A
Anonymous
Guest
Nina kero tena kubwa hasa, hizi ndege zetu Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) zinazofanya ruti ya kwenda Comoros, yaani ni mfano wa daladala, unakata ticket kwa Shilingi Milioni moja sio mchezo, unaambiwa reporting time Saa 3:00 Asubuhi.
Unajikuta ukiwa na hekaheka za kujitayarisha unatumiwa meseji reporting imebadilika ni Saa 8:00 Mchana.
Tumefika Saa 7:30 Mchana tumeingia tukaambiwa ndege itaondoka Saa 8:00 Mchana, ajabu muda wa kuondoka unakuwa Saa 11:00 jioni.
Tumeingia Dar es Salaam Saa mbili kasoro, sasa hii ndege au daladala Chanika posta? Kero na aibu kubwa, hii si mara ya kwanza, naona sasa inaanza kuwa mazoea ndio maana nimefikia hatua ya kuandika hapa.