Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,529
Ndugu zangu waumini wa Islam na wafuasi wa mtume Muhamed SAW, naomba mpokee salamu zangu kuwatakia kila laheri kuanza mfungo wa Mwezi Mtakatifu wa Ramadhani.
Katika Uislamu, tunaambiwa kuna nguzo kuu tano za Uislamu. Imani, Sala, Zaka,Sawm na Hijja.
Nanyi mnapoenda kwenye safari hii muhimu ya kutimiza moja ya nguzo, nawaomba mwenyezi Mungu awape heri na baraka zake, muwe wastahimilivu wa majaribu, nanyi mkishi katika toba na unyenyekevu.
Naungana nanyi katika safari yenu kwa kuwaombea muyashinde majaribu na baada ya 30 mpate malliza mfungo huu mtukufu kwa Amani, mkiwa mmejengwa na kuimarisha kiroho na kimwili kumtumikia muumba wenu Allah!
Mungu awabariki.