kama jina lako lilivyo Bongolala............Kenya walikopy wapi?Wame copy katiba ya kenya
Kwa muhtasari tu mpaka hapa wamejitahidi sana, sijasikia kuhusu mahakama ya kadhi au OIC coz haya ni mambo ya kupingwa haraka sana.
Katika muhtasari huu mambo ambayo napendekeza tuyapinge ni;
1. Wabunge awe mmoja tu kila jimbo na si wawili kama walivyosema. Coz hii itaongeza ukubwa wa bunge na ghalama za kuliendesha zitakuwa kubwa sana na watanzania kuendelea kuwa masikini.
2. Mawaziri wasiteuliwe moja kwa moja na Rais bali watume maombi ya kuomba nafasi hizo na wasiwe wanasiasa au wasiwe na vyama vyao ila waende kama watanzania, na wafanyiwe open interview watakaoshinda ndo rais awatangaze na bunge lithibitishe.
3. Muungano uwe wa serikali tatu yaani JMT, Zanzibar na Tanzania bara au Tanganyika. Na rais wa JMT ndo awe na mamlaka ya nchi.
Kwa sasa nimeyaona haya naomba kuwasilisha
zanz wamependelewa sana, libidi wawe na wabunge wa 5 tu sio 20!!Serikali iwe ndogo. Serikali ya muungano itakuwa na mawaziri wasiozidi 15
- Bunge la muungano litakuwa na watu 75 yaani 20 from zanzibar, 50 from tanzania bara na 5 wa kuteuliwa. Tanzania bara kutakuwa na majimbo 25 tu na kila jimbo litatoa wabunge wawili yaani mwanaume na mwanamke
Mapendekezo ya wabunge:
Kuwe na makundi mawili:
1. Wa kuchaguliwa jimboni (mmoja mwanamke mwingine mwanamke)
2.Wa kuteuliwa na rais (walemavu)
3.Hakuna viti maalumu
4.Ukomo wa uraisi awamu tatu
5.Hakuna uchaguzi mdogo. nafasi itajazwa na chama kile kile
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Tanganyika is BACK
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Zitto Kabwe natumaini anafuatilia hii taarifa.
Kiasi flani iko fair katka madaraka ya Rais, uteuzi wa Maspika! GOOOD
...
Mbona hayo maoni ni kama yanatufanya sisi CCM kuw chama cha upinzani? Ndio maana ilibidi tutake Mabaraza ya Katiba tuchakachue maoni yenu!
As for me! Rasimu nimeikubali sana! Nadhan Katiba hii itaaddress mambo mengi ya msingi ambayo tunayatolea povu leo hii.
Rubbish! Kenye wanafanyaje? Madaraka ya rais kuwa makubwa ndio yamefanya Rais awateue watu (wakuu wa wilaya etc) wasio na sifa! Majaji wa UPE tumewaona na wapo kama alivyowataja Lissu! Rubbish!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!