Allah atuwezesheRamadhani MosiView attachment 2561807
AmiinNiwatakieni Ramadhani njema ..Tufanye ibada kwa sana sio kuacha kujizuia na kula tu
View attachment 2561804
Bei zilivyo tu ni bei kichaa hata kabla ya mfungoUmefika muda sasa wa walanguzi kupandisha vyakula bei 🤨
Kwa muktadha wa kalenda wanatakiwa waanze kesho ili Eid iwe tarehe 23AprilHivi ni kesho au tarehe 24 keshokutwa?
Ramadhan Mubarak BroRamadan Mubarak
Bongo mwaka huu wote tunafubga sawa hadi bakwata wametangaza leo ?Nimesikia Takbir nikiwa naongea na wanangu huko
In Shaa Allah tunaanza wote kesho
Allah atufanyie wepesi
Tuzidishe Imani na tutoe sadaka kwa wingi semeni Amiin
Ndio. Sifa zote njema zinamstahiki AllahBongo mwaka huu wote tunafubga sawa hadi bakwata wametangaza leo ?