Ramadhani Brothers kukutana na rungu kodi zaidi ya 180M kwenye 600M waliyoshinda

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,447
7,823
Wale wana walioshinda kule Marekani TRA Tanzania inawasubiri kwa hamu, hela walizoshinda zitakatwa kodi ya 30%, yaani mtu ambae hajaruka sarakasi hata moja anakinga mkono apewe 30%. Akishaichukua wenyewe ndio wagawane 50% each kwenye kilichobaki.

600m-180m inabaki 420m, wakishapata hiyo wakigawana kila mmoja anaondoka na 210.. Yaani kila mmoja anakuwa amemzidi bwana TRA milioni 30 pekee. Wangekuwa watatu TRA angewapiga bao kwenye maokoto. Nafuu itatokea endapo watalipa kodi hela zilikotoka.

Aliyeunda mifumo ya kodi na tawala duniani alichemka kwenye kiwango wanachotakiwa kuchukua mifukoni mwetu. Vilio ni hivi hivi kwenye kodi ya biashara na slip za mishahara, gross inanona ila hapo kati wanakuja TRA na taasisi nyingine za Serikali wanaikausha kila mwezi, bado ukistaafu wanaleta mastori ya vikokotoo.

Ukimaliza yote hayo, njoo kwenye matumizi ya hizo kodi kwenye nchi zetu za dunia ya tatu:cool:

Ramadhani Brothers_TRA.png
 
Duuuh! Ssiyo kwamba ume changanya Zawadi za tuzo na Betting.

Kwa hiyo hata maokoto wanayopataa Wachezaji wa mpira, wasanii na wana masumbwi kama zawadi nayo yana utaratibu kama huo?
 
duuuh..
siyo kwamba ume changanya Zawadi za tuzo na Betting.

kwa hiyo hata maokoto wanayopataa Wachezaji wa mpira , wasanii na wana masumbwi kama zawadi nayo yana utaratibu kama huo?!
"Kwa aliye na sifa za mkazi wa Tanzania analipa kodi ya mapato atakayopata popote duniani. Na kwa kuwa hawa ni watu binafsi watalipa kodi kulingana na kiwango cha mtu binafsi ambacho ni shilingi 1,536,000 kujumlisha 30% ya kiasi kinachozidi milioni 12."
 
Wale wana walioshinda kule Marekani TRA Tanzania inawasubiri kwa hamu, hela walizoshinda zitakatwa kodi ya 30%, yaani mtu ambae hajaruka sarakasi hata moja anakinga mkono apewe 30%. Akishaichukua wenyewe ndio wagawane 50% each kwenye kilichobaki.

600m-180m inabaki 420m, wakishapata hiyo wakigawana kila mmoja anaondoka na 210.. Yaani kila mmoja anakuwa amemzidi bwana TRA milioni 30 pekee. Wangekuwa watatu TRA angewapiga bao kwenye maokoto. Nafuu itatokea endapo watalipa kodi hela zilikotoka.

Aliyeunda mifumo ya kodi na tawala duniani alichemka kwenye kiwango wanachotakiwa kuchukua mifukoni mwetu. Vilio ni hivi hivi kwenye kodi ya biashara na slip za mishahara, gross inanona ila hapo kati wanakuja TRA na taasisi nyingine za Serikali wanaikausha kila mwezi, bado ukistaafu wanaleta mastori ya vikokotoo.

Ukimaliza yote hayo, njoo kwenye matumizi ya hizo kodi kwenye nchi zetu za dunia ya tatu:cool:

Hii siyo haki vijana wa kimasikini kila wakijitahidi kujikomboa Afrika wanapigwa nyundo ya kichwa
 
Wale wana walioshinda kule Marekani TRA Tanzania inawasubiri kwa hamu, hela walizoshinda zitakatwa kodi ya 30%, yaani mtu ambae hajaruka sarakasi hata moja anakinga mkono apewe 30%. Akishaichukua wenyewe ndio wagawane 50% each kwenye kilichobaki.

600m-180m inabaki 420m, wakishapata hiyo wakigawana kila mmoja anaondoka na 210.. Yaani kila mmoja anakuwa amemzidi bwana TRA milioni 30 pekee. Wangekuwa watatu TRA angewapiga bao kwenye maokoto. Nafuu itatokea endapo watalipa kodi hela zilikotoka.

Aliyeunda mifumo ya kodi na tawala duniani alichemka kwenye kiwango wanachotakiwa kuchukua mifukoni mwetu. Vilio ni hivi hivi kwenye kodi ya biashara na slip za mishahara, gross inanona ila hapo kati wanakuja TRA na taasisi nyingine za Serikali wanaikausha kila mwezi, bado ukistaafu wanaleta mastori ya vikokotoo.

Ukimaliza yote hayo, njoo kwenye matumizi ya hizo kodi kwenye nchi zetu za dunia ya tatu:cool:

TRA washaaanza kuimezea mate hio pesa? Duh maisha magumu sana haya
 
Back
Top Bottom