RASMI: Mauritius yahalalisha ushoga na mapenzi ya jinsia Moja

Arnold Kalikawe

Senior Member
Sep 28, 2016
145
335
Mahakama ya Juu ya nchi hiyo, katika uamuzi wa kihistoria wa Jumatano, ilitangaza Kifungu cha 250 cha Kanuni ya Jinai ya Mauritius, ambayo ilianza mwaka 1898, kuwa kinyume na katiba ya nchi.

Sheria hii iliyofutwa hapo awali iliwatia hatiani watu binafsi na kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka mitano kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Uamuzi wa Mahakama ya Juu ulisisitiza kuwa sheria hii haikuafikiana na maadili halisi ya watu asilia wa Mauritius bali ni masalia tu ya sheria na historia ya ukoloni wa taifa hilo kutoka Uingereza.

Safari ya kuelekea ubatilishaji huu wa kihistoria ilianza Oktoba 2019 wakati vijana wanne wa Mauritius, wanachama wa kundi la haki za Young Queer Alliance, waliwasilisha pingamizi la kisheria dhidi ya sheria ya kupinga ushoga, wakitaja ukiukaji wake wa haki zao za kimsingi na uhuru.

Uamuzi huu umepokea sifa kutoka kwenye Umoja wa Mataifa na mashirika mengi ya haki za binadamu. UNAids, katika taarifa waliyoichaoisha, iliikaribisha Mauritius katika orodha inayozidi kuongezeka ya nchi za Kiafrika ambazo zinakumbatia haki za binadamu, ikiwa ni pamoja na zile za LGBTQI+ na Mambo ya ushoga.

Kwa hakika, Mauritius sasa inaungana na mataifa mengine ya Kiafrika kama vile Afrika Kusini, Angola, Botswana, Ushelisheli na Msumbiji katika kuhalalisha uhusiano wa watu wa jinsia.
 
Umaskini wa nchi za kiafrika utayaingiza mataifa mengi katika matatizo kama haya.

Hasara za ushoga ni pamoja na kukosekana kwa wanaume halisi ndani ya taifa, kusambaa na kuenea kwa magonjwa ya zinaa, kupungua kwa wingi wa watu kutokana na kupungua kwa kasi ya kuzaliana na pia ni dhambi na laana mbele za Mungu.

Naliombea taifa letu lisije fikia huku 🙏🏻...
 
Naliombea taifa letu lisije fikia huku ...
Taifa unaloliombea ni Tanzania mkuu?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Ushoga na Mapenzi ya jinsia moja.... tofauti zake ni nini mtoa mada?
Mapenzi ya jinsia moja kwa lugha iliyokuja na meli ni homosexuality ambayo muunganiko wa matukio yote ambayo watu wenye jinsia za kufanana uyafanya katika muktadha wa uhusiano wa kimapenzi na ngono. Yani mwanaume na mwanaume au mwanamke na mwanamke.

Ushoga ni kwa kwa lugha ya kigeni Gay, ni wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, moja anaingiliwa kinyuma na maumbile na mwenzake, ambapo wao kwa lugha yao ya Ushoga wanatumia neno Bottom na Top. Bottom ni mwanaume anayepachikiwa uume na kuingiliwa na mwanaume mwenzake, na Top ni mwanaume anayemuingilia na kumpachika uume mwanaume mwenzake kinyume na maumbile. Na kuna Versitile, huyu ni yule anayeweza kuingiliwa au kuwaingilia wenzake, kwa kifupi anapiga miguu yote miwili kama ronaldo, yani anaweza kuwa Top au kuwa Bottom, au kuwa vyote kwa wakati mmoja.

Haya majina Top na Bottom kama huyaelewi unaweza kudhani ni lugha ya kawaidia endapo utakuta wamaume wawili wakiongea. Kumbe ni lugha za Ushoga.
 
Umaskini wa nchi za kiafrika utayaingiza mataifa mengi katika matatizo kama haya.

Hasara za ushoga ni pamoja na kukosekana kwa wanaume halisi ndani ya taifa, kusambaa na kuenea kwa magonjwa ya zinaa, kupungua kwa wingi wa watu kutokana na kupungua kwa kasi ya kuzaliana na pia ni dhambi na laana mbele za Mungu.

Naliombea taifa letu lisije fikia huku ...
Hii ni moja ya Agenda ya kupunguza world population... Kwa sababu rate ya kuzaliana itapungua kwa kiwango fulani
 
Mapenzi ya jinsia moja kwa lugha iliyokuja na meli ni homosexuality ambayo muunganiko wa matukio yote ambayo watu wenye jinsia za kufanana uyafanya katika muktadha wa uhusiano wa kimapenzi na ngono. Yani mwanaume na mwanaume au mwanamke na mwanamke.

Ushoga ni kwa kwa lugha ya kigeni Gay, ni wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, moja anaingiliwa kinyuma na maumbile na mwenzake, ambapo wao kwa lugha yao ya Ushoga wanatumia neno Bottom na Top. Bottom ni mwanaume anayepachikiwa uume na kuingiliwa na mwanaume mwenzake, na Top ni mwanaume anayemuingilia na kumpachika uume mwanaume mwenzake kinyume na maumbile.

Haya majina Top na Bottom kama huyaelewi unaweza kudhani ni lugha ya kawaidia endapo utakuta wamaume wawili wakiongea. Kumbe ni lugha za Ushoga.
Bila kusahau Versatile huyu wanasema ni yule anayeplay both Roles humo
 
Aanha, shukrani kwa elimu hii,
Mauritius hawajataka unafki.
 
Nchi zinazokataza kisheria kama vile Uganda na zingine zinapoteza muda tu hawatafanikiwa kuzuia. Hili swala lingeachwa kuwa maamuzi ya mtu binafsi kama uvutaji wa sigara.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Uvutaji sigara ni kwamba ni wewe na mwili wako, yani wewe unafanya maamuzi kwenye mwili wako. Hila ushoga ni kwamba wewe unamfanyia mwingine.

Nakupa mfano wewe ukijikata na kisu mwenyewe kwenye mwili wako iwe kwa nia njema au mbaya sio kesi kivile, lakini ukimkata mwingine na kisu ni kesi ambayo ya kudhulu mwili wa mtu mwingine.

Ushoga ungekuwa wewe ndio unajifanyia mwenyewe yani unapindisha uume wako kwa chini na kujiingilia mwenyewe isingekuwa shida, ila kwa sababu unamuingilia mwingine ni shida.

Kiafrika kwa sababu tunaishi kijamii sana yani watoto wa mtaa mzima wanacheza pamoja na watu kufanya shughuli kwa pamoja ni rahisi watoto au watu wazima kufanyiana vitendo hivyo na kukuwa kwa kasi, tofauti na wazungu ambao unakuta mtaa mzima hawafahamiani yani kila mtu na maisha yake na familia yake. Ni ngumu sana wazungu kurithi tabia za mitaani kutoka kwa watoto wenzao, ukilinganisha na Watoto wetu.
 
Umaskini wa nchi za kiafrika utayaingiza mataifa mengi katika matatizo kama haya.

Hasara za ushoga ni pamoja na kukosekana kwa wanaume halisi ndani ya taifa, kusambaa na kuenea kwa magonjwa ya zinaa, kupungua kwa wingi wa watu kutokana na kupungua kwa kasi ya kuzaliana na pia ni dhambi na laana mbele za Mungu.

Naliombea taifa letu lisije fikia huku 🙏🏻...
Religion Hinduism is the primary religion in Mauritius with around 52% identifying as Hindu. Christians make up about 28% of the population (26% Catholic, 2% Protestant).
 
Aanha, shukrani kwa elimu hii,
Mauritius hawajataka unafki.
Huo ndio ukweli, nchi ya Mauritius imeamua kuweka wazi. Nchi nyingi za Afrika zinapinga ushoga lakini bado zinataka misaada, sasa inakuwa ngumu kupinga moja kwa moja zikiogopwa kunyimwa misaada na ushirikiano, wanaogopa kilichotokea kwa Uganda.

Magufuli kidogo alikuwa na msimamo alipinga ushoga moja kwa moja, na kuna kauli aliwahi kuongea kuhusu mambo ya mapenzi ya jinsia moja, na kupelekea mashirika ya haki za binadamu na taasisi mbalimbali kusema Magufuli anaminya haki za binadamu na kuzuia uhuru wa watu, na baadhi ya taasisi zikaacha kutoa misaada Tanzania ndipo akawa anakomaa tufanye kazi kwa sababu wazungu walianza kumbana. Ikapelekea hadi Makonda akafungiwa kwenda Marekani. Magufuli kidogo alikuwa Mwamba, alikaza mpaka anakufa.
 
Hii ni moja ya Agenda ya kupunguza world population... Kwa sababu rate ya kuzaliana itapungua kwa kiwango fulani
Dah ila kwanini wasieneze kwa nguvu na kwa efforts zao sawa na hizo wanazozitumia katika ushoga kwenye kueneza elimu ya uzazi wa mpango kama wanataka kucontrol the world population!
 
Sasa hizo ni Satanic Agendas, na kama unakumbuka Sodoma na Gomorrah hizi tabia ndio zilikuwa zikifanyika kipindi icho. Shetani anazirudisha tena.

Uzazi wa mpango sio Agenda ya MUNGU, Mungu alituma watu wakazaliane, ndio maana ukienda kwemye hospitali za makanisa ua mission hospitals uwezi kukuta huduma ya uzazi wa mpango, kwa sababu agenda ya MUNGU ni kuzaliana.
 
Hapo nimekupata kamanda, ikiwa ni masuala ya satanic agendas its true to experience the situation.
 
Mapenzi ya jinsia moja kwa lugha iliyokuja na meli ni homosexuality ambayo muunganiko wa matukio yote ambayo watu wenye jinsia za kufanana uyafanya katika muktadha wa uhusiano wa kimapenzi na ngono. Yani mwanaume na mwanaume au mwanamke na mwanamke.

Ushoga ni kwa kwa lugha ya kigeni Gay, ni wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, moja anaingiliwa kinyuma na maumbile na mwenzake, ambapo wao kwa lugha yao ya Ushoga wanatumia neno Bottom na Top. Bottom ni mwanaume anayepachikiwa uume na kuingiliwa na mwanaume mwenzake, na Top ni mwanaume anayemuingilia na kumpachika uume mwanaume mwenzake kinyume na maumbile. Na kuna Versitile, huyu ni yule anayeweza kuingiliwa au kuwaingilia wenzake, kwa kifupi anapiga miguu yote miwili kama ronaldo, yani anaweza kuwa Top au kuwa Bottom, au kuwa vyote kwa wakati mmoja.

Haya majina Top na Bottom kama huyaelewi unaweza kudhani ni lugha ya kawaidia endapo utakuta wamaume wawili wakiongea. Kumbe ni lugha za Ushoga.
... we jamaa inaonekana PhD thesis yako ulizama kwenye huo uga - sio kwa ufafanuzi huo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom