Rashid Shangazi: TRA imekusanya wastani wa trilioni 1.9 kila mwezi bila mtutu wa bunduki

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,447
7,829
Rashid Shangazi: Katika kipindi cha miezi 9 mamlaka ya kodi imekusanya takribani trilioni 17.2 Ukipiga hesabu ya kila mwezi ni wastani wa trilioni 1.9

Kodi hizi zimekusanywa bila kutumia task force wala bila mtutu wa bunduki.

=====

Hivi kuna kipindi tulikuwa tunakusanya kodi kwa kutumia mjegeje na bado mapato yakawa hafifu? Hizi tozo nahisi kama tumeshikiwa bunduki tusiyoiona😅
 
Dhibitisha huu uongo , Kias kikubwa hcho cha hela , tisingekopa trion 15 ndani ya miez mitatu iliyopita huku kuliwa hakuna ongezeko kubwa la matumizi zaidi ya kusimama miradi mikubwa ya kimkakati
 
Rashid Shangazi: Katika kipindi cha miezi 9 mamlaka ya kodi imekusanya takribani trilioni 17.2 Ukipiga hesabu ya kila mwezi ni wastani wa trilioni 1.9

Kodi hizi zimekusanywa bila kutumia task force wala bila mtutu wa bunduki.

=====

Hivi kuna kipindi tulikuwa tunakusanya kodi kwa kutumia mjegeje na bado mapato yakawa hafifu? Hizi tozo nahisi kama tumeshikiwa bunduki tusiyoiona
Ndo shida ya kujipendekeza kwa watawala, kama makusanyo ni makubwa kiasi hicho mbona huduma za jamii zimezidi kudorora, madawa mahospitalini hakuna, barabara maeneo mengi ni mashimo, kila kukicha tunaombaomba na kukopa?
 
Lengo la aliepita ni kukusanya trillioni 2 per month.

huo msukumo wa kufika huko unatekelezwa na walioachwa sio sababu za kushangaa wakati alieweka lengo alishakufa na halijafikiwa ilitakiwa

Tushangae akikusanya trillioni 2 na zaidi kuzidi lengo la jiwe.

jiwe aliona huo uwezekano upo tatizo liko wapi ikiwa mama anatembelea upepo vizuri mwanzoni mwa penzi swala la kodi huwa gumu ikifika katikati ya kutoka madarakani.
 
Back
Top Bottom