RC MARA kuchangia CCM 20m siyo sahihi

Gotcha you Mwafrika wa Kike,

Swala ninalosema ni hili: JF sio FBI. Sisi tunajadili hoja zenye kutusaidia. Sh. 20m kwa mkuu wa mkoa si hela ya kumwinua FBI nyumbani kwake ili kuchunguza amezipata wapi? Na si kazi ya JF kuhoji matumizi ya kila mtu unless, kama nilivyosema tuwe na hakika au angalau wasi wasi wa matumizi hayo
OK mimi mwezi uliopita nilitoa mchango kwenye NGO moja sh. 18m. Sasa mtaniandika JF. Mimi ni mwanacham tu (wala sio kiongozi) wa CUF.

Tena hasa hasa ukiwa kiongozi wa serikali basi ujue standard zinakuwa raised a lil higher! Kama watu hawawezi kuuliza kuwa kiongozi wa serikali ametoa wapi milioni 20 za kuchangia ccm basi ujue kuwa mambo mengi yatapita chini ya rug!

Hili ni very simpo, ielezwe tu kuwa pesa aliyotoa kama ni yake au ni ya serikali na baada ya hapo utajua umuhimu wa hili swali. Kama akijibu kuwa hiyo pesa ni ya serikali basi kuna kesi kubwa hapa ya kutumia pesa ya serikali kwa mambo ya chama. Kama ni yake binafsi basi ielezwe wazi kama biashara zake zinaweza kuwa na uwezo wa kutoa hiyo pesa?!

Unajua JK bado hajashughulikia wauza madawa ya kulevya, hii ni sign kubwa sana ya dealers kama unakuwa na pesa ambazo hazina business au chanzo cha mapata cha kujustfy hizo pesa!

Hili swali ni muhimu, kuhusu hizo mill 18 just wait for the tone maana nitakushukia huko muda si mrefu na mapolisi kama mia 100 toka kwa Tibaigana.....lol
 
the amount of money contributed as compared to the RC's annual salary......in Tanzania

kwa miaka mingapi?? Ina maana mnataka kusema huyu jamaa hana saving?? Mshahara wa mkuu wa mkoa ni kiasi gani? Kama hana milioni 20 basi anapaswa kufukuzwa kazi. Maana kama hawezi kuwa na Shs millioni 20 chini ya mwamvuli wa "AZIMIO LA ZENJ", basi hafai kuwa mkuu wa mkoa, achilia mbali mkuu wa wilaya
 
Ina maana unataka kusema kuwa this guy ametoa pesa yote aliyonayo kwenye savings kuipatia ccm? Hili ni swali simpo tu limeulizwa hapa, hii pesa aliyotoa hapa ni yake binafsi au ni ya serikali? na kama ni yake binafsi, je ana kipato cha kutosha kujustfy haya matumizi?
 
Mwafrika, wewe endelea kunivunja mbavu. Embu acha kudhalilisha cheo cha RC!! Hiyo 20, ni peanut kwa mkuu wa mkoa FYI.

Lakini swali unalouliza ni la msingi. Hii pesa ni ya kwake, au amekwapua kutoka kwenye fuko la serikali??
 
Kwi kwi kwi kwi,

Mwanamalundi,

Afadhali umerudi kwenye swali ambalo limeulizwa hapa kwa siku kadhaa bila kupata jibu.... hayo mengine naweza kupiga hesabu na nikahakikisha kuwa mshahara wa RC haumwezeshi kutoa sadaka ya milioni 20 (ya pesa zake binafsi) kwa sisiemu unless kama huyo RC ana biashara zake za pembeni anazofanya!
 
the amount of money contributed as compared to the RC's annual salary......in Tanzania

Mwafrika wa Kike sasa unataka kunichekesha, kwa sababu mara mmesema tatizo sio kiwango ila ni kuwa kiongozi wa CCM. Sasa unadai tatizo ni sh. 20m
Hivi hizo ni fedha za kumhoji mtu siku hizi? Je hiyo m ingekuwa b si mngemfunga bila kesi basi.
 
DUH!! HII KALI NYINGINE HUYU KATOA WAPI??? JE! KAKOSA MASKINI AU WAJANE WAKUWAPA KWELI ANAIPA CCM MAELA YOTE HAYO,LABDA KWENYE MKOA WAKE AKINA MWANANCHI MWENYESHIDA.

MUNGU ATAWALAANI KAMA MAMBO NDO YANAENDA HIVI.
 
Back
Top Bottom