Rais wetu kupewa jezi ya RONALDO

Hivi Kimbisa ni nani?. Hawa ndio wanaomdanganya Rais wa Nchi afanye mambo wasiyohitaji Watanzania.
 
Na mm nampango nitampa Rais jezi ya Ngasa mchezaji wa Jangwani kudhihilisha rais mpenda michezo kweli kweli. Simba mnalo la kujibu hapo? Tafadhari msipeleke na nyie jezi ya Mgosi.
 
Kwanza kabisa napenda kutoa anaglizo... ikiwa unaona nimekurupuka pasipo kufikiri kuandika hii article basi niwie radhi au pengine ni uelewa wangu mdogo wa jinsi mnavyoendesha hii serikali yenu
Mbona wajihami shekhe? Usijali tunayaheshimu mawazo yako. Kuhusu jezi siyo mbaya sana ila ingefaa zaidi kama angepewa ya kina Nsajigwa au Nurdin Bakari kuonesha uzalendo kwa timu ya Masikio oh Sorry nilimaanisha Maximo!
 
hawa real wamemuabisha rais wetu...wameshindwa kumtuma hata mwakilishi kukabidhi jezi.....?...ikulu imeshindwa hata kumualika balozi wa Spain...au real wameshindwa kumuomba balozi wao aje kuwawakilisha...we make our self too low guys and cheap.........hakutakiwa kupokea jezi hiyo hadharani..watu wanaweza kufikiri ni sanaa tu...na kuwa kimbisa aliinunua tu kwenye merchandise shop ya real...akaomba isainiwe ...that is a fake propaganda seems!!...wasimuingize rais kwenye mambo contravertial!!
 
Hee hee hee.... Wasimwingize? Au asiwaingize?
 
kwa hiyo wewe unataka balozi wa spain aende ikulu kupeleka jezi, du!!
 
- Yaani huyu Rais bwana ninamuonea huruma sana, akibembea makosa, akienda msibani makosa, akisafiri kutafuta misaada makosa, akicheka ooh ni mnyonge, akikasirika ohh muongo, sasa hata kupewa jezi ni breaking news na kuna utata jinsi alivyopewa! Sijui ndio maana ya vyama vingi, loh! huruma kweli hili taifa.

- Ohhh Tanzania, an information starved nation!

FMEs!
 
Umesahau jingine....akimpa dogo peremende kosa....

Mweeeh hata mimi nimeanza kumhurumia sasa. The guy can't catch a break!

NB: Unyamwezini timu zinazoshindaga hupataga fursa ya kutembele White House na raisi huwaga anazawadiwa jezi ya timu hiyo....
 
........Hii ni kichekesho kweli kweli, nadhani hawa watu wameishiwa. Sasa jezi ya Ronaldo ina uhusiano gani na nchi yetu, au huyo Ronaldo kafanya nini cha kusaidia nchi yetu?
 
Umesahau jingine....akimpa dogo peremende kosa....

Mweeeh hata mimi nimeanza kumhurumia sasa. The guy can't catch a break!

NB: Unyamwezini timu zinazoshindaga hupataga fursa ya kutembele White House na raisi huwaga anazawadiwa jezi ya timu hiyo....

hizo timu zinazoenda white house ni za mexico???

ungeniambia rais wa madrid amekuja kufungua academy bongo alafu akakutana na rais akampa jezi ya madrid ningekuelewa, lakini mkuu wa mko anaacha shughuli zake anaenda kumpa rais jezi....
 
Huu ni upeo mdogo kabisa wa kufikiri!! Ronaldo? Naye anachekelea kabisa kuonyesha jezi ya Ronaldo! bora hata wangeomba iandikwe jina lake..
This is too low, na imenishangaza mno! Kimbisa si ndio meya wa Dar? kazi ipo hapo!!
 
- Yaani huyu Rais bwana ninamuonea huruma sana, akibembea makosa, akienda msibani makosa, akisafiri kutafuta misaada makosa, akicheka ooh ni mnyonge, akikasirika ohh muongo, sasa hata kupewa jezi ni breaking news na kuna utata jinsi alivyopewa! Sijui ndio maana ya vyama vingi, loh! huruma kweli hili taifa.

- Ohhh Tanzania, an information starved nation!

FMEs!

Mkuu FM....Tunapenda rais wetu anapoheshimiwa ..lakini katika hili ...inawezekana kabisa hata ronaldo wala real hawajui kuwa jezi yao amepewa mtu tunayemuheshimu kama rais.....haiwezekani kama kweli waliipa uzito jezi waliyomtumia JK washindwe hata kuiweka hii taarifa kwenye mtandao wao...

Nimetafuta sana kwenye mrandao wa real...lakini habari pekee waliyo nayo juu ya rais wetu..ni ile ya tukio lake kutembelea makao makuu ya real ..mwaka juzi....
News

Results: 1 - 1 de 1
Se busco el termino : jakaya kikwete
  • PAGE:
  • 1
ARTICLE - 13/09/2006
Noticia;Ilustre visita El Presidente de Tanzania, en el Santiago Bernabéu
......rais ameshawahi kupewa jezi na DROGBA ...Kila mtu alifurahia kwani alikabidhiwa na DROGBA Mwenyewe...
 
True, afadhali ingekuwa Ronaldo mwenyewe amekuja na kumpa hiyo jezi...
 
kipi kina uzito kupewa jezi na Rais kwa club hiyo au kupewa jezi na mchezaji mwenyewe?
Yeye hakwenda kumtembelea Ronaldo - alienda kuongea na uongozi wa Real Madrid na Mmiliki wake juu ya kukuza soka la nchi yetu.

Sasa baada ya mkutano anaulizwa ungependa zawadi gani tukupe toka madrid? hapo yeye akaamua apewe jezi ya Ronaldo, lakini angeweza hata akapewa mipira 10,000 aje aigawe kila wilaya au angeomba madrid isaidie kutujengea soka academy moja as example - hayo yalikuwa maamuzi yake.

Sioni tatizo la Rais kuchagua apewe jezi ya Ronaldo baada ya mkutano - Mlaumuni kwa mengine ila siyo hili mnakwenda mbali.
 
ni shabiki wa madrid - ameahidi kuwaleta bongo kabla ya uchaguzi---

ok hata akiwaleta madrid itatusaidia nini WATANZANIA WA KAWAIDA, huu upuuzi tu, yaani serikali badala ya kufikiria kufanya maendeleo wanaongelea kuwaleta madrid, garama za kuwaleta madrid zitatoka wapi? serikalini au mfukoni mwake, make hizo hela si zingetumika kwenye master plan yoyote, either kwenye halmashauri zilizo taabani kama Geita vile, barabara mashimo everywhere, maji hakuna---------halafu raisi anaongelea kuwaleta madrid, what a joke is that???? halafu Watanzania nao wanashangilia, what is wrong in Tanzanians mind, ubongo utakuwa hauko on proper orientations, there got to be something wrong some where, tatuta tatizo la miundo mbinu Dar, mikoani and then ndo ushangilie na kuwaleta madrid, hivi huyu raisi hana washauri, au ndio wale wasemao yes sir kwa kila jambo and no inputs that can make a president be on a proper direction

it is shame on us!!!-----------
 
hizo timu zinazoenda white house ni za mexico???

ungeniambia rais wa madrid amekuja kufungua academy bongo alafu akakutana na rais akampa jezi ya madrid ningekuelewa, lakini mkuu wa mko anaacha shughuli zake anaenda kumpa rais jezi....

Ziwe za Mexico, Marekani, au Albania kwangu mimi haijalishi. Hili ni jambo dogo sana kwangu mimi. I'm not at all bothered by it like some of you are.

Na kwa kweli nampa KJ credit nyingi sana kwa kutokusumbuliwa na vitu vidogo vidogo kama hiki na kile cha kumpa peremende dogo. Semeni mnalotaka kusema juu ya mapungufu yake mengine lakini ikija ktk kukosolewa jamaa ana ukomavu wa hali ya juu sana, bar none.
 
Mimi nashangaa kabisa. Watu wanatumia pesa za walipa kodi kuandaa sherehe ya kukabidhi jezi. Kuna shule zimefungwa kwa sababu ya kukosa madawati, wazazi wanafia wodini kwa kukosa dawa, waalimu wanalia mishahara haitoshi lakini watu wengine wanafuja pesa kwa sherehe zisizo za lazima. Pengine nashindwa kuelewa vipaumbele vya Nchi yetu ni yepi hasa? Kutumia pesa kwa ajili ya mambo yasiyo na ulazima??????
Hao ndio viongozi tulionao ndani ya nchi yetu. Hawajali umasikini uliokithiri wa mtanzania wanaangalia matumbo yao tu.
 
Back
Top Bottom