Hahaaahahahah boflo this will be one of my most favourate post za jf, maana nilivosoma title nlikuja na picha tofauti sana! Hahaha n8ce one title na content match iko perfect, asante kwa kunipa kicheko
Na mimi nataka unipe kicheko.....
Sina sumile mwenzio....nipe matumaini
Huuuuuuwwwwwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiii nimecheka hadi mbavu zinauma jamani, kha, ngoja na mimi nipate ujuzi kidogo hapo maana naona "Blaza" hata hachoki kama vile kafungwa jenereta. Kumbe ni kweli kuwa lazima na Macho nayo yaonyeshe ushirikiano wakati wa hii movement eeehhhView attachment 67146
.........