Rapa Naziz afiwa na mtoto wake wakiwa Hotelini Dar es Salaam

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Screenshot_2023-12-28-10-01-15-154_com.instagram.android-edit.jpg

Screenshot_2023-12-28-10-03-32-245_com.instagram.android-edit.jpg

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msanii huyo kutoka Kenya imeeleza kuwa Jazeel alifariki kutokana na ajali aliyopata akiwa katika moja ya Hoteli waliyofikia jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo taarifa ya Naziz haijaweka wazi zaidi kuhusu tukio la ajali na tayari Marehemu amezikwa jijini Nairobi kwa taratibu za Dini yake.
 
View attachment 2855282
View attachment 2855283
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msanii huyo kutoka Kenya imeeleza kuwa Jazeel alifariki kutokana na ajali aliyopata akiwa katika moja ya Hoteli waliyofikia jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo taarifa ya Naziz haijaweka wazi zaidi kuhusu tukio la ajali na tayari Marehemu amezikwa jijini Nairobi kwa taratibu za Dini yake.
Kuanguka kwenye ghorofa nini? Anyways inasikitisha unasafiri kula sikukuu na mwanao halafu hili linatokea.
 
Back
Top Bottom