivyo au la.

Bottom line bongo tunahitaji campaign finance // political contribution laws .

Ni wazo zuri ila kwa kuongezea ni kwamba huyu mheshimiwa ni vizuri aachane na mabo ya CCM na aendelee na biashara na kwa kama "financial backer".

Lakini katika records zote ijulikane financial backers wa CCM na kila chama ni akina nani na huwa wanatoa kiasi gani na zinatoka wapi.
 
Just out of curious,

Kwani sh. 20m ni hela nyingi sana kwa Mkuu wa Mkoa nazo? Nadhani hii ni hela anaweza kabisa kuitoa mfukoni mwake kama anataka kupalilia?
Naamini kuna afanyakazi wengie tu wa serikali wanaweza kuandika check ya sh. 20m bila shaka.
 
You are absolutely right!

Lakini ziwe za mwanachama wa CCM na sio mwanachama halafu ni kiongozi kama RC.

Hivi huoni hapa pana walakini?
 
Ukishamwita RC una m present katika capacity yake kama mtumishi wa serikali.

Tatizo sio so much on kiasi as it is kwamba kiongozi wa serikali ametumia hela ya serikali kuchangia mambo ya chama.Kama hela ni zake na anachangia kibinafsi hilo liwekwe wazi na wala wasimuite kwa cheo cha RC kwa sababu hachangii kama RC.
 
Mkuu Pundit hao unaowasema ni kina nani? RC hawezi kutoa hela za mkoa si kuna wakaguzi wa serikali hupitia huko? Ina maana hela alizozitoa ni zake biinafsi, mbona hatujawahi kusikia kuwa ofisi imetoa tuu, unajua wakuu sometimes mnalaumu tu hata visivyolaumika,

RC hawezi kutoa shillingi millioni 20 za serikali bila mpangilio maaalum, zingekuwa za serikali ingesemwa, hizo mkuu ni zake binafsi je kuna tatizo?
 
Hii siyo haki kwani naamini fedha hizo hajazitoa mfukoni mwake bali bajeti aliyotengewa na Tamisemi/wizara ya fedha kwa ajili ya kutekeleza mipango ya maendeleo ya wananchi.

Mkuu hii ni the only "evidence" ya mtoa mada kuwa RC ametoa hhela za serikali, anaamini lakini haina maana ndio ukweli, kwa hiyo hata mada yenyewe haijakaa sawa hii, mkuu mtoa mada hebu weka ukweli RC ametoa wapi hela hizo ni zake au za serikali? Kwa sababu kuamini peke yake is not enough!
 
Mkuu Pundit hao unaowasema ni kina nani? RC hawezi kutoa hela za mkoa si kuna wakaguzi wa serikali hupitia huko? Ina maana hela alizozitoa ni zake biinafsi, mbona hatujawahi kusikia kuwa ofisi imetoa tuu, unajua wakuu sometimes mnalaumu tu hata visivyolaumika,

RC hawezi kutoa shillingi millioni 20 za serikali bila mpangilio maaalum, zingekuwa za serikali ingesemwa, hizo mkuu ni zake binafsi je kuna tatizo?

Es mkuu BoT walichota kwani hawakujua wakaguzi wanapitia huko baadaye ?
 
Mkuu wa mkoa hebu tueleze hizo milioni 20 umezitoa wapi?Kwa mafungu ya RC's anayopewa kutoka serikalini na kutoa milioni 20 sio mchezo,hawa watu kifedha hawamsogelei mkurugenzi wa manispaa sasa huyu RC amezitoa wapi,mimi nadhani achunguzwe sio kawaida kwa RC kutoa hicho kiwango.Huyu RC anaweza kua miongoni mwa mafisadi.

Unajua alichokifanya huyo RC ni unafiki kwa Rais ili amuone anafaa na nafikiri hana sifa za kupewa U-RC aliupa kimiujiza hivyo anachofanya ni kujikombeleza kwa JK kwa kukiunga chama.Hili kacheza faulo mtu wangu.

Lakini RC yuko upande wa serikali kuu,hivi hapa hajachemsha?

njaa ni ni kitu kibaya sana.yani watu wameona hapa mil 20 ni nyingi sana.
 
You are absolutely right!

Lakini ziwe za mwanachama wa CCM na sio mwanachama halafu ni kiongozi kama RC.

Hivi huoni hapa pana walakini?

Wan JF nadhani sasa tuwe makini. Tuwe fair. Yaani tumeishafikia hatua ya kuwa every CCM leader is "Guilty until proven innocent"?

Nadhani si kosa kwa kiongozi kutoa mchango unless tuna uhakika au angalau wasi wasi kuwa si za halali. Lakini kuwa kiongozi wa CCM na kutoa mchango should not always be such a tragic combination.
 
Unaweza pia kuweka the other side ya hii story. Je hizo pesa amezitoa ni zake binafsi au ni za serikali. Kama ni za kwake binafsi, je ana biashara za kumwezesha kutoa hizo pesa? Haya ni maswali ambayo yanaulizwa na serikali nyingi duniani.

Hapa marekani unaweza kufanyiwa uchunguzi na FBI kama unaonekana kuwa unanunua vitu vinavyozidi vyanzo vyako vya mapato na kama haionyeshi kuwa umekopa hivyo vitu!
 
Gotcha you Mwafrika wa Kike,

Swala ninalosema ni hili: JF sio FBI. Sisi tunajadili hoja zenye kutusaidia. Sh. 20m kwa mkuu wa mkoa si hela ya kumwinua FBI nyumbani kwake ili kuchunguza amezipata wapi? Na si kazi ya JF kuhoji matumizi ya kila mtu unless, kama nilivyosema tuwe na hakika au angalau wasi wasi wa matumizi hayo
OK mimi mwezi uliopita nilitoa mchango kwenye NGO moja sh. 18m. Sasa mtaniandika JF. Mimi ni mwanacham tu (wala sio kiongozi) wa CUF.
 
Back
Top Bottom