Rangi niipendayo

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
39,997
Ipo rangi niipendavyo
Napenda nimuanavyo
Akishatinga kihivyo,
Nashindwa kuwa mchoyo!

Sipendi kwangu mwenyewe
Ila yeye aivae
Nikimwona atambue
Naipenda aelewe!

Ipo rangi upendayo
Rangi ya mwenzako huyo
Akijipamba mwenzio
Mwingine hamzidi huyo..

Na. M. M. Mwanakijiji

Ya kwangu ni Zambarau ya Kifalme (Royal Purple)

00335%20PURPLE%20%283%29.JPG
 
hivi kumbe ndo wewe MMK ulikuwa na huyu dada siku ile...nilikuona bana...una bonge la choice maana kitu kilikuwa kimesimamia kucha...big up
 
hivi kumbe ndo wewe MMK ulikuwa na huyu dada siku ile...nilikuona bana...una bonge la choice maana kitu kilikuwa kimesimamia kucha...big up

hahaha Preta acha vituko wewe..mbona kaficha uso lakini?
 
ha ha ha.....aonyeshe sura aibiwe...kuna huyu babukijana anampa shida sana MMK......kila mmoja anataka kutoboa boti ya mwenzie

inabidi huku tuwaachie wengine kwa kweli.... tutakuwa tunaingia kusalimu salimu tu.. mambo ya kuwaita wazazi mara ya pili gharama!
 
mmh hacha kumtetea bana mbn kama kule kwetu kuna mabanio yale ya ugali kwenye thinga la sufuria
 
eeeeeeeeeh nilitaka kujua babu kapendea nn,but huwezi jua labda hizo "chelewa"[babu am soreeeeeeeeeeQUOTE=Bigirita;846157]Yani umekagua kwa makini kiivo?!![/QUOTE]
 
eeeeeeeeeh nilitaka kujua babu kapendea nn,but huwezi jua labda hizo "chelewa"[babu am soreeeeeeeeeeQUOTE=Bigirita;846157]Yani umekagua kwa makini kiivo?!!
[/QUOTE]
Umeandika kwa penseli,
mimi bado ufutio wangu mpya nimefuta kwa bahati mbaya
 
ha ha ha.....aonyeshe sura aibiwe...kuna huyu babukijana anampa shida sana MMK......kila mmoja anataka kutoboa boti ya mwenzie

hahaha harafu majina yao kama yanafanana fanana vile ..!!Mzee Mwanakijiji..Mwingine .. Babukijana mmmh !
 
sasa na nyie semeni rangi zenu mnazozipenda msimkodolee mlimbwende wangu.. na kuanza kumtoa kasoro.. mwenye naipenda hiyo hiyo miguu kama kibanio, si unaona rangi yake imekaa kama kuku wa kuchoma!
 
sasa na nyie semeni rangi zenu mnazozipenda msimkodolee mlimbwende wangu.. na kuanza kumtoa kasoro.. mwenye naipenda hiyo hiyo miguu kama kibanio, si unaona rangi yake imekaa kama kuku wa kuchoma!

Black is my colour...
 
Attachments

  • black dress.bmp
    1.6 MB · Views: 42

Similar Discussions

Back
Top Bottom