NaimaOmari
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 801
- 46
Mungu atujaalie sote neema za Lailatul Kadr, kwa radhi ya Mtume wetu M.S.A.W, radhi ya Quran tukufu, radhi ya malaika wake Jibril, Mikael, Israfil na Israel (A.S) , na kwa radhi ya mitume wote, maswahaba, mawalii, mashekh na masharifu