Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,571
Tumsikie Bilal, mbona Jk kachimba kwenye hili? Something fishing ......
Kutakuwa na wabunge wa aina mbili
- Wa kuchaguliwa
- wa kuteuliwa ambao watatoka kundi moja tu. nalo ni kundi la walemavu.
- kila jimbo kuwa na wabunge wawili, wanaume na wanawake
- ukomo wa ubunge ni miaka 3
- wananchi kuwa na mamlaka ya kumwondoa mbunge hovyo
- hakutakuwa na chaguzi ndogo. Ikiwa mbunge atafariki, chama chenye mbunge kitateua mtu
- spika na naibu spika hawatakuwa wabunge na hawatakuwa wanachama wa chama chochote cha sias
mkuu hii si ni rasmu!haijapita,unataka kuniambia kama wangekuja na katiba zingine tatu ingeendelea kuwa rasmu au decision!!au mimi ndo sielewi maana ya rasmu!!!Yaani wamependekeza serikali 3
Ya shirikisho...
Ya Tanzania bara...
Ya Zanzibar...
Alafu wakajiamulia kutengeneza katiba ya serikali moja (shirikisho) peke yake!!! Sasa hizo mbili wamemuachia nani?!!! Ebo!
This is another useless paper...
Huwezi kupendekeza serikali tatu, alafu ukajiamulia kutengeneza katiba ya serikali moja tu kati ya hizo!!! Ni upuuzi...
Kwa hiyo kama katiba hii ikikamilika 2014, uchaguzi wa 2015 utakuwa na katiba mpya kwenye eneo la serikali ya shirikisho peke yake. Uchaguzi wa Tanzania bara na wa Zanzibar utafuata katiba gani?!!!
Haya yalisemwa soma post zangu , majaji Bung, majeshi ni kamati ya ulinzi na usalama itakayoundwa kikatibaNatamani kujua uteuzi wa majaji na mahakimu! Natamani pia kusikia katiba inasemaje juu ya Muundo wa majeshi yetu na vymbo vya usalama!
Jamani huyu Warioba mbona ananikosha leo........nasubiri tu atangaze kufuta vyeo vya UDC na RC niwaache na thread yenu nikasherehekee bar saa hizi.
Tumsikie Bilal, mbona Jk kachimba kwenye hili? Something fishing ......
Kadhi ruksa
Hii rasimu ya katiba ni useless
Maana kama inapendekeza serikali tatu, lakini haitoi rasimu ya serikali mbili kati ya hizo, sasa ina kazi gani?!!!
suala la rasilimali za taifa halijawa na jibu , rasilimali asili nani anamiliki!