Rais wa zanzibar aapishwa kuudhuria vikao vya baraza la mawaziri Ikulu DSM leo

Mapungufu haya ya Kikatiba ni kwsababu CCM imekua inachukulia mambo muhimu na nyeti ya nchi kama mambo binafsi ya chama badala ya wananchi wote. Kuna matatizo mengi lakini mtu unashangaa mwanasheria mkuu ambaye pia ni jaji anasema hakuna tatizo.

Mkuu, umeeleza vizuri sana kwa upande wangu,,, thanks.
 
Mi nilimjua Kikwete muda mrefu kabla hajawa rais kwamba hafai. Na nilikuwa nimeenda kupiga picha photopoint pale Mayfair Plaza. Nilisema hata kama ana leadership skills tangu UDSM n.k. sio ai anayetufaa. Ni mbinafsi na pia ni dhaifu sana..ni ndumilakuwili vilevile. Ben pamoja na matatizo yake ya ufisadi hakukuwa na ombwe la uongozi kama kipindi hiki.
Bahati mbaya watendaji wake wanamjua..Tibaijuka akiwajibika kwa kadiri ya kiapo chake,Magufuli naye akiwajibika kwa namna yake wanaambulia kusimangwa kwenye hotuba za rais. Mambo ya Pinda [nasikia alijaribu kuomba ajiuzulu, akakataliwa kwa manufaa ya serikali] na Luhanjo, yanaonyesha si Stateman kabisa!
 
Back
Top Bottom