ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,206
- 49,994
TRA imesema Kwa takribani miaka 3 ya Uongozi wa Rais Samia, amewezesha TRA kuongeza mapato Kwa Asilimia 8.5% ambapo Kwa mwaka wa Fedha wa 2022/2023 Makusanyo yamefikia Shilingi Trilioni 24.1 sawa na wastani wa Trilioni 2 Kila Mwezi kutoka wastani wa Shilingi Trilioni 1.2-1.5 Kwa mwezi mwaka 2020/2021.
Kufuatilia Ongezeko Hilo hakuna mradi uliosimama na maelfu ya miradi Kila sekta yameongezeka.
TRA imewashukuru walipa.kodi na kutoa wito watu Wadai risiti Ili mapato zaidi yapatikane.
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1706693471497572437?t=iNU8izB5_W1jkUQc0_eENw&s=19
My Take
Ongezeko la wastani wa bil.800 Kwa miaka 3 sio jambo rahisi hapo ni kutokana na sera rafiki Kwa Biashara na uwekezaji alizoshadidia mh.Rais.
Ni wazi hasi kufikia 2025 TRA watakuwa wanakusnaya wastani wa 2.5 Kwa mwezi sawa na Ongezeko la Trilioni 1 ,hii ni rekodi ambayo hakuna Rais kabla aliwahi ifikia na hapo miradi mikubwa itakuwa Bado haijaanza Kuzalisha pes.
Huna Rais anaweza mfikia Samia kwenye swala la Uchumi.
View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1709141930062331946?t=VN_IDgghWM0f_eDeHtpquw&s=19