pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 17,750
- 13,817
Kwani makonda ni nani?
Hebu acha uchawa wa kipuuzi we kiumbe!
Hebu acha uchawa wa kipuuzi we kiumbe!
Mkuu unaongeaje sasa.
Maagizo sasa atatoa Makal, na Makonda itabidi azingatie maagizo ya chama.

Nimeshangaa sana kuona watu wenye uelewa wa kutosha waki-"like" hili Bandiko.Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi.
Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa Waziri Mkuu na Rais pekee na si vinginevyo.
Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.
Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!
Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
ThibitishaMakonda ni jambazi.
Alivamia Clouds TV usiku akiwa bastola,na baada ya Nape kutumbuliwa na jambazi Magufuri mchana kweupe bila Maulid Kitenge basi leo hii Nape angekuwa kibra chini ya jambazi Makonda.Thibitisha
Mwenye uzi huu aje tuendelee na mjadala
Unatetemekea mtu badala ya kufanya kazi ulotumwa na alokuteua.... Jinga nyie mnamwonaga makonda kama mumu wenu!!! MbaaavuBaada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi.
Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa Waziri Mkuu na Rais pekee na si vinginevyo.
Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.
Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!
Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
Mtu mwenye akili hasifiwi!Huwa hawajitambui.....wakipata vyeo..hapo walikuwa wakimsifia Paul, sasa wamsifie na Makala pia.
Makalla alitambua mapema.Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi.
Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa Waziri Mkuu na Rais pekee na si vinginevyo.
Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.
Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!
Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
Toka lini nazi ikashindana na jiwe? Makonda chaliiiiiBaada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi.
Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa Waziri Mkuu na Rais pekee na si vinginevyo.
Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.
Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!
Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
Viongozi wakiwa ofisini hudhani jobless hawana akili.🤣🤣🤣🤣🤣Kimeumana...