RASMI: Sitti Mtemvu sasa kuvuliwa taji la Miss Tanzania 2014

Hivii, haya mashindano lazima yaandaliwe na Lundenga tu miaka yote!? Kwani hakuna wataalamu wengine wa mambo ya urembo?!
 
Wengi wa vijana wa Kitanzania wakiwa ughaibuni misingi ya imani zao huwekwa kando na utamaduni wa kigeni hutamalaki fikra zao...

yani ukizilinganisha hizi picha huwezi kuamini kama ni binti wa ki-islam! kamshushia hadhi babake.

VMP_1400-L.jpg
 
Wengi wa vijana wa Kitanzania wakiwa ughaibuni misingi ya imani zao huwekwa kando na utamaduni wa kigeni hutamalaki fikra zao...

Mi najua baadhi ya Wabongo Waislamu ambao hula sausage, bacon, na pork chops.

Wengine hula hata bila kujua. Unakuta mtu katokea kwenye boksi yuko choka mbaya na hawezi kurudi nyumbani na kuanza mambo ya kupika.

Anapita zake Mickie D's (that's McDonald's, btw) na ndani wala haingii...anaenda tu kwenye drive-thru ana-order meal #3 (bacon clubhouse) au #5 (habanero ranch quarter pounder) na super-sized Hi-C orange halafu huyo anasepa zake.

Kwa njaa aliyonayo anaanza kuila baga humo humo kwenye gari bila hata kufikiri kuwa alichonunua kina (pork) bacon.

Akija kustuka too late.....mdudu tayari yuko tumboni ana-digest tu.
 
Father; I have 4daughter

1;eng
2:mba
3:phd
4;miss tanzania
Neighbour,,,why dont u throw the 4th daughter

Father;is the only one earning money the rest are jobless

Uwiiiiio
 
Nina wasiwasi na hili, hii picha niliikuta hapa jf na sina uhakika kama ilipigwa kabla au baada ya ushiriki wa miss temeke!
VMP_1287-L.jpg



Lini picha hii ilipigwa ni irrelevant ; kinachoonekana hapa ni kwamba sio kweli kuwa Abbas Mtenvu alipinga mwanae kuingia kwenye mashindano haya ya urembo!! Abbas Mtemvu alikuwa nyuma ya mwanae toka mashindano yalipoanza huko wilaya ya Temeke hivyo suala la mwanae kumuaibisha kutokana na uswalihina wake sio kweli!!
 
Huyu Bibi Bomba lazima arudishe taji ili apewe Binti anayestahili. Na suala la Abbas Mtemvu lisiingizwe hapa kwa kisingizio chochote, labda kama atakuwa alihusika katika kufoji hivyo vyeti.

Katika hili sakata lazima kila jiwe lipinduliwe. Na wale matutusa wa RITA waliohusika katika hiyo fojari WAPIGWE TU, maana hakuna namna nyingine...TUMECHOKA! Wahusika wote waburuzwe mahakamani wakanyee debe Segerea au Ukonga.



tpaul ni kweli uyasemayo ila siku nyingine usiwe unaandika huku unalia kama hapo kwenye avatar yako.
 
Heading inasema RASMI ila habari yenyewe sio rasmi kabisa.
 
Astahili yake, mtoto wa Kiislaam aliyelelewa nje ya maadili ya Kiislaam.

Hawana haya wala hawajui vibaya, yeye na wazazi wake:




Tazama huyu baba na mama walivyo hawana haya, mtoto wao anawakalia nusu uchi na wao wako radhi kabisa!

Mababa namna hii ndio sampuli za wanaotembea na mabinti zao na mabinti namna hii ndio wanatembea na baba zao. Hawana soni hata chembe.

Kudadadeki! Kweli dunia sasa ni kijiji. Hakuna siri tena.
 
Lini picha hii ilipigwa ni irrelevant ; kinachoonekana hapa ni kwamba sio kweli kuwa Abbas Mtenvu alipinga mwanae kuingia kwenye mashindano haya ya urembo!! Abbas Mtemvu alikuwa nyuma ya mwanae toka mashindano yalipoanza huko wilaya ya Temeke hivyo suala la mwanae kumuaibisha kutokana na uswalihina wake sio kweli!!

Inaoneka hii familia baba hana maamuzi mama anamburuza tuu sijui nyumbani kama wanavaa nguo itakuwa wote wanatembea uchi.huwezi piga picha na mwanao namavazi hayo kama sio umalaya wa kifamilia.
 
Back
Top Bottom