News Alert: Rais:wanaofukuza watumishi serikalini kwa hila waadhibiwe!

cheguevara

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,348
649
Kumekuwepo na kesi nyingi dhidi ya serikali ktk mahakama/tume za usuluhishi watumishi wakidai kufukuzwa kazi kwa uonevu na hivyo kuhitaji wakulipwa fidia na stahili zao kwa uonevu na udhalilishwaji ambapo serikali inaingia hasara kwa kulipa mamilioni ya fedha lakini waliotumia madarka yao vibaya ama kwa uzembe wao kwa kushindwa kufuata taratibu wakibaki madarakani na kuendelea kuneemea uanagalie upya kwani kama kuna sheria zenye vifungu hivyo kwanini wasifikishwe mahakamani kwa makosa ya matumizi mabaya ya madaraka na uzembe wao uliopelekea serikali kupata hasara hizo za kulipa mamilioni watumishi walioonewa?
Mh Rais hao nao wanaitia sana hasara serikali kwa kuingiza katika migogoro isiyo ya lazima!!
 
awamu hii ni vita dhidi ya watumishi wa umma tu! Natamani kustaafu kuje ingawa mifuko ya hifadh ya jamii imefilisiwa na serikali
 
heading yako, mimi nikajua kaongea rais leo..

Lushoto: Jeshi la Polisi laua Majambazi na kukamata silaha
sirjohn, Habari na Hoja mchanganyiko ... 2
Views: 1,151Replies: 28

Haya hapo kasema Lushoto?changia acha uvivu wa kufikiri
 
Back
Top Bottom