Raisi wangu na ngazi husika Chukueni hatua Mnatutesa na kutukatisha tamaa

oruguyo

Senior Member
Jul 28, 2012
130
35
Ndugu wana janvi, nisingependa kuweka uzi huu mahali hapa ila kwa kuwa nimeumizwa na kimya changu,tena kwa siku nyingi naomba niweke mambo haya wazi.

Kwa wahusika serikali imeleta sehemu ya mapunjo ya mishahara na madai mengine kwenye wilaya nyingi hapa nchini .

Chakushangaza kwenye wilaya niliyopo mimi, watumishi ambao majina yao yanaonekana ndio wanaostahili kulipwa wengiwao hawaidai selikali, ila majina yanaonyesha wanatakiwa walipwe kwenye shule iliyopo kwenye kata yangu zaidi ya walimu 8 hawaidai selikali ila majina yametoka eti wapeleke nyaraka ,salary sleep ili walipwe .wahusika tambueni wengine tunamadai tokea 2012 hadi sasa hamjatulipa mnalipa madeni hewa.

Kumbukeni hamtendei haki taifa hili pia hamtutendei haki sisi wengine.ninaushahidi kwa majina, hata mwaka jana kwenye wilaya niliopo kunawalimu 2 ambao nao walilipwa kwa staili hiyohiyo hadi leo hii wanasema wao ni wateule .
 
Pole sana mwalimu. Kazi inaleta stress hii!! tumia tu njia za kawaida, nenda kwenye halmashauri yako kawaone wahusika wakuu mfano Afisa Elimu, ofisi ya utumishi, ofisi ya tsd, nk. na wataisikiliza tu shida yako. Mamlaka ya maamuzi yako ngazi ya wilaya kwa sasa tofauti na zamani hadi kwa katibu mkuu.

Kulalamikia huku nadhani haitasaidia kwa mtazamo wangu.
 
Back
Top Bottom