RC Makalla atoa Wiki moja kukomeshwa biashara ya ngono, awataka Polisi kuvaa kiraia na kujifanya wateja

Ah yan ndio nilikua nataka nipite uwanja wa fisi mana napasikia tu..
Sa itakuaje ?
Siku utakayoenda kule hakikisha unakuwa kama wao kwa kila kitu, na usibebe chochote cha thamani, wewe jibebe buku tatu yako chini piga yebo zilizochoka mkononi sigara hata kama huvuti. Demu utapiga wa buku bao moja
 
Shida Polisi wenyewe sio waminifu, watawakusanya na kujipigia mizigo wakasau walichotumwa!!
Yan hapo hakuna kitachofanyika sie wanaume wote tunapenda mademu...
Maofisini humu kuna wazee wetu umri wa baba zetu ukipita msabwanda tunakonyezana utasema tupo same age yan ndio uchukue polisi asee wakakamate mbunye bila kula mzigo...??
 
makalla-12-1080x570-1.jpeg

Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo kulalamikiwa na Wananchi.

Malalamiko hayo yametolewa wakati wa Mwendelezo wa ziara ya kusikiliza na kutatua Migogoro ya Wananchi Jimbo la Kinondoni ambapo wamedai kuwa imefikia hatua biashara hiyo inahusha pia utumikishaji wa kingono kwa watoto wadogo Jambo ambalo ni kinyume na sheria na maadili.

Kutokana na hilo RC Makalla amewaelekeza Jeshi la Polisi kuwatuma askari watakaovaa nguo za Kiraia na kuwanasa watu wote wanaofanya biashara ya ngono.

Aidha RC Makalla ameelekeza Viongozi wa kata na Mtaa huo kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kumaliza suala hilo.

Bongo Five
Anasaka kiki
 
Polisi hata wavae vipi ni ngumu mmno..mana mambo sasahivi yapo telegram ni mwendo wa list ya uaminifu.

Suala serikali ikae na hawa makahaba ione namna gani inaweza kupata kodi..tofauti na hapo hawataweza ishida hii vita mana hata polisi nao ni wateja.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan hapo hakuna kitachofanyika sie wanaume wote tunapenda mademu...
Maofisini humu kuna wazee wetu umri wa baba zetu ukipita msabwanda tunakonyezana utasema tupo same age yan ndio uchukue polisi asee wakakamate mbunye bila kula mzigo...??
Umenikumbusha kuna Boss wangu anapenda hizo kitu ila domo zege!!
 
makalla-12-1080x570-1.jpeg

Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo kulalamikiwa na Wananchi.

Malalamiko hayo yametolewa wakati wa Mwendelezo wa ziara ya kusikiliza na kutatua Migogoro ya Wananchi Jimbo la Kinondoni ambapo wamedai kuwa imefikia hatua biashara hiyo inahusha pia utumikishaji wa kingono kwa watoto wadogo Jambo ambalo ni kinyume na sheria na maadili.

Kutokana na hilo RC Makalla amewaelekeza Jeshi la Polisi kuwatuma askari watakaovaa nguo za Kiraia na kuwanasa watu wote wanaofanya biashara ya ngono.

Aidha RC Makalla ameelekeza Viongozi wa kata na Mtaa huo kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kumaliza suala hilo.

Bongo Five

Mungu amsaidie kwenye hii vita
 
Safi sana.Biashara ya ngono inadhalilisha utu, Ndoa haziheshimiwi tena sababu ngono imekua rahisi sana.wanandoa wakitofautiana kidogo mmoja wao anaenda kununua ngono badala ya kufanya suluhu ndani ya nyumba.
 
cha muhimu polisi wasiende na nyege tuu
Sasa ni bora wangeenda nazo wala isingekuwa issue kubwa. Ubaya ni kuwa wataenda na tamaa ya kupiga fedha. Huyu RC naye ni kama walewale tu. Tangu lini ukahaba ukamalizwa kwa msako wa polisi.
 
Rasmi sasa polisi wengi watakuwa wateja wa rushwa ya ngono...

Badala ya 'hela ya kiwi' sasa watageukia 'papuchi'...
 
Kwan hii biashara ina shida gani? Hii ndo biashara kongwe kupita zote duniani, kwann unataka kupiga marufuku? Kwann unafanya kazi iliyowashinda viongozi wengi wa dunia? Watu siku hizi wanauza bidhaa mtandaoni, unawazuia vp?

Dar es Salaam ni mji wa kibiashara, tiunahitaji RC mwenye akili ya biashara. RC wa kuwatengenezea fursa vijana ili wafanye biashara. Sio hizi porojo anazofanya kana kwamba hii nchi ya kilokole/kiislam. Wanawake wawe huru kuamua juu ya miili yao.
 
Hakuna sheria inayomzuia mtu kufanya ngono kwa hiari akiwa ana miaka 18 au zaidi na sio mwanafunzi wa shule, na ni vigumu kudhibitisha mahakamani kwamba alikua nafanya biashara ya kuuza mwili wake.

Kinachoweza kufanywa ni kutatua sababu zinazowafanya wafanye hivyo.

Swala la kufanya ngono na mwanamke na kumlipa fedha lipo kwa wanawake wengi hata wale ambao hawaendi sehemu maalum.
Mawazo yako yameenda shule. Na ndiyo maana biashara ya ngono haiwezi kwisha. Itaishaji na jiji limejaa wanawake wanaojiuza kila kona. Hawa hawa viongozi kama ma-RC ni wateja wazuri na wanalipa ghali kuliko hata huko uwanja wa fisi. Tofauti ni mazingira ya kununua na kufanyia ukahaba tu. Kwa mfano hawa mademu waojiita wasanii wengi wao ni makahaba. Na viongozi ndiyo wateja wao wakubwa. Hivi hakumbuki kuna mtu ameshawahi kuhonga mpaka ukuu wa wilaya ya Kisarawe kwa demu? Au kwa sababu ameshafariki ndiyo hakumbuki tena.
 
Kwan hii biashara ina shida gani? Hii ndo biashara kongwe kupita zote duniani, kwann unataka kupiga marufuku? Kwann unafanya kazi iliyowashinda viongozi wengi wa dunia? Watu siku hizi wanauza bidhaa mtandaoni, unawazuia vp?

Dar es Salaam ni mji wa kibiashara, tiunahitaji RC mwenye akili ya biashara. RC wa kuwatengenezea fursa vijana ili wafanye biashara. Sio hizi porojo anazofanya kana kwamba hii nchi ya kilokole/kiislam. Wanawake wawe huru kuamua juu ya miili yao.
Ni kweli. Mbona kuna wengine wameuza miili yao mpaka wakapewa ukuu wa wilaya? Hili hata Kisarawe linajulikana.
 
Back
Top Bottom