passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,659
- 3,362
WhiteWakuu habari za uzima?
Wataalamu na mafundi naomba kuuliza ni rangi gani nzuri ya kupaka ndani, haswa sebule?
Kuna ulazima rangi iwe ya aina moja sebuleni na sehemu ya kula chakula?
conductor
Na wengine wenye ujuzi.
Karibuni.
Wakuu habari za uzima?
Wataalamu na mafundi naomba kuuliza ni rangi gani nzuri ya kupaka ndani, haswa sebule?
Kuna ulazima rangi iwe ya aina moja sebuleni na sehemu ya kula chakula?
conductor
Na wengine wenye ujuzi.
Karibuni.
Green and Yellow
😂😂Green and Yellow
Current iliyopo japo Mke haipendi, sababu kubwa ni kubadili hiyo gold.Bajeti yako kwanza, maana tunaweza kukutajia rangi zinazopatikana Plascon tu mfuko ukawa hauruhusu...
Hata hivyo kwa sebuleni weka rangi zenye kuakisi mwanga (neutral tone), kuwe kuna muendelezo wa rangi ile ile kati ya sitting room na dining room...
Utaalamu wako mkuu.Wote Hadi saa mumemushauri hamko vizuri rangi ziko za maji na mafuta mlitakiwa mumuuulize rangi za maji au mafuta kabla kuanza kujibu kama wehu
Full white?White
Current iliyopo japo Mke haipendi, sababu kubwa ni kubadili hiyo gold.
Full white inaoendeza sana ndani na inaruhusu/kukubaliana na mapambo ya kila namna ina mvuto wa kipekeeFull white?
Naipenda ila sidhani kama nitaiweza sababu ya mtoto pia.
RANGI utafsiriwa katika Sura mbiliWakuu habari za uzima?
Wataalamu na mafundi naomba kuuliza ni rangi gani nzuri ya kupaka ndani, haswa sebule?
Kuna ulazima rangi iwe ya aina moja sebuleni na sehemu ya kula chakula?
conductor
Na wengine wenye ujuzi.
Karibuni.
Current iliyopo japo Mke haipendi, sababu kubwa ni kubadili hiyo gold.
Full white inaoendeza sana ndani na inaruhusu/kukubaliana na mapambo ya kila namna ina mvuto wa kipekee
Nunua au paka rangi ya Silk mtoto akichafua unafuta na kitambaa inakua mpyaaa