papag
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 1,137
- 1,608
Habari wakuu na poleni na majukumu
Naomba msaada wenu wa hasa kina dada mniandalie ratiba rahisi ya chakula ya hata siku 5 za juma,niko huku camp sasa mambo ya kujipikia yanakuwa tatizo kidogo mara nyingi najikuta narudia kupika mlo mmoja au miwili inayofanana.
Asanteni na nawasilisha