Ukaridayo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 507
- 469
Wamefanikiwa kuweka maji kwenye umeme, Ving'amuzi kwenye umeme, Tickes za michezo na hata za baadhi ya usafiri/mwendo kasi n.k kwenye umeme, na hata umeme wenyewe kwenye umeme, bank nazo zimeunganishwa na mifumo ya mitandao ya simu yani unatoa pesa na kuweka pesa bank kiganjani mwako electronicaly, siku hizi kuna baadhi ya sheli za mafuta zina kadi maalumu tu huitaji kulipa keshi ni mwendo wa electronicaly..
Na sasa wanataka kuweka afya kwenye umeme,, mjue a cashless society naiona ipo mlangoni mdogo mdogo ndipo tunapoelekea kwasababu Biblia inaniambia kwenye zama za apocalyptic maarifa yataongezeka sana teknolojia itaonekana kuwa ndiyo chombo cha kumrahisishia mwanadamu majukumu yake but namna ya kukitumia!! ndiyo gogoro mana shetani anajijua ana muda mchache sana.. ole wa nchi.
huko ndiko tunakoelekea kutimizwa kwa unabii juu ya ujio wa chapa ya mnyama taratibu,,, hakuna jipya bali unatakiwa kutazama kwa jicho la rohoni kuhusu hizi mambo mana haya mambo huwa yanakuja ama kutimia ktk mazoelea ama kawaida au desturi zetu kuja kushtuka ni watu wapo mtegoni...
hii ya afya kutiwa kwenye umeme ni an introduction tu.... kiashiria cha mwelekeo wa jahazi... sasa linakwenda wap!!!?
A cashless society describes an economic state whereby financial transactions are not conducted with money in the form of physical banknotes or coins, but rather through the transfer of digital information (usually an electronic representation of money) between the transacting parties.[1] Cashless societies have existed, based on barter and other methods of exchange, and cashless transactions have also become possible using digital currencies such as bitcoin.
Sasa kama wataweka afya kwenye umeme mnafikiri hapo kuna nini???