Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

Jina la kituo unaandikaje kwa mfumo gani?, kwa kutumia simu?
 
BOSS NAOMBA NIANGALIZIE ALIKOPANGIWA HUYU ROBERT SILVESTER MNIGE kutoka kinyaliro sec s.2830/0038,aksnte
 
mkuu mimi naitwa charles karatasi nina gpa ya 1.9 nmepata c masomo yote isipokuwa civics E , physics D na english E ila sijapata shule na wazazi wangu hawana uwezo wa kunipeleka private nisaidie mkuu hata kwa ushauri
 
mkuu mimi naitwa charles karatasi nina gpa ya 1.9 nmepata c masomo yote isipokuwa civics E , physics D na english E ila sijapata shule na wazazi wangu hawana uwezo wa kunipeleka private nisaidie mkuu hata kwa ushauri shule inaitwa GOWEKO
 
Ndugu Naomba Kuuliza Eti Unaruhusiwa Kubadilisha Combination Yaani Kutoka HGL mpaka EGM naomb ushirikiano wenu kwan aulizaye anataka kujua,
 
Haloo hebu nitizamieni kijana huyu anaitwa benson philimon mahene.
-mugombe sec-school s.3669/0019.
Msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom